kupeleka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Yanga kupeleka mwakilishi kwenye msiba wa Pele ni suala la kupongezwa na kila mtu

    Suala la Yanga kumtuma ndg Andrew Mtime nchini Brazil katika shuguli ya msiba wa Pele Ni suala la kupongezwa na kila Mtanzania. Ndugu Andrew aliondoka nchini tarehe 31.12.2022. Pamoja na kuwa watu watakaoshiriki mazishi ni familia pekee, Kuna taarifa isiyo rasmi inasema kuwa mwakilishi huyo...
  2. JamiiForums Tanzania Mwijaku: Ni wakati sahihi kwa Nandy kuanza kupeleka matumizi ya mtoto kwa Mobetto

    Mwijaku amedai ni aibu kubwa kwa msanii mkubwa Kama Nandy na mumewe kuendelea kusaidiwa kutunziwa Mtoto na msanii mwenzake Diamond. Mwijaku amemtaka Nandy akamshukuru ndg Diamond kwa kipindi chote alichomsaidia na malezi ,Kisha yeye kuendelea kutuma hela ya matumizi kwa Mobetto mpaka Mtoto...
  3. JamiiForums Tanzania Mataifa mengine EAC mnaojiandaa kupeleka Wanajeshi wenu Congo DR hakikisheni wanagawa Urithi kabisa

    Waasi wa M23 hawana Masihara kabisa hivyo GENTAMYCINE nawaonya mapema msije Kukurupuka nanyi Kuwaiga Wakenya waliopeleka Wanajeshi ( Askari ) Wao 901 na Kukurupuka kupeleka Wenu kwani kwa Uhodari wa Waasi wa M23 kuna uwezekano nanyi mkipeleka wenu 500 watakaorejea Hai ni Wawili ( 2 ) au hata...
  4. JamiiForums Tanzania Baada ya Kenya kupeleka askari wake DRC chini ya mwavuli wa EAC. Je, Rwanda na Uganda watapeleka askari wao?

    Habari wakuu? Natumaini wengi wetu tumeona taarifa juu ya serikali ya Kenya kupeleka askari wake kwaajili ya kupambana na waasi wa M23 pamoja na vikundi vingine pale mashariki mwa jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo ambapo askari hao wamepelekwa kama askari wa jumuiya ya Afrika mashariki ukiachana...
  5. JamiiForums Tanzania Uturuki na Urusi wakubaliana kupeleka nafaka bila malipo kwa nchi Masikini - Erdogan

    Wapokeaji watakuwa nchi maskini kama vile Djibouti, Somalia, na Sudan, Ankara inasema Marais wa Urusi na Türkiye walikubaliana katika simu ya hivi majuzi kuhusu kutuma nafaka kwa mataifa maskini zaidi duniani bila malipo, kiongozi wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan, amefichua. Alisema hayo...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Dereva wa kupeleka magari madogo mikoani na mipakani

    Mwenye uhitaji wa Dereva anaye peleka magari madogo mikoani na mipakani nipo kwa ajili hiyo, bei zangu rafiki sana na nafanya kwa uaminifu mkubwa sana. Napeleka magari yanayotoka bandarini na kuyapeleka kwa wahusika pia napeleka yale ya transit hadi mpakani. Bei zangu ni kama ifuatavyo: 1...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Utumishi Kupeleka Interview Dodoma ni kuwanyima watoto wa masikini nafasi ya kushiriki

    Hili suala kiukweli linafikirisha sana Hii inakua ni kama upendeleo kwa wakazi wa Dodoma pekee na kuwanyima nafasi ya kushiriki watoto wa masikini wanaotokea mikoa mingine Juzi juzi niliona Waziri Jenister Muhagama akiongelea kwamba wameona ni bora kila mtu afanye usaili kwenye mkoa wake ili...
  8. JamiiForums Tanzania Iran yakanusha kupeleka drones zake Urusi, hivi wanaogopa nini?

    Iran yasema haifungamani na upande wowote na yakana drones zake hazijatumwa Urusi....swali la msingi wanaogopa nini, ukitoa msaada kwa supapawa Urusi jiandae kwa kitakachokupata, ni dhahiri drones za Iran zinatumika kuua wananchi wa Ukraine, zinapiga bembea za watoto. ========== Iran has once...
  9. JamiiForums Tanzania Kabla ya kupeleka gesi yetu Kenya tutafakari kwanza kuhusu haya yafuatayo

    Watanzania tuna ugoigoi katika kutekeleza na kufanikisha yale tunayoyafikiria, tunayoyapanga na hata yale tuliyoamua kuyatekeleza. Mfano, hata wimbo wa kuhamia dodoma uliimbwa kwa miaka mingi sana kabla ya kutekelezwa' Siku ambayo gesi yetu itafika Kenya, kesho yake tu asubuhi nishati ya gesi...
  10. JamiiForums Tanzania Uingereza kuipelekea Ukraine Makombora ya kujikinga dhidi ya mabomu ya Urusi yanayoshambulia uraiani

    Anga yote ya Ukraine hivi karibuni italindwa, ili tuendelee vizuri kwenye frontline bila kuwaza wananchi uswazi. ======== Britain on Thursday said it would supply Ukraine with air defense missiles to defend itself against Russian assaults and will for the first time provide rockets capable of...
  11. JamiiForums Tanzania Rais wa Chechnia Ramzani Kadyrov kupeleka watoto wake kumsaidia Putin

    Ramzani amesema kuwa mzazi mwema huwafunza watoto wake namna ya kulinda familia, hivyo amepanga kuwapeleka wanawe mstari wa mbele. Watoto hao hawajafikia umri unaokubalika kushiriki vita, kwani umri wao ni miaka 14, 15 na 16. Aidha, Rais huyo amerusha video zinazo onesha wanawe wakirusha...
  12. JamiiForums Tanzania Hii serikali haina pa kupeleka vishkwambi wanawatupia Walimu

    Habari! Niliposoma habari ya vishkwambi kupewa walimu ili wakakuze TEHAMA nimeendelea kuwahurumia hawa watumishi ambao wamegeuzwa mpira wa Kona. Hiyo TEHAMA itakua vipi kwa kutumia vishkwambi? Serikali isikwepe majukumu yake, wanunue vifaa kamili vya kukuza TEHAMA kwa wanafunzi.
  13. JamiiForums Tanzania Wakati Marekani ikijiandaa kupeleka binadamu katika sayari ya Mars, Serikali ya Tanzania ina mpango gani kuwapeleka raia wake?

    Marekani imepanga kupeleka raia wake huko sayari ya Mars ifikapo 2030s. Urusi nayenyewe imepanga kupeleka raia wake Mars ifikapo 2040s . China nao wamepanga 2040s kama urusi. Sasa sisi serikali yetu inasubiri nini kwenye huu upande wa teknolojia ya angani? Mpaka sasa kimya hakuna...
  14. JamiiForums Tanzania NASA mbona haieleweki kuhusu kupeleka watu mwezini?

    Miaka karibu 50 tangu kile kilichoelezwa kusitishwa kwa safari za kwenda mwezini mwaka 1972,sasa kituo cha anga cha NASA kimesema kinataraji kurejea safari hizo hivi punde. Hapo Jumatatu chombo kinachotajwa kuwa na nguvu kubwa kiitwacho Artemis kitafanya safari za majaribio kwenda karibu na...
  15. JamiiForums Tanzania Je, naweza kusajili jina la biashara na nisianze kupeleka kodi TRA?

    Mawazo yenu wakuu, yaani nataka tu kuweka security kwenye Jina la biashara yangu hapo baadae ntakapo ianza rasmi. Lakin nmeona moja ya vitu vinavyohitajika ili kusajili jina la biashara ni TIN namba. Sasa nahofia naweza kuingia kwenye sakata la kodi ya mapato mapema wakat biashara bado...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali yaahidi kupeleka kituo cha afya Chato

    Kweli zama huja na kuondoka. Serikali imeahidi kupeleka kituo cha afya Chato ili kuhakikisha wananchi wanapata huduma safi za afya. My take: Uwanja wa ndege haukuwa na faida wakati huduma za kijamii kumbe zilikuwa bado.
  17. S

    JamiiForums Tanzania Pentagon yaogopa kupeleka ndegevita za Marekani Ukraine; yahofia biashara yake ya ndege hizo itaharibika!

    Pentagon imeendelea kuruka viunzi suala la kupeleka ndegevita za kimarekani nchini Ukraine. Pentagon yasema suala la kuipatia Ukraine ndegevita za kimarekani lipo mezani lakini kuzipeleka hadi kufika nchini Ukraine itachukua miaka tele. Mwambieni Biden aache kuruka viunzi, ni muda muafaka sasa...
  18. JamiiForums Tanzania Mume kizimbani kwa kutishia kumuua mke kisa kupeleka chakula kwa mchungaji

    Japo kutishia kuua ni kosa, ila alilofanya huyu dada ni ujinga na upumbavu kwa wakati mmoja. Hatukatai mtu kumtolea Bwana sadaka ila aina hizi za sadaka ni dhambi si sadaka tena. --- Joseph Moses dereva wa ‘bodaboda’ mkazi wa Mbeya anayekabiliwa na shtaka la kutishia kumuua mkewe kwa maneno...
  19. JamiiForums Tanzania Marekani kupeleka Haiti msaada wa Tsh. Bilioni 11.6

    Msaada huo umetengwa kutoka kwenye Mfuko Mkuu wa Dharura (CERF), ili kushughulilkia hali mbaya ya Chakula nchini humo inayosababishwa na ghasia za magenge ya waasi Ripoti ya Mashirika ya Misaada ya Umoja wa Mataifa imeonesha tangu mwezi Julai 2022, takriban watu 500 wameuawa katika mapambano...
  20. JamiiForums Tanzania China kupeleka wanajeshi wake Urusi kwa ajili ya mazoezi ya kijeshi

    China inatarajia kutuma baadhi ya Wanajeshi wake kwenda Urusi kwa ajili ya kufanya mazoezi ya pamoja ya Kijeshi kuanzia Agosti 30 hadi Septemba 5, 2022. Mazoezi hayo pia yatahusisha Wanajeshi kutoka Nchi za India, Belarus, Mongolia, Tajikistan na nyingine kadhaa. Aidha, China imekuwa ikiiunga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…