kupeana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. De Rabbits slick

    Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

    Habari nimeamua kuadika uzi huu kwa lengo la kusaidiana hasa kwa wale pata shida kwa kukosa ajira na kuishi kulimbikiza stress kichwa na wakti mwingine kufikia kujiwazia mabaya katika maisha yao. Hivyo bhasi niombe wanzengo kama kuna mwenye mchongo wowote ilhali ni salama na usio kinyume sheria...
  2. Uchumi wa Mifugo

    SoC01 Michezo ya kupeana hela ilivyomnufaisha Isa mchoma mishikaki wa Ufukwe wa Coco

    Asubuhi ya jumatatu ya tarehe 26 Julai 2021 ilinikuta nikiwa kwenye ufukwe wa Coco,macho yangu yalikuwa yanaitazama fukwe hiyo maarufu nchini huku upepo mkali ukivuma kutokea baharini,meli na boti zikikatiza nyingine zikitokea usawa wa bandari ya Dar es salaam na nyingine zikielekea, pia zipo...
  3. Mtemi mpambalioto

    Kimbunga JOBO: Uzi maalum kupeana Updates za kimbunga hiki

    Tumeambiwa kimbunga hiki hakijatokea eneo la ukanda wa Afica mashariki kwa takribani miaka 70. Hapa ni sehemu maalum kuhabarishana yanayojiri hasa mliopo fukwe huko. Tukumbushane pia tahadhari za kuchukua maana siku yenyewe ni leo na kesho tu kwa mujibu wa mamlaka za hali ya hewa.
  4. J

    Leo wabunge wanakwenda moja kwa moja kwenye point hakuna kupongezana wala kupeana pole, Kilango alia na upendeleo!

    Mjadala wa ofisi ya Rais Tamisemi unakwenda vizuri ile mambo ya kusifia sifia kutoa pongezi na pole haipo leo. Mbunge wa kwanza kuchangia Anna Kilango ametaka majimbo yote yaangaliwe kiusawa kwenye swala la fedha za maendeleo badala ya fedha kupelekwa jimbo moja tu kwa upendeleo. Amesema...
  5. AFRICAN BOYI

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Kama kichwa cha habari kinavyo someka ningependa uzi huu uwe maalum kwa kupeana connection mbalimbali za biashara. Biashara bila connection unaweza fanya bila mafanikio, hivyo basi ni vizuri tupeane connection mbalimbali za biashara. Uzi huu utumike kuwakutanisha watu mbalimbali katika biashara...
Back
Top Bottom