kupigwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Yanga kuweni na adabu si kila kocha mnapalamia mtakuja kupigwa makofi

    Kocha rhulan mokwena akihojiwa wiki kadhaa zilizo pita, ALIDAI KUWA Kuna KLABU Toka afrika mashariki ilimfuata akakataa. KLABU Haina miundo mbinu hata uwanja WA mazoezi TU ni mtihani Nikajiuliza TIMU zinazo saka KOCHA hapa afrika mashariki ni HIZI za Tanzania hasa NDO zina tetesi zakumfukuzia...
  2. JamiiForums Tanzania Baada ya machawa kupigwa chini kwenye mchakato, CCM waja na mkakati wa kuwapitisha tena ndiyo maana wakataka majina mengi yaende juu

    Baada ya wajumbe huku chini kideal vizuri na wale waliokuwa machawa, wazembe na waliongia kwenye nafasi za uongozi kwa kubebwa, CCM imeona haiweziishi bila machawa wameona waje na mpango mwingine wa kuhakikisha wanawapitisha huko juu Ili kudharaulisha na kupuuza maamuzi ya wajumbe kwaiyo...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Lile shauri la kupigwa Dr. Padre Kitima liliishia wapi?

    Tulishuhudia Dr. Padre Kitima akipigwa na watu wasiojulikana. Shauri hili lilipelekwa mbele ya sheria. Ninauliza , shauri hili limeishia wapi?. Mbona hatusikii maendeleo yake?.
  4. U

    JamiiForums Tanzania Swahaba mtukufu aliyepata muujiza wa ajabu kutoka kwa Mtume Muhammad(saw) baada ya kupigwa mshale hadi mboni ya jicho ikadondoka kwenye shavu lake

    Ni Swahaba nani ambaye Mtume(saw) alirudisha jicho lake baada ya kujeruhiwa katika vita vya Uhud? Huyu ni Swahaba mtukufu aliyepata muujiza wa ajabu kutoka kwa Mtume Muhammad(saw) baada ya jicho lake kupigwa mshale katika vita vya Uhud, hadi mboni ya jicho ikadondoka kwenye shavu lake...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi Serikali inawezaje kupigwa kopi?

    Kwenye Moja ya maelezo yake kwenye kile alichokuwa anakiita "shule ya uongozi" Balozi Humphrey Polepole aliwahi kusema kuwa wahuni wanaweza kuipiga kopi Serikali. Hivi Serikali inawezekanaje ikapigwa kopi?
  6. JamiiForums Tanzania Picha: Iran yaonyesha namna inaweza kutumia nyuklia kuifuta Israel, hivyo inapaswa kupigwa kila inapojaribu kupata nyuklia

    Mshauri mkuu serikalini aonyesha picha ya namna ya kuifuta Israel kwa kutumia mabomu mawili ya nyuklia, hizi ndio sababu kwa nini hao magaidi wa waislamu hawapaswi kumiliki silaha zozote zenye maangamizi makubwa, maana adhimio lao kuu huwa kumaliza Wayahudi. Kila wakipanga kujihami kwa nyuklia...
  7. JamiiForums Tanzania Khan younis yaendelea kupigwa kwa nguvu zote na majeshi ya Israel

    Majeshi ya Israel yaendelea kuisawazisha Khan younis katika vita vyake na magaidi w Hamas!!!
  8. JamiiForums Tanzania Nini kilichangia Wachungaji kupigwa 9-2 na Mapadri?

    Katika maazimisho ya miaka 50 ya Askofu Isack Amani wa Arusha na kuimarisha umoja baina ya watumishi wa Mungu , kulichezwa mechi muunganiko wa wachungaji vs mapadri wa Arusha . Kiukweli wachungaji walizidiwa sana ,wachambizi wa JF nini kilipelekea hiki kipigo cha 9-2 ...
  9. JamiiForums Tanzania Tetesi: Matokeo ya uraisi kupingwa mahakamani, wakala wa mgombea kuingia na simu kwenye kituo Cha kupigia kura

    Kama kawaida nawaletea za ndani kabisa. Ikumbukwe wiki hii niliwaletea habari kuwa bunge halitovunjwa Hadi August, na imekuwa hivyo. Sasa ndani ya mwezi July kutafanyika marekebisho madogo ya katiba na kanuni za uchaguzi. Marekebisho hayo ni kuwa Kwa mara ya kwanza matokeo ya uraisi yataweza...
  10. JamiiForums Tanzania Iran wamejitafutia matatizo

    Lengo la Israel ni kutaka kutengeneza fitina ndani ya Iran ili kutengeneza mazingira ya utawala wa sasa kupinduliwa. Utawala huu wa Kiislam uliingia kwa mapinduzi ya 1979 (wakati sisi tuko busy na Idd Amin). Kabla mwaka 1953 Marekani na ulaya walisaidia mapinduzi yaliyo uweka utawala wa...
  11. B

    JamiiForums Tanzania June 23 TEHRAN kupigwa pigo takatifu, Kitabu cha Esther tarehe 23 kwa kalenda ya Kiyahudi

    23 June 2025 historia kwenda kujirudia . Mwanazuoni rabbi afafanua https://m.youtube.com/watch?v=tCx0oNy1DnI Rabbi anaingia kwa kina kuangalia historia hii katika kitabu kitakatifu : Katika Kitabu cha Esta, siku ya 23 ya mwezi wa Kiebrania wa Sivan iliashiria kipindi cha badiliko kutoka...
  12. JamiiForums Tanzania Akifa muisrael au kupigwa hospitali ni kosa ila haki ikifanya hivyo kwa wengine

    Hakuna taifa la hovyo kama Israel. Likishambuliwa ni uharifu wa kivita na mauaji ya kimbari. Likiua, ni haki na sawa. Sijui ni akili gani wanyama kama Netanyahu na Trump wanatumia. Kumbe mkuki kwa nguruwe siyo? Halo halo!!
  13. W

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kumjua mtu poa sana ila nilipogundua ni jambazi hadi kupigwa kwake risasi, tangu siku hiyo naishi na watu kwa umakini sana

    Hapo zamani niliwahi kuishi na jirani, Tulikuwa tukiishi kwenye nyumba moja iliyogawanywa sehemu mbili. Alionekana mpole, muelewa, mpenda mazoezi na mtu wa kuaminika. Tulikuwa tukiongea mara kwa mara, na kila kitu kilionekana kiko sawa. Siku moja niliwahi kutembelea sehemu aliyodai kuwa ofisi...
  14. JamiiForums Tanzania Yanga yalaani vikali vitendo dhidi ya Mashabiki wake kupigwa na mashabiki wa Simba kwenye Fainali ya CAF Zanzibar

    Uongozi wa Klabu ya Young Africans umetoa taarifa ya kulaani vikali vitendo vya kupigwa, kuchaniwa jezi na kufukuzwa uwanjani kwa baadhi ya mashabiki wake katika mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika uliofanyika Mei 25, 2025 katika Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Kupitia taarifa hiyo...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbunge wa Juja George Koimburi aliyetekwa apatikana kwenye shamba la kahawa akiwa amejeruhiwa vibaya

    Mbunge wa Juja, George Koimburi, amepatikana akiwa amejeruhiwa vibaya kwenye shamba la kahawa Kaunti ya Kiambu. Koimburi,ambaye ni mtetezi mkubwa wa Naibu Rais wa zamani Rigathi Gachagua, alitekwa nyara Jumapili, Mei 25, nje ya Kanisa la Full Gospel Mugutha akiwa na mkewe, Anne Koimburi...
  16. JamiiForums Tanzania Unajua watu fulani wako hatarini kupigwa marufuku kukanyaga Marekani?

    Unaweza ukasema, "kwani Marekani ni Mbinguni?" Lakini ukweli ni kwamba wakubwa wengi wanapenda kwenda huko ama kwa ziara rasmi au kwa ajili ya kutumbua hela! Hata mimi kuna siku nitafika USA! Taarifa iliyopo ni kuwa Marekani inalifuatilia sakata la wanaharakati kutoka nchi jirani kudhalilishwa...
  17. JamiiForums Tanzania Barani Africa: msimu huu makombe yote yatachukuliwa ugenini, mmoja kupigwa nje ndani

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU Msimu huu makombe yote kwa bara la Africa yatachukuliwa ugenini Lakin mmoja ambaye ni kibonde kabisa atapigwa nje ndani SAYUNI BOY
  18. JamiiForums Tanzania Klabu ya Simba yathibitisha mechi ya Fainali ya CAF kuchezwa Zanzibar

    Klabu ya Simba imewatangazia rasmi mashabiki wake na umma kwa ujumla kuwa mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAF Confederation Cup) dhidi ya RS Berkane kutoka Morocco, uliopangwa kufanyika Mei 25, 2025, hautachezwa tena kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kama...
  19. JamiiForums Tanzania CAF wakaza, Fainali ya pili kupigwa New Amaan Complex, Zanzibar Saa 10 Jioni

    Mchezo wa fainali ya pili ya Kombe la shirikisho barani Afrika (CAFCC) utapigwa uwanja wa New Amaan Complex, Visiwani Zanzibar, saa kumi jioni. CAF wameshaanza kufanya branding ya uwanja wa mchezo wa fainali ya pili ya CAFCC.
  20. JamiiForums Tanzania Fainali Sasa rasmi kupigwa Kwa mkapa

    CAF wamewakubalia Simba ombi lao na Sasa Finali itapigwa Kwa Mkapa tarehe 25 May, 2025 JamiiCheck imefuatilia Taarifa hii na kubaini kuwa si ya Kweli. Soma hapa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…