kupotezwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Misso Misondo anaenda kupotezwa nyota yake sababu ya Simba

    Simba kwa kukurupuka na kudandia mambo Wameenda kumchukua kijana wa watu ambaye ndio kwanza kaingia mjini , ambaye kimsingi nyota yake ndio inawaka. Kitendo cha yeye kukubali kufanya kazi na simba kitaenda kumcost sana kwani ndio anajifunga na hata nyota yake itapotea ndani ya muda mfupi sana...
  2. benzemah

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Samia ateua Balozi mmoja na kumhamisha Humphrey Polepole kuwa Balozi nchini Cuba

    Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko ya vituo kwa Mabalozi wawili (02) na uteuzi wa Balozi mmoja (01) kama ifuatavyo: 1. Amempangia Balozi Humphrey Herson Polepole kuiwakilisha Tanzania nchini Cuba. Kabla ya uteuzi huu Balozi Polepole alikuwa Balozi wa Tanzania, nchini Malawi. 2. Amemteua...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kupotezwa, Kujipoteza, Kujitafuta na Kujipata!

    KUPOTEZWA, KUJIPOTEZA, KUJITAFUTA NA KUJIPATA. Anaandika Robert Heriel. Kuhani. Nataka niwe kama Michael Jackson, Umejipoteza. Nataka niwe Kama Yesu wa Nazareth, umeshapotea Huko. Nataka niwe Kama Taikon wa Fasihi, umeshapoteza mwelekeo. Nataka niwe kama Ronaldo, iiishii! Pole Sana. Nataka...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kwa maoni ya Dkt. Slaa, inawezekana Ben Saanane na wengine walitekwa na kupotezwa na Chadema

    Kuna vitu vingine ni bora kukaa kimya badala ya kuongea, kwa kuwa unapoongea watu wataweza kujua kina cha busara zako kama ni kirefu au kifupi sana. Katika maisha, ni bora kukaa kimya watu wadhani una busara, kuliko wewe kudhani una busara ukaongea hadharani na kufanya hata wale waliodhani una...
  5. tzhosts

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Mteja anayefaa kupotezwa

    Katika ulimwengu wa biashara,kuna aina mbili za wateja Kuna wateja ambao ni LOYAL na wateja ambao ni ROYAL mteja ambaye hayuko katika kundi moja katia ya hili basi sio mteja. Mteja ROYAL ni mteja yoyote yule ambaye ananunua kwako kwa mara ya kwanza au mara kwa mara-Ndio maana kuna msemo mteja...
  6. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: IGP Sirro ni Jeshi la Polisi, hawajawahi kunipigia simu wala kunihoji, Waliagizwa wanipoteze baada ya Uchaguzi

    Mwanasiasa machachari wa Tanzania anayeishi mamtoni baaada ya kufanyiwa unyama amekanusha taarifa na kauli ya Igp Sirro kuwa alipigiwa simu na jeshi la polisi ili ahojiwe juu ya madhila yaliyompata. Kupitia ukurasa wake wa Twita Lissu amedai kuwa taarifa hizo ni za uongo na hazina ukweli...
Back
Top Bottom