kupora

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Makonda, Le Mutuz kupora Range Rover yapigwa kalenda

    Kesi ya tuhuma za uporaji wa gari aina ya Range Rover, inayomkabili aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paulo Makonda na mmiliki wa blogu ya Lemutuz, William Malecela imepangwa kutajwa Desemba 8, 2022. Ni baada ya Hakimu Mkazi Mkuu, Richard Kabate kuwa kwenye majukumu mengine ya kikazi...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Walimu watuhumiwa kupora vichongeo, ufutio vya wahitimu wa Darasa la Saba

    Walimu wa Shule ya Msingi za Kishinda na Isebya zilizoko kata ya Kishinda wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza wanatuhumiwa kupora vifaa vya wanafunzi baada ya kumaliza mtihani wa kitaifa wa darasa la saba. Malalamiko ya wahitimu hao yaliwasilishwa na Diwani wa Kata ya Kishinda, Shokolo Visent...
  3. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Wawili wanusurika kifo wakijaribu kupora duka Dar

    Vijana wawili wanaodaiwa kuwa ni wezi wanusurika kuuawa na wananchi, baada ya kuvamia ofisi ya michezo ya kubahatisha (Premier bet) eneo la Mwenge. Vijana hao ambao walifika kama wateja wanahitaji huduma, walianza kumshambulia mhasibu kwa kumpiga na jiwe kichwani huku mwingine alijaribu kuvunja...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Panya Road wavamia raia Mabibo, wajeruhi na kupora mali

    Jumatatu iliyopita vijana wahalifu maarufu kama panya road wamevamia watu, wawaibia kisha kuwajeruhi kwa mapanga. Mmoja wao kapigwa mapanga kichwani na kupoteza damu nyingi nusura apoteze maisha. Baada ya kujeruhiwa kaporwa simu na PESA nyingi. Mwingine kaporwa simu, PESA na passport na...
  5. mchuku wa mangi

    JamiiForums Tanzania Nani anawalinda waliovamia na kupora Meku’s bar?

    APRI 29 mwaka 2019 tukio kubwa na aina yake lilitokea mjini moshi baada yakundi kubwa la watu wakiwa na silaha za moto kuvamia na kupora mali kwenye mgahawa maarufu wa Meku’s Bristol Bar and Restaurant . Wavamizi hawa ambao walikuwa na kila aina ua jeuri baada ya uvamizi huo waliondoka na mali...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwa namna wanavyowaona wananchi wajinga ni kiongozi gani wa CCM atashinda uchaguzi 2025? Wakurungenzi watadhibitiwa kupora uchaguzi

    Rais Samia ndio hana nafasi kabisa ya kushinda uchaguzi. Maana kwa muda mfupi tu amedhibitisha ni wa rangi gani. Na baada ya miaka miwili atawauza Watanzania kabiasa na rasilimali zao. Wabunge wa CCM wenyewe ndio hawatarudi karibu 80% maana aliyewabeba kuwaweka mjengoni alishatangulia mbele za...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mtandao wa kuteka, kubaka, kupora wanawake maarufu waanza kudakwa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watu wawili wanaodaiwa kuwa ni viongozi wa mtandao wa utekaji, uporaji na ubakaji wa wanawake maarufu jijini hapo. RPC wa Arusha, Justine Masejo amethibitisha kukamatwa kwa watu hao na kuongeza kuna wengine wawili wamekamatwa wakihusishwa na tukio...
  8. BigTall

    JamiiForums Tanzania DAR: Wanaomtumia dada mwenye ujauzito feki kupora bodaboda wanaswa na Polisi

    Jeshi la Polisi limefanikiwa kumkamata Sophia Musa (28), mkazi wa Toangoma ambaye ndiye mpokea maombi ya kutengeneza kadi toka kwa boko na baadae kumpelekea Ibrahimu Ally (31) mkazi wa Buguruni ambaye hufanya kazi ya kudurufu kadi hizo za Pikipiki. Katika katika upekuzi watuhumiwa hao wamekutwa...
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Lyatonga Mrema adaiwa kupora mke wa mtu

    Ina maaana Mrema na ushushu wake hakufanya due dilligence? Sasa mbona anadaiwa kupora mke wa mtu? 👇 Ndoa ya Mwenyekiti wa Chama cha TLP, Augustino Mrema imeibua utata na kusemekana kuwa ni batili kufuatia uwepo wa madai kuwa mwanamke aliyefunga nae ndoa, Doreen Kimbi...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Askari Waliotuhumiwa kupora milioni Mia Moja ni mashahidi kesi ya Mbowe

    Mwezi w tatu mwaka huu Kuna clip isambaa ya Profesa mmoja huko Arusha kuvamiwa nyumbani kwake na kubambikiwa meno ya tembo na Askari Polisi Kisha kuelekezwa atoe Milioni Mia Moja wasimfungulie mashtaka. Baada ya clip ile kusambaa na watu kupiga kelele Takukuru na Polisi waliibuka na kudai...
  11. Intelligence Justice

    JamiiForums Tanzania Kuhamisha Wamachinga kwa kuvunja miundombinu yao na kupora mali zao ni uhalifu kwa DSM na Mwanza

    Ni takribani wiki mbili sasa wafanyabiashara ndogo-ndogo (wajasiriamali au wamachinga) waliagizwa na serikali za mikoa mbalimbali kuhama kutoka katikati ya miji mikubwa na ama kuelekezwa wapi waende au bila kupewa eneo mbadala na rafiki kwa biashara. Wamachinga walitoa mawazo yao ili...
  12. John Manoni

    JamiiForums Tanzania Kwa hukumu ya Sabata naona kivuli cha sababu Za CCM kupora kila chaguzi

    Wakuu,hukumu ya DC aliyesimamishwa ndg.kada Ole Sabaya inatangulia mbele ya uporaji na uvunjaji wa sheria unaofanywa na CCM kwenye uchaguzi. Hata akitoka kwa rufaa au msamaha wa rais ambaye ni mwenyekiti wa CCM bado makusudi na mpango mahsusi upo palepale. Historia...
  13. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Ukinipora utajiri wangu tutamalizana

    Sisi sote Ni watu wazima japo kila mtu Ana uchizi wake katika ubongo.hakuna asiyechukiwa ila Kuna siri imejificha haiwezekani mtu mzima atoke tu nyumbani aende kuua watu watano. Mimi nipate madini yangu halafu muhuni anakuja kunipora na haiendi Serikali inaenda mikono mtu Mali yangu nitaanza...
  14. Interest

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: TAMISEMI inaniudhi sana; kwanini inapora Madaraka ya Halmashauri?

    Dodoma. Spika wa Bunge, Job Ndugai amepinga mpango wa Serikali wa kuwapangia vituo vya kazi moja kwa moja walimu wanaoajiriwa, akihoji ni kwanini inapoka madaraka ya Halmashauri. Ndugai ametoa kauli hiyo leo Jumamosi Desemba 23, 2017 ikiwa ni siku moja baada Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais...
Back
Top Bottom