kupitia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kama una kipaji cha U Mc na haujui jinsi ya kupata kipato kupitia kipaji chako waone Maduskodusko Entertainment. Wana manage Ma Mc ( Washereheshaji)

    Wewe una kipaji cha U Mc( Ushereheshaji?) Haujui jinsi ya kupata kipato kupitia kipaji chako? Kama jibu lako ni NDIO basi hii ni HABARI NJEMA Sana kwako. Maduskodusko Entertainment Promotion tuna manage Ma Mc wenye vipaji kwa kuwatafutia events mbalimbali za Ku perform ndani na nje ya jiji la...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza namiliki DSTv, lakini nimechemka kupata sauti kupitia sabufa

    Nimetoa Waya wa HDMI umeenda katika TV, na inawaka, pia nikatoa Waya wa two in one kutoka kwa king'amuzi kwenda kwa sabufa hamna sauti, tafadhali nisaidien anakosea wapi, asante wakuu nawapenda
  3. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuuza Bidhaa Kupitia Value-Based Marketing

    Jinsi ya Kuuza Bidhaa Kupitia Value-Based Marketing Katika dunia ya sasa ya ushindani wa kibiashara, njia bora ya kuuza bidhaa si kwa kushinikiza watu kununua, bali kwa kuwapa thamani kwanza. Hii ndio maana halisi ya Value-Based Marketing — mbinu ya kuuza kwa kutoa elimu, maarifa, na suluhisho...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Msiende kwa Rais kabla ya kupitia kwa IGP

    Polisi wamejipanga vizuri kuelekea uchaguzi mkuu ... Jambo hapa enzi hizo ikiitwa jambo furums mababu mnaikumbuka . Wamekamatwa wafuasi na wasiokuwa wafuasi wa CHADEMA siku ya mwanzo ya kesi ya Mheshimiwa Lisu kwa visingizio mbalimbali ,tuseme vinakubalika/havikubaliki. Kati ya habari between...
  5. JamiiForums Tanzania Ni nani anayefaidika na hizi kesi zetu Yanga huko CAS? Kuna watu wanapiga pesa kupitia huu upuuzi.

  6. JamiiForums Tanzania Ninavyosaidia brand za afya kupata wagonjwa wengi na mauzo zaidi kupitia victoria agency

    NINAVYOSAIDIA BRAND ZA AFYA KUPATA WAGONJWA WENGI NA MAUZO ZAIDI KUPITIA VICTORIA AGENCY. Unajua changamoto kubwa ya biashara za afya? Dawa nyingi za asili Herbal medicine zinasaidia sana watu wengi wanapona kwa gharama ndogo sana. Nimefanya kazi na brand za afya, Ila 👇👇 Unakuta mtoa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Majaliwa Kyara achaguliwa kuwa mgombea Urais kupitia SAU

    Mkutano Mkuu wa Chama cha Sauti ya Umma (SAU), umemchagua Bw. Majaliwa Kyara, kuwa mgombea wa nafasi ya Urais kupitia chama hicho, kwenye Uchaguzi Mkuu, unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu, wakisisitiza kauli mbiu ya chama chao Sala na Kazi, wakiamini italeta mafanikio katika...
  8. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutengeneza Pesa Kupitia Personal Brand (2025 Guide)

    Katika dunia ya leo ya kidigitali, Personal Brand imekuwa moja ya njia zenye nguvu zaidi za kujitengenezea kipato. Iwe wewe ni mjasiriamali, mtaalamu wa taaluma fulani, msanii, au hata mwanafunzi — kuji-brand binafsi kunaweza kukuwezesha kuvutia fursa, wateja, na kipato kikubwa. Lakini, jinsi...
  9. JamiiForums Tanzania Pajue Iringa kwa kupitia picha

    Habari zenu wana JamiiForums, nimatumaini yangu wote ni wazima na wale wenye changamoto za hapa na pale nawaombeeni mzivuke salamaa.. Sasa basi kwakuwa jukwaa letu hili ,, linatuleta watu toka sehemu mbali mbali za nchi yetu ya Tanzania ,, leo nimeona niwaletee picha mbali mbali za mkoa wa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania NAOMBA KUULIZA FAVORS ANAZOPATA MTU MWENYE ULEMAVU KWENYE AJIRA ZA SERIKALI KUPITIA AJIRA PORTAL

    Napenda kujua Naomba kujua favor anzopata mtu mwenye ulemavu kwenye ajira za utumishi ikiwa labda kafeli oral au hata written wanamsaidiaje hapo? Nina ndugu yangu Kaomba Hz kazi za ualimu masomo ya biashara yeye kakatika mkono
  11. M

    JamiiForums Tanzania FAVOR ZA MTU MWENYE ULEMAVU KWENYE AJIRA ZA SERIKALI KUPITIA AJIRA PORTAL

    Ningependa kujua Naomba kujua favor anzopata mtu mwenye ulemavu kwenye ajira za utumishi ikiwa labda kafeli oral au hata written wanamsaidiaje hapo? Nina ndugu yangu Kaomba Hz kazi za ualimu masomo ya biashara yeye kakatika mkono
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini ticket za mabasi ya mwendokasi zisikatwe kupitia mawakala wa Bank?

    Usafiri wa mabasi ya mwendokasi upo taabani yawezekana Kuna wizi uliyokithiri na hii ndio huluka ya watanzania na kama ni wizi basi upo katika ukutishaji wa ticket Ukienda kukata ticket unalikuta libaba ndio kinakatisha ticket uwaga najiuliza hivi kweli libaba kama hili mshahara pekee wa hapa...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ukibisha wewe ni mfanya fujo!: Kupitia 4R za Mama, Matunda yanaonekana!

    Tuishi humo! Rais wa Chama cha Mawakili wa Serikali, Amedeus Shayo amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameendelea kuwa kielelezo kizuri cha haki nchini kutokana na juhudi kubwa anazozifanya ili kuhakikisha Watanzania wanafikiwa na huduma za kisheria pamoja na kupata haki zao kwa wakati...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Marekani wanaweza kupitia CHADEMA

    Kila kitu wao wanaisifia Marekani ,wakati Nchi nyingi za Africa sasa zimeamka ,Hata Tanzania tumeipiga na chini Marekani. Hila za Mkoloni huyu huwatumia au kuvitumia vyama vya siasa na kuwarubuni ,tuseme huwaweka kama vibaraka. Na Chadema ni rahisi sana kurubuniwa na tumeona utayari wao wa...
  15. JamiiForums Tanzania Nina mpango wa kugombea urais kupitia chama kimoja wapo Cha kisiasa na hii ndiyo agenda yangu kuu.

    -----Update------- Hoja zangu zimeshambuliwa na wananchi ambao Wanaona haiwezekani kwa kuwa serikali zingine zimeshindwa lakina ukweli ni kuwa sisi tutafanikisha Hili suala kwa kujua umhimu wa kuanzia fursa sawa kwa watoto wote wa Tanzania. ---------- Ndugu wananchi...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Kununua magari kupitia Alibaba.com

    Wakuu habari za jioni. Nimepitia alibaba.com nimeona kuna magari watu wanauza humo, yanaonekana ni mazuri sana na bei zao ni nzuri. Niliyoyaona humo yanauzwa kutoka China. angalia kwa mfano hii Rav4...
  17. JamiiForums Tanzania Mabadiliko makubwa yanakwenda kutokea Tanzania kupitia Chadema ya Lissu. Mbowe alitumika kuwanyima haki Watanzania.

    Kitendo cha Chadema kukataa kushiriki kusaini kanuni za maadili uchaguzi 2025 ni ishara njema. Hii ni ishara kubwa kuwa hii sio Chadema ya waganga njaa ambo wapo kwa ajili ya matumbo yao. Kama viongozi waandamizi wa CCM kama Diallo , Nape na yule Disii aliyetimuliwa walitamka wazi kuwa CCM...
  18. JamiiForums Tanzania Tunaposema awepo mgombea binafsi muwe mnaelewa, angalia Sasa vijana waliokuwa wanategemea kupambana kupitia Chadema

    Chadema angalau ni chama ambacho kinajulikana kwa wananchi mpaka wa vijijini na kina hamasa kwenye uchaguzi Vijana wengi walitegemea Chadema maana kule ccm ni wazee na matajiri,kijana kupenya si rahisi
  19. JamiiForums Tanzania Sister Theodore na Watoto tujifunze kupitia Mathayo 7:9-11

    Wakuu Biblia inatuambia kupitia maneno ya Bwana Yesu kwenye Mathayo 7:9-11 kwamba 9 Au kuna mtu yupi kwenu, ambaye, mwanawe akimwomba mkate, atampa jiwe? 10 Au akiomba samaki, atampa nyoka? 11 Basi ikiwa ninyi, mlio waovu, mnajua kuwapa watoto wenu vipawa vyema, je! Si zaidi sana Baba yenu...
  20. JamiiForums Tanzania Wanaume JamiiForums nadhani tumeshapata Somo Kubwa na la kutosha kupitia yaliyokuwa Mahusiono ya 'Ki - Ndumilakuwili' ya Haji Manara na Zaylisa

    Ni kwamba...... 1. Hata siku moja usije Kumuamini 100% kiumbe kiitwacho Mwanamke 2. Hata siku moja usipende Kujimaliza 100% kwa Mwanamke / Mkeo . Hata siku moja ukiwa katika Public usipende sana kumtambia Mkeo wa Watu kwani hawa Hawatabiriki 4. Hata siku moja usiyaamini maneno matamu matamu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…