kupatikana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Bila kupatikana kwa katiba mpya ya wananchi tume huru ya uchaguzi Nchi haitakuja kutawalika tena

    Kwa heshima ujengwe mnara mkubwa wa makumbusho ya kumbukumbu ya kuwa kumbuka kila mwaka wahanga wetu wote. Walioteswa Waliopotezwa ama kuuwawa na CCM kabla na baada ya mauwaji ya uchaguzi wa October 29,2025 kwa kuyaandika majina yao wote kama Mashujaa wa Taifa.
  2. JamiiForums

    Tamko kuhusu JamiiForums kuendelea kuzuiliwa kupatikana nchini Tanzania

    TAARIFA KWA UMMA Mnamo Septemba 6, 2025, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilisitisha Leseni ya Maudhui Mtandaoni ya JamiiForums na kuzuia upatikanaji wa jukwaa kwa siku 90, kwa madai ya ukiukwaji wa Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta. Pamoja na kutambua athari kwa haki ya...
  3. Waufukweni

    PostGE2025 Hatimaye mwili wa Dainesy wapatikana hospitali ya Kivule, familia yapanga upya siku ya mazishi

    ‎Familia ya Dainesy, msichana wa miaka 28 aliyeuawa na polisi katika tukio la Oktoba 29 huko Tabata, imeupata mwili wa mpendwa wao baada ya siku kadhaa za sintofahamu na mateso ya kutokujua alipopelekwa. ‎Kupitia taarifa ya Esha Buheti, ambaye amejitambulisha kama ndugu wa marehemu, familia...
  4. Yoda

    PostGE2025 Inawezekanaje kuwa na amani ya kudumu bila haki za msingi na uhuru wa raia?

    Wale wanaosema( hasa masheikh wengi na serikali) kwamba tunaweza kuwa na amani bila haki ni vyema watueleze ni jinsi gani jambo hili linawezekana hapa Tanzania ili tuwaelewe vizuri na sisi tuweze kuishi kwa amani ya kudumu bila haki katika taifa letu. Watupe na mifano ya mataifa yenye mfanano...
  5. Roving Journalist

    PostGE2025 Dkt. Nchimbi: Amani ya kudumu haiwezi kupatikana bila maendeleo jumuishi na endelevu

    Wito wa amani, usalama na maendeleo kama ilivyosadifu kaulimbiu ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR), ulitawala kwenye hotuba za viongozi ikiwemo ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Emmanuel John Nchimbi, aliyoisoma...
  6. DuaZaMama

    Serikali yathibitisha kupatikana kwa mwili wa Joshua aliyeuwawa nchini Israel

    Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imethibitisha taarifa za kupatikana kwa mabaki ya mwili wa Mtanzania Joshua Loitu Mollel (21) aliyeuwawa nchini Israel. Joshua alikuwa miongoni mwa vijana 260 wa Kitanzania waliokwenda Israel kwenye mafunzo ya kilimo cha kisasa kwa...
  7. C

    Kupatikana kwa Jasusi Yeriko Nyerere.

    Na ule mwanya wake basi sisi hoi. Tukutane 9/12/2025 tutamsalimia huyu na Mwijaku pale Kigamboni sisi wakazi wa Kigamboni.
  8. Bakulutu

    KERO Mbolea za YARA zimekuwa changamoto kupatikana kwa RUZUKU muda mrefu sasa hasa ukanda wa pwani.

    Ni zaidi ya miaka 2 sasa mbolea za YARA ukiulizia kwa wauzaji hawataki kuuza kwa Ruzuku, wanadai hawalipwi kwa wakati na wananunua “cash” na wao wakiuza kwa ruzuku pesa yao inachelewa sana kulipwa. Ukiwapigia YARA sio rahisi kuwapata hata simu zao ni changamoto kupokelewa na wakipokea kwa...
  9. R

    Jamani, wale vijana wa Arusha (WACHOKONOZI) waliotekwa jana kuna habari za kupatikana kwao?

    Jamani wale vijana wa Arusha wamepatikana? MWenye habari zao atujuze PRELUDE: WAMEPATIKANA WAKO SALAMA POLISI AS WE SPEAK NOW, LABDA KAMA WATAKUWA WAMETESWA HUKO HUKO POLISI
  10. JanguKamaJangu

    Baba Mzazi wa Daktari aliyepotea na Mwili kupatikana Coco Beach asema wamejulishwa mwili umeshazikwa

    Dokta Hashimu Titho Kilosa alikua ni mwanafunzi wa udaktari bingwa katika Chuo cha Muhimbili na pia ni mtumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini (Mtwara). Juhudi za kumtafuta Dk.Hashimu zilianza mwanzoni mwa mwezi wa tano baada ya kutopatikana kwa takribani wiki moja, ambapo baba yake...
  11. Mfitinishaji

    Hatimae WhatsApp kupatikana kwenye iPad

    Hongera kwa Watumiaji wa iPad! Kuanzia Leo tarehe 27/05/2025, WhatsApp Inapatikana Rasmi Kwenye iPad Yako! Kwa muda mrefu, ilikuwa ni ndoto tu. Watumiaji wa iPad wamekuwa wakitamani na kusubiri kwa hamu uwezekano wa kutumia WhatsApp moja kwa moja kwenye vifaa vyao vikubwa bila kutegemea simu au...
  12. a sinner saved by Christ

    Matumizi ya GPS Cheap iliyopachikwa ndani ya mwili kusaidia kupatikana unapotekwa na watu wasiojulikana kufuatia kuongezeka matukio ya kutekana

    Ili kurahisisha kupatikana kwako ukiwa HAI au MWILI wako ukiwa umekufa au kuuwawa KURAHISISHA KUPATIKANA kwako kwa haraka pindi inapotokea kutekwa/kupotea katika mazingira mbalimbali mfano AJALI mtu amezama ndani ya maji baharini kufuatia ajali ya boti,n.k. ndege kutopoteza uelekeo na kupotelea...
  13. G Sam

    Kwa namna ambavyo inaelezwa tukio la kukamatwa Mdude, ni vigumu sana kupatikana tena!

    Inaweza kuwa ni Polisi kama inavyoelezwa lakini hakuna jipya kwao kuhusu usalama wa watu wanaokamatwa siku za karibuni. Siku hizi Polisi wanakuchukua hadharani na unarudi maiti au hupatikani tena na hakuna jambo lolote linalofanyika. Hawaambiwi chochote ndiyo maana nasema kwao hakuna tena jipya...
  14. R

    Eti, Pana maendeleo yawezayo kupatikana nje ya sanduku la kura?

    Salaam! Maendeleo ni kupiga hatua moja ndogo kwenda hatua ya juu Bora zaidi, sasa tujiulize, Sanduku la kura likinajisiwa, akaingia kiongozi Mkuu asiyetokana na ridhaa ya wananchi, Nini kitatokea? Wabunge wakiingia kwa kunajisi sanduku la kura, wapate wapi mawazo na hoja za wananchi ikiwa...
  15. snipa

    Grok AI sasa kupatikana kama App ya kawaida.

    Baada ya DeepSeek kuleta changamoto sasa Elon Musk kaamua Grok kupatikana kama Application ya kawaida, ambayo itapatikana kwenye App store zote.
  16. Waufukweni

    Bwana harusi aliyedaiwa kutekwa apatikana Kigamboni, alijificha kwa Mganga wa Kienyeji

    Taarifa ya Jeshi la Polisi == Ndugu wa Vincent Masawe, bwana harusi anayedaiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha wamethibitisha kupatikana kwa ndugu yao. Kwa mujibu wa ndugu hao, Vincent yupo katika kituo cha polisi kilichopo Kigamboni, mkoani Dar es Salaam. Akizungumza na Mwananchi...
  17. Roving Journalist

    Taarifa ya Jeshi la Polisi kuhusu kupatikana kwa Abdul Nondo

  18. Gabeji

    Je ni rahisi kupatikana kiongozi bora kwenye jamii sio kuwa na maadili na uwadilifu?

    Habari wanajamiii forum, ! Kwa utamaduni wa inchi yetu, ya Tanzania ukipewa nafasi ya kutaja viongozi bora bila kujali itikadi na dini, ni kazi ngumu sana kuwapata afadhili ukachukue jembe ukalime, kwa sbb what mifumo ya sheria na utamaduni zetu za usinichi, Ila utawakuta wenye uwafadhali...
  19. Mzee wa Code

    Maisha ya Kijiji cha kiboriani ni ya ajabu, huduma zote muhimu ni changamoto kupatikana

    Kijiji cha Kibodiani kilichopo Wilayani Mpwapwa, Dodoma ni mfano wa Jamii nyingi zinazokabiliwa na changamoto kubwa za kijamii. Wakazi wa kijiji hiki wanapitia matatizo mengi yanayohusiana na ukosefu wa huduma za msingi kama Elimu, afya, umeme na maji safi na salama. Hali hii inawaathiri kwa...
  20. ndege JOHN

    Vinasa sauti (spy voice recorder) wanavyotumia wapepelezi vinaweza kupatikana maduka gani?

    Kuna vile vi spy voice recorder vidogo vidogo unaweza ukakaweka ofisini kwa mtu au nyumbani kwa mtu ili unase anayoongea.Si kwa ubaya nauliza tu hapa dar naweza kuvipata sehemu gani?
Back
Top Bottom