Wana jamvi wasalaam
Njooni hapa tupeane mazingira tatanishi ya rushwa tuliyowahi kukutana nayo, eidha kwenye kutoa rushwa au katika kupokea rushwa.
Mimi binafsi nilishawahi kupokea rushwa mara kadha, lakini sikumbuki kuwahi toa rushwa, labda shukurani tu baada ya huduma tena kwa hiari yangu...