kupotezwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Father of All

    Balozi Humphrey Polepole alitekwa na kupotezwa. Ajabu, Serikali ya aliyekuwa kamteua iko kimya

    Balozi Humphrey Polepole alitekwa na kupotezwa. Ajabu, serikali ya aliyekuwa kamteua iko kimya! Nini kifanyike ukweli na haki vite vitendeke? Tunangojwa amaduriwe Rais ndipo wahusika wawajibike au kuwajibishwa? Hili swali ni kwa serikali inayotunafiki kwa kujifanya inatujali wakati...
  2. Sifi Leo

    Tukubaliane watanzania/watanganyika, tukiwasema watawala hukumu ni KUTEKWA NA KUPOTEZWA, MWISHO WATABAKI NA Baba na Mama MKWE zao?

    Juzi nilienda kwa Ba MKWE BAHATI MBAYA ushuzi uliniponyoka Pyuuuuuu! Niliumia Kuona Baba na Mama MKWE wananyanyuka sebuleni na kwenda nje kujikagua HARUFU ya ushuzi itatokea kwenye nguo za nani? Wao walijiisi yakuwa wao ndio walio Jamba mbele yangu hakika waliona aibu. Baada ya dakika mbili...
  3. Tajiri wa kinyankole

    Ni aibu sana kwa viongozi wa serikali na makundi ya kiimani kutangaza amani huku watu wakitekwa na kupotezwa kusipojulikana

    Serikali na makundi ya kiimani kuelekea uchaguzi mkuu october 29 ambao asilimia kubwa ya watanzania wanapinga kwa nguvu kubwa uchaguzi huo usifanyike bila kufanya reform nimeona viongozi wa serikali na makundi ya kiimani yakitangaza amani huku watu wengi wakilia ndugu zao kutekwa na kupotezwa...
  4. tpaul

    BBC yarusha habari kuhusu wakosoaji wa Serikali wanaotekwa, kupotea au kuuawa

    Katika amka na BBC leo asubuhi tarehe 03/09/2025, shirika la utangazi la BBC limejaribu kuwataja watu wanaowaua wakosoaji wa serikali, akiwemo Shadrack Chaula (Car of God) kutoka mkoa wa Mbeya aliyetekwa mwezi mmoja baada ya kunusurika kifungo cha miaka miwili kwa kosa la kuchoma picha ya Samia...
  5. Mtu wa Majira na Nyakati

    Mimi sifurahishwi na kinachoendelea ila siwezi kuandamama wala kuipinga serikali ili niuliwe na kupotezwa never .

    Vijana Kama Mdude , ni vijana waliopotezwa bila huruma Hao Chadema ambao unawapambania , ukifa wanakuwa hawana habari na wewe wala familia yako. MTU kama Mdude , Soka n.k wametumika kwenye chama wamepotezwa huku Mbowe akila bata na hawazi lolote. Inasikitisha sana .
  6. Prof_Adventure_guide

    Utalii wa Mlima Kilimanjaro: Hazina ya Taifa Inayoendelea Kupotezwa kwa Kutojengewa Mfumo Endelevu wa Kiuchumi na Kihistoria

    Mlima Kilimanjaro—maarufu kama "The Roof of Africa" ni zaidi ya kivutio cha kijiografia; ni iconic symbol of Tanzania's natural heritage na turathi ya kiulimwengu. Hata hivyo, pamoja na umuhimu wake wa kimazingira, kihistoria na kiuchumi, sekta ya utalii wa mlima huu inaendelea kukumbwa na...
  7. Yoda

    PreGE2025 Watetezi wa utekaji, mauaji na watu kupotea jipangeni angalau kwa hoja zenye akili na mashiko

    Nikirejea utetezi wa matendo haya wa Jerry Muro kama mfano wa jumla wa watetezi na watu wanaoamini hivi vitendo kwa sasa vimewahi kuwepo huko nyuma pia, ni vya kawaida tu na sio vya kuchukuliwa kwa uzito na utofauti kwa sasa. Kwanza, hata kama vimewahi kuwepo huko nyuma ila watu hawakupiga...
  8. Lord Denning

    Ushauri kwa Chadema: Wekeni rekodi vizuri ya Matukio yote ya Utekaji, Kuuwawa, kulawitia na Kupotezwa kwa Watu wenu na Watanzania. Mtanishukuru baadae

    Dunia haijawahi kuwa sehemu nzuri sana kwa Watawala Madhalimu. Wote waliofanya vitendo vya kuua, kuteka, kuwalawiti na kupoteza raia walikuja kukutana na mkono wa Sheria. Wengine kwa Mahakama za ndani ya Nchi zao na Wengine kwa Mahakama za Nje za Kimataifa. Hali iliyopo nchini Tanzania kwa...
  9. Lord Denning

    CHADEMA wakifanikiwa kuwashawishi ICC kuja kuchunguza kutekwa na Kupotezwa kwa Wanachama wake na Watanzania, Rais, DGIS na IGP jiandaeni kwenda ICC

    Hivi juzi aliyekuwa Rais wa Ufilipino, Bwana Rogrigo Duterte amekamatwa akiwa uwanja wa ndege wa nchi yake kutokana na operesheni zilizofanyika akiwa Rais za kuwaua Watuhumiwa wa Dawa za Kulevya. Bwana Duterte amekamatwa kutokana na Hati ya Kukamatwa iliyotolewa dhidi yake kwa makosa dhidi ya...
  10. M

    Hivi kwa nini Mbowe huwa hapigi amshaamsha ya kutosha kuwadai wanachadema wanaotekwa na kupotezwa?

    Ndugu Mbowe ni mwenyekiti wa Chadema, ndiye kiongozi wa ngazi ya juu zaidi wa chama hicho. Kama ilivyoada kwa kiongozi yeye ndiye kama baba wa familia, ana wajibu wa kujali usitawi wa makada wake, kuwalinda na kuwatetea na kuwafariji. Hata hivyo huwa nashangazwa na Mbowe ambaye yeye kama...
  11. thegreat1510

    Kuna uwezekano Mbowe anafahamu walipo wanachadema waliowahi kupotezwa.

    Huyu Mbowe akikamatwa akapelekwa sehemu nzuri , akafinywa ipasavyo atatuambia tu ukweli. Inaonekana yeye ndiye anatoa go ahead kabla CCM hawajafanya yao kwa wana chadema.
  12. ngara23

    CCM haiwezi kupotezwa ushindi kwenye sanduku la kura

    Mimi ni CHADEMA, lakini uchaguzi wa leo umenipa funzo kubwa. CCM wana mbinu nyingi za kushinda uchaguzi, na kwa upande wa upinzani, inaonekana tuko usingizini. Hawa CCM wako tayari hata mtu afe ili wao washinde. Wana mbinu nyingi mno! Kimsingi, ni haki ya Watanganyika kupuuza uchaguzi, kwa...
  13. ELI COHEN

    Kwa haya tunayofanyiana Waafrika nakuja kuona hotuba ya P.W. Botha ilikuwa ina mashiko kwa kiasi fulani

    Although Botha alikuwa ni mbaguzi juu ya watu weusi South Africa lakini zaidi ya miaka 30 baadae unakuja kuona alikuwa sahihi katika baadhi ya vipengele katika hotuba yake. Baadhi ya vipengele vya hotuba yake: "Watu weusi hawawezi kujitawala kwa sababu hawana akili na uwezo wa kifikra wa...
  14. Idugunde

    Kwani CHADEMA wamesema watafanya vurugu? Si wamesema wataandamana kwa amani ili dunia ijue watu wanatekwa na kupotezwa?

    Au polisi haina imani na makamanda hawa? Mbona hawatishia amani zaidi ya kuandama?
  15. ngara23

    Fanya haya kuepuka kutekwa na kupotezwa na wasiojulikana

    Watu wanapotea miaka Sasa hawajulikani walipo 1. Epuka ukosoaji wa viongozi wa juu, hao hawataki kukoselewa, wapo pale kutawala, hawataki ukosoaji na ujuaji utapotezwa Mbele ya watu watajifanya wapo tayari kukoselewa ila kiuhalisia hawataki, utapotezwa. 2. Kuwa mtu wa haki Kwa wengine...
  16. Mshana Jr

    Gerald Ibrahim, shujaa aliyetekwa na kupotezwa kwa kosa la kuisaidia jeshi la Polisi

    Gerald Ibrahim maarufu kama SERIKALI ni mkulima na mfanyabiashara pia ni mkazi wa Kijiji cha Mpeta, Wilaya ya Uvinza, Mkoani Kigoma. Mwaka 2018 yalitokea mapigano baina ya wananchi na Jeshi la polisi wakati kuwaondoa wananchi katika ardhi ya Kijiji cha Mwanduhubandu, Mpeta Magharibi kiasi cha...
  17. Kamanda Asiyechoka

    Kati ya awamu ya tano na hii ya sita. Ni ipi imeongoza kwa raia kutekwa na kupotezwa? Kumbukeni mpaka sasa Azory Gwanda hajaonekana

    Hii ilikuwa mwaka 2019. Mpaka leo hatujui alipo. Au ndio aliliwa na wanyama huko Katavi?
  18. Inevitable

    “Utekaji” waitesa Kenya. Wananchi wanatekwa na kupotezwa. Saba watekwa ndani ya siku 7

    https://youtu.be/OZ9qfm46k0U?si=Rlk4qTkzB_dJgkLz Gabriel Oguda, popular social media activists allegedly abducted Several social media users and content creators are missing after they were abducted in overnight operations in the country hours to anti-Finance Bill demonstrations. Officials...
  19. Its Pancho

    Misso Misondo anaenda kupotezwa nyota yake sababu ya Simba

    Simba kwa kukurupuka na kudandia mambo Wameenda kumchukua kijana wa watu ambaye ndio kwanza kaingia mjini , ambaye kimsingi nyota yake ndio inawaka. Kitendo cha yeye kukubali kufanya kazi na simba kitaenda kumcost sana kwani ndio anajifunga na hata nyota yake itapotea ndani ya muda mfupi sana...
  20. benzemah

    UTEUZI: Rais Samia ateua Balozi mmoja na kumhamisha Humphrey Polepole kuwa Balozi nchini Cuba

    Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko ya vituo kwa Mabalozi wawili (02) na uteuzi wa Balozi mmoja (01) kama ifuatavyo: 1. Amempangia Balozi Humphrey Herson Polepole kuiwakilisha Tanzania nchini Cuba. Kabla ya uteuzi huu Balozi Polepole alikuwa Balozi wa Tanzania, nchini Malawi. 2. Amemteua...
Back
Top Bottom