kupitia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mitandao wa Voda na Airtel wamefuta huduma ya kuongea na mtoa huduma kupitia namba 100?

    Ndugu zangu hivi ni mimi tu au ni kwa wote? Nikipiga Huduma Kwa wateja kwa nia ya kuongea na mhudumu kuhusu tatizo lolote la kimtandao huwa sipati chaguo la kuongea na mhudumu wetu kama ilivokuwa zamani. Nimeshangaa sana kwa mitandao yangu yote ninayotumia ya Voda na Airtel. Hili suala...
  2. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wanafanikiwa kupitia migongo ya Wanawake

    Mke wangu mimi elimu yake ni darasa la saba, mimi nimemaliza chuo kikuu ni mhasibu nafanya kazi benki na nina mshahara mkubwa tu. Nilikutana na mke wangu kipindi kaja kuchukua mkopo wa Biashara yake, wakati huo nilikua afisa mikopo. Alinielezea kuhusu Biashara yake, plan zake na namna alivyoanza...
  3. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kuingiza pesa kupitia Mitandao (Online)

    Habari zenu, Kama kichwa cha mada kinavyojieleza hapo juu kama kuna mtu mwenye ujuzi namna ya kuingiza pesa basi nahitaji kujua angalau nielewe hii kitu maana nimekuwa nikisikia sijui online business lakini sielewi chochote. Jamani nahitaji mchango wenu nyie wenzetu wenye ujuzi hata kidogo.
  4. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Rorya asema wana Rorya tuchangamkie fursa kupitia Ziwa Victoria

    Wakazi wa Wilaya ya Rorya Mkoa wa Mara wametakiwa kuchangamkia fursa za kiuchumi zinazotokana na uwepo wa Ziwa Victoria unaouzunguka wilaya hiyo kwa asilimia 77. Akizundua tawi la Benki ya CRDB eneo la mji mdogo wa Shirati leo Jumatano Aprili 5, 2023, Mkuu wa Wilaya ya Rorya, Juma Chikoka...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Bamako na Monastir ni saa ngapi na kupitia channel ipi?

    Mwenye kujua anisaidie maana naona muda unaenda na sioni dalili ya hii mechi kuonyeshwa. Mwenye majibu tafadhali.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Je, ni illegal kutumia free internet kupitia VPN?

    Je, ni illegal kutumia free internet kupitia VPN? Naomba kufahamishwa
  7. JamiiForums Tanzania Lead Generation 101: Muongozo Kwa Wafanyabiashara Wanao Promote Bidhaa Zao Kupitia Mitandao ya Kijamii

    Hello JF, ni muda umepita toka niandike kitu chochote humu, na kwa leo, since I feel like writing, nimeona niandike kuhusu kitu kinachoitwa Lead Generation; Skillset muhimu ambayo itabidi uwe nayo kama unalenga kutangaza bidhaa au huduma zako kwenye mitandao ya kijamii kama Facebook, Twitter...
  8. JamiiForums Tanzania Ni ushauri gani umekupa manufaa kupitia JamiiForums?

    Hakuna binadamu ambaye anafanya biashara isiyokuwa na faida kamwe! Basi hata hapa JamiiForums imani yangu kwamba tumejiunga wote na tumepata faida kubwa sasa basi. Ni mwanachama gani ambaye amekuwa akikupa ushauri ukakupatia manufaa? Toa pongezi kwake hadharani.
  9. JamiiForums Tanzania Elezea changamoto za mikopo inayotolewa kupitia Application za simu

    Wanajamvi zipo changamoto nyingi kuhusiana na mikopo inayotolewa kupitia Application za simu kama Umoja Loan, Premium, Branch na wengineo ikiwemo mteja kubambikiziwa riba kubwa sana zaidi ya asilimia 15% na tishio kwa mteja anayeshindwa kulipa kwa wakati, elezea jinsi ulivyodhalilishwa na mikopo...
  10. JamiiForums Tanzania Utabiri: 2025 Upinzani utachomoza na kushinda viti vingi kupitia agenda ya Hayati Magufuli

    Marehemu JPM hadi sasa ndiye kitisho kikubwa kwa mrithi wake ambapo Chawa Fc wanapambana bila kupumzika kuchafua kwa makusudi jina lake na legacy aliyoiasisi. Eneo ambalo kwa haki kabisa marehemu hakulitendea haki ni Haki za Binadamu. Na eneo hilo alikuwa mkali kweli kweli kuanzia kwa watu wake...
  11. JamiiForums Tanzania Joseph Selasini: CHADEMA ilipanga kuua vyama vingine kupitia UKAWA. Hatuwezi kurudia tena makosa ya kuungana nao

    "Muungano ule (UKAWA-2015) ulilenga kuviua vyama vingine na Chadema ndio ilikuwa namba moja kuvimaliza vyama vingine, NCCR Mageuzi haitarudia makosa yale" Joseph Selasini, Makamu M/kiti NCCR Mageuzi. Chanzo: Jambo TV
  12. JamiiForums Tanzania THRDC, EAHRI na DPI watoa Mafunzo kuhusu Utakatishaji Fedha na Njia zinazotumika Kufadhili Ugaidi kupitia Asasi za Kiraia

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), kwa kushirikiana na Taasisi ya Haki za Binadamu Afrika Mashariki (EAHRI) na Shirika Lisilo la Kiserikali Defenders Protection InternationaI (DPI) lenye Makao yake Nchini Uganda wameendesha Mafunzo ya Siku 2 yanakayofanyika Dar es salaam...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Kwa yeyote anayesoma Bsc. Education kupitia Open University, tujuane

    Kama kichwa kinavyojieleze, ikiwa unasoma, au umewahi kusomea Open University kwa Bsc. Education, naomba tujuane tupeane uzoefu wa namna ya kutoboa kozi hii. Asanteni
  14. JamiiForums Tanzania Je, mikopo kupitia pension kwa watumishi wa umma bado ipo?

    Habari za muda huu waungwana? Miaka ya nyuma kidogo kulikuwa na utaratibu wa mtumishi wa umma anapofanya kazi na kukatwa pension kwa miaka 15+ anaweza kukopeshwa sehemu ya pension yake na mfuko anaouchangia. Je, utaratibu huo bado upo? Najua humu wapo wajuzi wa mambo mengi na bila shaka...
  15. JamiiForums Tanzania Nilitegemea baada ya Watanzania kupitia Ukame na Maji yakawa ni Mgawo sasa tungekuwa busy Kuvuna Maji tusijetaabika tena

    Matokeo yake tumeshajisahau na kama Kawaida yetu tuko busy na Kumsifu Mtu kila Saa ( kwa kile ambacho mpaka sasa GENTAMYCINE sijaona alichofanya ), tuko busy Kutongozana na Kubanduana, tuko busy na Suala la Fei Toto, tuko busy na Mambo ya Mpira, tuko busy na Mabadiliko ya Mawaziri, Makatibu na...
  16. JamiiForums Tanzania Mwenendo wa siasa za CHADEMA na Rais samia kupitia CCM. Nani anapoteza nani anapata kati ya CDM na CCM?

    Simple sana. Anayepatia ni CDM, anayepoteza ni machawa wa CCM wala sio CCM. Hii ni kama kusema mwenendo wa siasa hizi ni CDM vs Machawa wa CCM. Kuna uzi humu nimeandika kwamba, adui mkubwa wa CDM ni Polisi na wala sio CCM. Polisi kwa namna nyingine tunaweza kuwaita ni machawa wa CCM...
  17. JamiiForums Tanzania Namna mwanamke anavyonunuliwa kupitia 'mahari'

    Karibu katika somo hili la leo linalohusu biashara maarufu ya kununua wanawake "mahari". Mchanganuo au namna inavyo fanya kazi; Bidhaa Mwanamke [ Nyanya ] Wauzaji Wazazi upande wa mwanamke Wanunuzi Wazazi upande wa mwanamme. Dalali Mshenga Mazungumzo ya biashara: Mzazi upande wa mwanamke...
  18. JamiiForums Tanzania Hawa Mchafu aongoza mafunzo ya biashara kidigitali kupitia LHRC

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani (UTW) Mhe. Hawa Mchafu ameambatana na Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (Legal and Human Right Center - LHRC) Wakili Anna Henga; Mbunge Jimbo la Bagamoyo Mhe. Muharami Mkenge; Mwenyekiti wa Halmashauri ya Bagamoyo Mhe. Mohamed Usinga na...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali kupitia Wizara ya Afya imeona hili tangazo?

    Kuna tangazo lipo kwenye mtandao wa kijamii wa facebook linahusu kutibu HIV, ni mwezi wa sita huu kama sikosei tangu nimeanza kuliona. Nimeweka hapo jina la daktari na wakala wake kwa hapa Tanzania. Ninachoweza kufahamu hakuna kitu kama hicho na mbaya zaidi watu inaonekana wanatapeliwa sana...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali kutangaza utalii kupitia mbio za Kilimanjaro

    NW UTALII, MARRY MASANJA - SERIKALI KUTANGAZA UTALII KUPITIA MBIO ZA KILIMANJARO Serikali imesema itaendelea kutangaza vivutio vya utalii katika nchi wanazotoka washiriki wa mbio za Kilimanjaro International Marathon ili kuongeza idadi ya washiriki wa mbio hizo na hatimaye kuongeza idadi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…