kuporomoka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Dada alia kwa uchungu: Bado namtafuta Mama yangu, hajulikani alipo tangu ajali ya jengo Kariakoo'

    Irene Mallya anamtafuta Mama yake Happiness Mallya, mfanyabiashara wa Kariakoo mkoani Dar es Salaam, ambaye hajulikani alipo tangu ilipotokea ajali ya kuporomoka kwa jengo Jumamosi Novemba 16, 2024. Irene amezungumza na TBC Digital katika eneo hilo la ajali Kariakoo ambapo shughuli za uokoaji...
  2. S

    Makonda (Bashite )anatumika kuhamisha mjadala wa gorofa kuporomoka Kariakoo

    Watanzania, msikubali kufanywa wajinga kwa mtu mmoja kuhamisha mjadala unaohusu maisha ya watu na kuwaletea vihoja vyake ili mvijadili na muache hoja za msingi zinazohusu maisha ya watu na utayari wa serikali kwenye matukio kam,a haya. Waandishi wa habari na nyie kazi kwenu ipi iwe ni habari...
  3. L

    Kuporomoka kwa ghorofa na kusababisha Vifo na majeruhi kwawaumiza na kuwabubujisha Machozi ya huzuni wana CCM Mitaani

    Ndugu zangu Watanzania, Nimekutana na kufanya mazungumzo na wana CCM wenzangu mitaani .ambapo wana CCM mbalimbali kutoka maeneo mbalimbali wameumizwa na kuumia sana mioyo yao kutokana na kuporomoka kwa Ghorofa kulikopelekea baadhi ya watu kupoteza Maisha na wengine kujeruhiwa vibaya. Tukio...
  4. Just Pray

    Uchimbaji wa maduka ya chini kwa ajili ya kuongeza sehemu ya maduka unatajwa kuwa chanzo cha kuporomoka kwa jengo kariakoo

    Kwa mujibu wa mashuhuda, ghorofa hilo lilianguka ghafla saa tatu na dakika tano asubuhi wakati mafundi ujenzi walipokuwa kazini wakitoboa kwa ajili ya kuongeza sehemu ya maduka. "Tulianza kusikia kelele za mtikisiko, kisha kwa ghafla jengo zima likaanguka. Wananchi wameshindwa kujiokoa na...
  5. Waufukweni

    Rais Samia atoa pole kwa waathirika Kariakoo. Aagiza kufanywa kila linalowezekana kufanikisha zoezi la uokoaji na tiba kwa majeruhi

    Rais Samia amesikitishwa na ajali ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa Kariakoo, Mkoani wa Dar es Salaam iliyotokea asubuhi ya leo Novemba 16. Pia, Soma: Ghorofa limeporomoka Kariakoo asubuhi ya leo Novemba 16 "Nimesikitika kupokea taarifa ya ajali ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa katika Kata...
  6. PendoLyimo

    Je, Mpasuko Ndani ya CHADEMA Unaashiria Kuporomoka kwa Chama?

    Madai ya rushwa na matumizi mabaya ya fedha yamekuwa yakitajwa, huku wakosoaji wakimlaumu Mbowe na viongozi wa chama kwa kukosa uwazi na kushindwa kuleta mabadiliko ya kweli. Swali linalojitokeza ni: Je, CHADEMA bado kina nafasi ya kushinda uchaguzi ujao wa serikali za mitaa? Mgawanyiko huu...
  7. Nasdaq

    Nini hatma ya Shilingi ya Tanzania baada ya kuporomoka dhidi ya Dola ya Marekani?

    Ukweli ni kwamba tokea mwaka 2023 shilingi ya tanzania imeporomoka kutoka 2330 mpaka 2730 kwa dola moja ya marekani ukilinganisha na shilingi ya majirani zetu KENYA ambao shilingi yao inazidi kupata nguvu dhidi ya dola ya marekani hasa mwaka huu wa 2024 Nini maoni yako, wapi tunakosea...
  8. Nrangoo

    Wawekezaji, je tutegemee sarafu ya EURO kuporomoka?

    Kwa wiki kadhaa sasa sarafu ya EURO (EUR) imekuwa ikiimarika dhidi ya Dollar ya marekani (USD). Je tutegemee kutokea anguko la EUR week hii baada ya kuwa Bullish kwa muda sasa? Nini maoni yenu? Karibuni
  9. S

    Katika utawala wa Raisi Samia mawakili wanasheria wamekuwa na kazi nyingi sana; sababu ni haki na usawa kuongezeka au kuzidi kuporomoka?

    Ni jambo ambalo nimelishuhudia na sijui kama watu wengine wanaliona, kwamba katika awamu hii ya utawala wa Raisi Samia kumekuwa na masuala mengi sana yanayohusu wanasheria hawa mawakili wetu. Labda niseme wazi kwamba haijawahi kutokea katika jistria ya Tanzania mawakili wakawa busy kama hivi...
  10. G

    Kuna tatizo gani Nigeria ? Kutoka Naira 1 = Shilingi 5 za kitanzania mpaka shilingi 1.8 na bado inazidi kuporomoka.

    Ni kipi hasa kinaendelea huko kwa kina Oga, Tulishazoea kwa muda mrefu Naira moja ni shilingi 5.x ila kwa sasa imeshuka mpaka 1.79
  11. N

    Olengurumwa : Kukosekana kwa familia imara inaweza kuwa sababu ya kuchochea uharifu na kuporomoka kwa maadili

    "Faida za kuwa na familia imara yenye amani, mshikamano na upendo kwa watoto ni kubwa sana, kwanza watoto watakuwa salama, sio rahisi watoto kufanyiwa ukatili, watoto watakuwa na maadili mazuri lakini utaona hata idadi ya watoto wa mitaani inapungua" Mratibu THRDC, Wakili, Onesmo Olengurumwa...
  12. Msukusu

    Viboko Mashuleni Kukomeshwa, Je Imechangia Kwa Maadili Kuporomoka Au Maadili Mema Kuongezeka?

    Wakubwa habari zenu mimi ni kijana wa 30+ na hivi karibuni natarajia kupata mtoto wa pili, majaliwa ya mwenyezi mungu. Haya tujikite kwenye mada hapo juu, kwa jamii ninayo ishi nimeshuhudia vitendo viovu na maadili mabaya hasa kwa wadogo zetu, wengine watoto ambao unao uwezo wa kumzaa...
  13. Ritz

    Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Israel Yitzhak Brik: Netanyahu anajua kwamba kuendelea na mchakato huu kutapelekea kuporomoka kwa Taifa la Israel kijesh

    Wanaukumbi. Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Israel Yitzhak Brik: Netanyahu anajua kwamba kuendelea na mchakato huu kutapelekea kuporomoka kwa Taifa la Israel kijeshi, kiuchumi, kisiasa na kijamii. Hata kama Hamas na Hezbollah wataendelea kupigana kama wanavyofanya leo, bila mshangao wa kijeshi...
  14. K

    Shillingi ya Tanzania yazidi kuporomoka dhidi ya shillingi ya Kenya

    Ndugu zangu kuna tatizo gani kwa shillingi yetu kuporomoka dhidi ya shillingi ya Kenya?. Juzi juzi shillingi shillingi 1 ya Kenya ilikuwa ikibadilishwa kwa Tshs.16.40 leo hii shillingi 1 ya Kenya inabadilishwa kwa Tshs.19.82. Kulikoni?. BOT mko wapi?.
  15. Mhafidhina07

    Kuna hatari kubwa ya kuporomoka kwa elimu ya juu, Serikali sababu yangu izingatieni

    Elimu ni silaha dhidi ya changamoto za kidunia,tunavyoelimika kunatupa matumaini ya kuendelea kubaki salama katika dunia hivi fikiria karne moja iliyokwisha pita dunia ilipita katika njia ya viongozi hodari na makatili ambao waliweza kuamrisha wananchi wao wasitoke ndani ya mkoa au chumba,kuuuwa...
  16. Hismastersvoice

    Wakati wa kupanda miti kwenye milima ni huu ambapo mvua zinanyesha

    Baada ya janga lililotokea Hanang inaelekea tumelichukulia kuwa limekwisha, ninapenda kuwashauri viongozi wote nchini kuwa vilima byote ambako mvua zinanyesha huu ndio wakati wa kupanda miti. Viongozi wetu wamekuwa na mtindo wa kiweka siku ya kupanda miti hasa wakati hakuna mvua na matokea...
  17. The Sheriff

    Kuporomoka kwa Haki za Wafanyakazi ni Changamoto Inayogusa Moyo wa Jamii Zetu

    Kila jamii inategemea nguvu ya wafanyakazi katika kusukuma gurudumu la maendeleo. Wafanyakazi ni kiungo muhimu cha uzalishaji na maendeleo ya kiuchumi katika nchi zote duniani. Haki za wafanyakazi ni msingi wa mazingira bora na ya haki katika sehemu za ajira. Kila mfanyakazi anapaswa kufurahia...
  18. Mr. JF

    Sarafu ya Tanzania (TZS) yazidi kuporomoka dhidi ya Dollar (USD)

    Power to the People Wanajamvi!!! Kama umekuwa ukifuatilia mwenendo wa SARAFU yetu pendwa ya TZS kuanzia mwezi wa 5, utagundua kwamba imeporomoka sana kwenye soko la ubadilishaji wa fedha za kigeni. Kiwango ambacho TZS imeporomoka sasa hivi, hakijawahi kufikiwa tangu uwepo wa TZS duniani, yaani...
  19. IamBrianLeeSnr

    New York: Mvua ya mfululizo kusababisha mafuriko makubwa huko Bronx

    Mvua kubwa ilisababisha uharibifu kwenye Big Apple mwishoni mwa juma, mvua iliyokaribia mfululizo ilipofurika mitaa ya jiji na kusababisha ukuta wa jengo la makazi kuporomoka huko Bronx. Madereva walinaswa katikati ya maji yaliyokuwa yakiongezeka kwa kasi kwenye barabara kote jijini na wakaazi...
  20. Wakili wa shetani

    Thamani ya pesa yetu inazidi kuporomoka. Shida ni nini?

    Leo dola moja ni Tsh 2350 mtandaoni. Gharama za vitu tunavyoagiza itazidi kupanda. Shida nini pesa yetu kuporomoka namna hii? Hivi kuna namna tunaweza kuachana na kuagiza vitu kwa dola?
Back
Top Bottom