Mlima Namanga uliopo mpakani mwa Kenya na Tanzania, wapasuka katikati na kuporomoka. Sababu yadaiwa ni mvua inayoendeea kunyesha.
Sijui lawama nimtupie nani
Wakuu,
Akizungumza leo Februari 28, 2025 Jaji Mstaafu na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba alisema katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na mmonyoko mkubwa wa maadili lakini Hayati Kardinali Pengo alikuwa ni mtu anayekumbusha umuhimu wa maadili
Takribani watu 30 wamepoteza maisha na zaidi ya 200 kujeruhiwa baada ya skafoldi kuporomoka katika Kanisa la Menjar Shenkora Arerti Mariam, jimbo la Amhara kaskazini mwa Ethiopia. Tukio hilo lilitokea asubuhi wakati waumini walipokusanyika kusherehekea sikukuu ya kila mwaka ya Bikira Maria...
My Take
Hii Ndio Nchi Huwa tunaambiwa na Wapinzani kwamba imeendelea sana ,Ina Demokrasia na sijui Haina rushwa na blaa blaa zingine za kipumbavu za kusema wanatumia Rasilimali vizuri.
Mpaka hapo kila mtu anaona Sasa kwamba Demokrasia imeshindwa kwa mara nyingine kuwapa watu dawa ,ugali na...
Mtandao wa barabara nchi uko hatarini.
Kote unakoweza kupita barabara za lami zimeanza kubomoka kwa kasi ya kutisha.
Shughuli zangu zinanifanya kutembea sehemu nyingi nchi, kw gari.
Kahama-Mwanza barabara mbovu.
Dodoma -Singida hali mbaya.
DSM-Lindi narabara mbovu kabisa.
Somanga pale...
Waziri mkuu hagombei tena na makamu wa Rais hagombei tena. Spika kaogopa mpaka kugawanya jimbo.
Rais kaogopa mpaka kumfunga Lissu na kuwaletea zengwe Chadema ! Nini kimemsibu
Tanzania imeendelea kufanya vibaya kwenye masuala ya haki na uhuru wa kujieleza ikirudi nyuma kuoka point 35 mwaka 2014 hadi point-38 mwaka 2024.
Katika muongo uliopita, uhuru umepungua kwa kasi katika nchi nyingi duniani.
Viongozi wa kiimla wamepanua mamlaka yao kwa kubadili katiba...
Wakili Peter Madeleka leo amezungumza na vyombo vya habari katika viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam – Divisheni ya Ardhi, kuhusu kesi ya wafanyabiashara waliopata hasara kubwa kufuatia kuporomoka kwa jengo la ghorofa lililokuwa katika eneo la Kariakoo.
Kesi hiyo...
UZAMIAJI
UTAPELI
UKAHABA
USHOGA
UHARIFU
URAIBU
Kuanzia 2010 hadi 2020, idadi ya vijana iliongezeka kwa karibu 40%, kutoka takriban milioni 10.2 hadi zaidi ya milioni 14. Sasa by 2025 labda imeongezeka tena by 25%.
Na katika ongezeko hili la vijana hawa utapata mixer mbali mbali za tabia na...
BOT wamejibu tuhuma kwamba shilingi ya Tanzania imekuwa ikiporomoka kwa kasi ambayo inaifanya mbaya kuliko nchi zote duniani. Sasa BOT wamekuja na majbu kama vile yameandaliwa kutoka makao makuu ya chama tawala na sio wachumi wanaojisifia kuwa na degree za first class za Economics.
Jibu la BOT...
Wanaume tukipuuzia suala la kuoa mwanamke bikira, wanawake hawawezi kuona umuhimu wa kujitunza kwa sababu wataamini wakishamalizana na hoe phase kwenye maisha yao mwanaume yoyote atawapokea hivyo hivyo na damages zao.
Women lost their dignity because in our current generation there are no...
Katika miaka ya nyuma, blogu zilikuwa moja ya vyanzo vikubwa vya habari na burudani nchini Tanzania. Zilitoa majukwaa huru kwa waandishi, wachambuzi, na watu binafsi kueleza mawazo yao, kushiriki matukio, na kutoa taarifa kwa umma. Blogu nyingi zilianza kama miradi ya kibinafsi lakini zilikua na...
Sir John Bagot Glubb, mwanajeshi na mwandishi wa karne ya 20, alitoa mchango mkubwa kwa historia kwa kuchunguza jinsi mataifa yanavyoinuka, kustawi, na hatimaye kuporomoka. Katika kazi yake maarufu, The Fate of Empires and the Search for Survival (1978), Glubb alieleza kuwa mataifa yote makubwa...
Hata kwa maneno ya Governor wa Benki Kuu ya Tanzania kuwa dola itaanza kupanda tena kuanzia February 2025 unaweza kujua tu kwamba kila kitu kipo kwenye control. Wasilolijua watu wengi ni nani hasa huyo yupo kwenye control ya haya mambo. Si mwingie ni Mmarekani mwenyewe!
Kuna wakati nchi inaamua...
Idadi ya vifo vilivyotokana na kuporomoka kwa jengo la ghorofa, Kariakoo jijini Dar es Salaam vimefikia 29, baada ya miili mingine tisa kupatikana.
Jengo hilo liliporomoka asubuhi ya Jumamosi Novemba 16, 2024 na kusababisha vifo, majeruhi zaidi ya 80 na uharibifu wa mali za mamilioni ya fedha...
Hakuna haja ya kuunda tume kwa tatizo ambalo serikali inalifumbia macho na jibu la tatizo hilo wote wanalifahami.
Iko hivi;
Mfanya biashara + Eneo la biashara kubwa + Mipango Miji + Fundi Maiko = Maafa
Assumptions;
Mfanyabiashara- Mkinga, Mrombo
Eneo la Biashara- Kariakoo, Sinza, Ilala...
Ijumaa Novemba 22, 2024: Waziri Mkuu aunda Tume maalumu ya watu 21
- Kwa mujibu wa maelekezo ya Rais Dkt. Samia, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua Tume maalum ya wajumbe 21 ambao wamebobea kwenye masuala ya ujenzi kuchunguza chanzo cha tukio la ajali ya jengo lililoanguka Kariakoo, pamoja na...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameongoza maelfu ya wananchi wa Dar es Salaam kuaga miili ya waliofariki kutokana na ajali ya kuporomoka kwa jengo la Ghorofa eneo la mtaa wa Congo na Mchikichi kata ya Agrey Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam lililoanguka tarehe 16 Novemba, 2023.
Tukio la ibada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.