Mutua, a father of two and a Community Health Promoter (CHP) in Dagoreti South, has made history as the first person to receive the new HIV prevention injection. Using his platform, he’s mobilising youth to embrace the jab while reminding them it’s added protection, not a free pass.
“Nikiwa CHP...
Hii ni picha kutoka Ikulu ya Senegal.
Rais wa nchi hiyo akiwa na wake zake wawili, wakipokea kombe la AFCON baada ya timu ya taifa ya nchi hiyo kutwaa taji hilo.
Nafuatilia hali ya Iran, sidhani kama Iranian regime inaweza ika survive kwa masaa 48 yajayo kutoka sasa.
Police wa Iran wamegoma kupokea orders za IRGC.
Reza Pahlavi, ambaye ni crown prince wa Iran anayeishi nchini Marekani, ametuma ujumbe kwa majeshi ya Iran kufanya chagua la kihistoria kwa...
Nahisi serikali ya CCM inapenda wale wawekezaji wasiotaka mema nchi wala kuona inapiga hatua mbele.
Vyanzo vingi vya uchafu vinaweza kuwa recycle na kuwa na faida.
Mfano mpaka sasa tumeshindwa kwenye majiji kutatua shida ya maji wakati mitaro ya maji,mito na vyanzo vingine ikawa msaada...
China imekataa kupokea chips za Nvidia, kampuni maarufu ya Marekani inayotengeneza vifaa vya kompyuta na graphics. Sababu kuu ya hatua hii ni hofu ya usalama inayoletwa na Marekani, ambayo inatuhumu China kwa matumizi ya teknolojia ya kisasa kwa madhumuni ya ujasusi na matumizi ya kijeshi...
Ukisoma sheria za jamhuri ya muungano wa Tanzania tukianzia na ile sheria na Penal Code, CAP. 16 R.E. 2022 kifungu cha 18. Kinaeleza kuwa katika kulinda mali za umma au za mtu binafsi zinaweza kutumika nguvu za ziada na yule ambaye atahusika kumuua mtu yeyote katika tukio hilo hatakuwa na kosa...
Habarini,
Kwa sasa mahakama za mwanzo haziruhusiwi kupokea ushahidi wa kimtandao kama vile nalala za email,whatsapp,fax,nk hadi kuanzia mahakam za wilaya.
Sidhani kama hii ni haki kwa sasa hasa ikizingatiwa kwa sasa mawakili wanaruhusiwa kufana kazi mahakama za mwanzo.
Kuna jambo pia la...
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kuwafahamisha Waombaji wa mikopo na Umma kwa ujumla kuwa tarehe ya mwisho ya kuwasilisha maombi ya mikopo imesogezwa mbele kutoka tarehe 31 Agosti hadi tarehe 14 Septemba, 2025.
Hatua hii imechukuliwa ili kuwapa fursa wale ambao kwa sababu...
Uganda imekubaliana na Marekani kupokea wahamiaji watakaorudishwa iwapo hawana rekodi za uhalifu na si watoto waliotengwa, ingawa masharti kamili bado yanajadiliwa. Serikali ya Uganda inapendelea wahamiaji hao wawe raia wa nchi za Afrika.
Kwa mujibu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, Waziri...
Huko Tabora, mkuu wa mkoa acharuka kuwatishia wananchi kuhama kwenye mkoa huo kisa kukataa mwenge ulio na picha ya Rais
Hii inaleta maana gani kwa Wananchi kuanza kukataa jambo la kitaifa, sababu tu linafungamanishwa na siasa za ccm?
Ni kwamba, Rais hakubaliki sasa...! Ama wanataka kuona...
Salaam!
Haya ni maono.
Nimmekuwa nikilisemea hili tangu May 2022, kwamba,
Year 2026 ni mwaka mpya, mwaka wa kipekee ambao, mfumo mzima wa kutawala ,na mifumo yote muhimu juu ya nchi yetu unakwenda kubadilika.
Ni mwaka ambao, Rasimu Ile ya Warioba kabla ya kuchakachhuliwa itarudishwa mezani...
Naomba kuja kwenu waungwana na wananzengo kutokana na kugagasika na tàarifa ya kupokea mikoba. Nimepata mke wa tano sasa lakini naambiwa siwezi kumuoa hadi akabidhiwe mikoba ya uganga.
1. Naomba kujua mikoba ya uganga ni nini?
2. Mikoba ya uganga inahusisha vitu gani?
3. Mikoba ya uganga...
Habari za majukumu na heri ya sikukuu ya wakulima
ya nanenane wakuu.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,kila taasisi,shirika na kampuni mbalimbali huwa na tarehe maalumu ya kuwalipa wafanyakazi wake.
Je kwa wale ambao tarehe yao ya mshahara ina angukia tarehe nane(8),maana yake kwa mwezi wa...
Nimesikitika sana kusikia kuwa Heche angewakaribisha waliookatwa CCM kama CHADEMA ingeshiriki uchaguzi.
Heche kumbuka CHADEMA hii sio kama ya Mbowe ya kuwa inakaribisha mamluki alafu baada ya uvhaguzi wanarudi CCM
Umekosea sana.
Sijawahi kufika karatu kwa siku za karibuni.Timu za taifa 3 zitakuwa hapo kucheza michezo ya cecafa,naulizia kwa mliopo huko,je kuna hoteli zenye hadhi kupokea ugeni mkubwa huo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.