Wanamichezo wenzangu wana-jf, Nimejiuliza hili swali ila bado sijapata jibu kwamba nini kinapelekea Mazembe kupitia wanayopitia siku hizi?
Nimekosa majibu hebu nijibieni, maana wamenishangaza sana?!
Huu ni utabiri uliopo wazi kabisa, leo hii mara baada ya dakika tisini kuisha pale taifa; hakika sijawahi kuona Yanga mbovu kama hii.
Timu haina mipango magoli, tunategemea ya kujifunga. Yaani Ndondokela Kocha hana mbinu, yaani yeye kakaa kukalili tu mfumo, yaani hata huo uprofesa sijui alipata...
Takwimu za Forbes zinaonyesha khali ya bwana Musk kuzidi kuwa tata ? Je, tuna yapi ya kujifunza regarding that this man is a legend who revolutionized rocket science?
Nashangaa sana kiongozi anaposema siri zisivujishwe. Kama kiongozi hataki siri zake zisemwe wapo henchmen wake watahakikisha kwamba siri zake hazisemwi.
Lakini haifai kiongozi kwa matatizo yake binafsi, kwa matatizo ya udhaifu wake wa maadili, ashawishike kutunga amri ya jumla, ya kuihusisha...
Yanga imefanikiwa kuingia mechi za makundi kwa uwezo mzuri wa kiufundi kisoka iiliouonesha pale tunisia.mbali na furaha hiyo kwa sisi wapenzi wa soka yanga inalizimika kujihadhali na kuporomoka kwa soka baada ya michuano kuisha.
Kuporomoka kwa soka kunatokana na uwezekano mkubwa wa kuibiwa...
Watu wawili wamefariki huku mmoja akiokolewa baada ya jengo la ghorofa tano kuanguka eneo la Ruaka kaunti ya Kiambu mapema Alhamisi asubuhi.
Jengo hilo liliporomoka saa 3:30 asubuhi na kuporomoka kwenye jengo lililokuwa karibu walimokuwa wamelala wapangaji.
Juhudi za uokoaji zinaendelea kwa...
Urusi ilisitisha makubaliano hayo baada ya Ukraine kushambulia meli zilizokuwa zikihakikisha usalama wa njia za baharini.
Hatima ya ngano iliongezeka kwa karibu 8% siku ya Jumatatu baada ya Urusi kujiondoa kutoka kwa makubaliano ya usafirishaji wa nafaka na Ukraine kufuatia shambulio dhidi ya...
Takriban watu 132 wengi wako wakiwa ni Watoto, Wanawake na Wazee, wamepoteza maisha wakati daraja la waenda kwa miguu la Morbi likiporomoka katika Jimbo la Magharibi la Gujarat
Mashuhuda wanasema ajali hiyo imetokana na daraja hilo (ambalo lilifunguliwa tena wiki moja tu iliyopita baada ya...
Habari zinaeleza kwa bei ya mafuta kwenye soko la dunia inaendelea kuporomoka katika soko la dunia kutokana na wasiwasi wa mdororo wa uchumi. Habari zaidi ipo chini.
---
An oil pumpjack operating as another stands idle in Los Angeles, California. Oil prices fell on Wednesday as Covid-19 curbs...
Mwenyekiti wa Chama Cha Wavuvi Nchini, Bakari Kadabi amesema Kuporomoka bei ya samaki kutapelekea kufilisi mitaji yao na kuchochea uvuvi haramu kwasababu italazimika wavuvi wahakikishe wanapata samaki wengi ili wapate kipato kikubwa
Aidha, ameiomba Serikali kuingilia kati mabadiliko ya bei za...
Wakati Serikali yetu ikiwa busy kwenye uzinduzi wa filamu yetu huko Marekani.
Thamani ya Chai yetu inazidi kuporomoka kwenye soko la kimataifa.
Katika mnada uliofanyika Mombasa nchini Kenya hivi majuzi Chai ya Rwanda ili endelea kufanya vyema kwa kuuzwa kwa dola 2.83 kwa kilo moja ilhali ile...
Kwa nini Watanzania tunazidi kutokuwa na furaha?
Tanzania dropped further to position 139 compared to position 94 the previous year.
Mauritius island took first place as the happiest nation in Africa
Kenya once again trailed Uganda as the happiest country in East Africa, emerging position 119...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.