snipa JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 4,523 Reaction score 2,165 Feb 19, 2025 #1 Baada ya DeepSeek kuleta changamoto sasa Elon Musk kaamua Grok kupatikana kama Application ya kawaida, ambayo itapatikana kwenye App store zote.
Baada ya DeepSeek kuleta changamoto sasa Elon Musk kaamua Grok kupatikana kama Application ya kawaida, ambayo itapatikana kwenye App store zote.
Khanji kapoor JF-Expert Member Joined Oct 19, 2024 Posts 3,854 Reaction score 9,901 Feb 19, 2025 #2 Zinasaidia Sana madesa🤣🤣🤣
Msela Wa Kitaa JF-Expert Member Joined Oct 8, 2021 Posts 2,217 Reaction score 4,280 Feb 19, 2025 #3 Elimu tafadhari Zinatumikaje?
Nomadiq JF-Expert Member Joined Jan 5, 2025 Posts 8,572 Reaction score 22,926 Feb 19, 2025 #4 Tunaisubiri JF AI itapendeza kama itaitwa Jamii AI
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,962 Reaction score 1,252,216 Feb 19, 2025 #5 Sawa sawa