kupata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ndio naanza kupata picha kwanini HAMAS walishambulia, walijipanga sana, mahandaki 800

    Nilikua najiuliza kwanini HAMAS wafanye kitu ambacho kimekuja kuwaletea hasara mara mia na kusababisha wafutwe Gaza..... Aisei hiki kilikua kiama kwa Israel, hawa jamaa walijiandaa kwa muda mrefu sana, mpaka sasa Israel imegundua mahandaki 800 na imefumua 500, bora ishikilie hapo hapo, safisha...
  2. Utawala wa Kizayuni wakili kupata pigo kubwa ndani ya masaa 24

    Vyanzo vya Kizayuni, baada ya kipindi kirefu cha kudhibiti na kuficha habari kuhusiana na vifo na majeruhi wake vitani, hatimaye vimekiri kuuawa askari jeshi wake 75 katika saa 24 zilizopita. Kwa mujibu wa ripoti hiyo, kanali 12 ya televisheni ya utawala wa Kizayuni ikimnukuu mchambuzi wa...
  3. Umewahi kupata maumivu kutoka kwa mtu uliyewekeza muda, upendo na imani yako kwake?

    Kuna watu wengi ambao wanapitia maumivu ya namna hiyo, hii ni kwasababu unajikuta umewekeza sana kwa mtu huyo, endapo ikatokea akakuumiza basi maumivu yanapita ndani kabisa, wengi hawawezi vumilia hili na kujikuta wanafanya jambo la ajabu. Je, umewahi kupitia maumivu haya? Toka kwa nani? Sababu...
  4. Kwa sasa huenda 90% ya Degree hazina tena maana, hazikupi ajira wala maarifa ya kupata kipato

    Ukweli usemwe na usemwe wazi ili kila mtu aujue. Wigo wa watanzania kusoma mpaka chuo kikuu ili kupata degree umekuwa mkubwa lakini huo mfumo umekuwa ni hasara na upotevu wa rasimali (muda, pesa na nguvu) kwa 90%. Ajira mtaani kwa 90% hakuna kwa fani nyingi, ni sawa na kucheza kamili, na elimu...
  5. Yanga bila kupata mshambuliaji namba 9 haiendi popote

    Tuache kujipa moyo eti mfumo wetu tunaweza shinda bila namba 9 mwenye quality ya juu. Pengo linaonekana harry kane au haaland anahitajika. Hakuna timu duniani imechukua kombe kubwa bila kuwa na namba 9 wa maana. Mzize, Konkoni na Musonda wameprove failure.
  6. Nimemaliza mwaka huu kwa Kupata Mtoto wa kiume; huu ni Muhtasari wa Safari tangu mwezi Februari mwaka huu

    NIMEMALIZA MWAKA HUU KWA KUPATA MTOTO WA KIUME; HUU NI MUHTASARI WA SAFARI TANGU MWEZI FEBRUARI MWAKA HUU. Anàandika, Robert Heriel Shahidi Andiko hili liwe tumaini kwa waliokata tamaa. Liwe faraja kwa wasio na mfariji. Liwe funzo kwa wenye kupenda ufahamu. Basi nikasema, hili nalo nitaandika...
  7. Leo nimeondoka rasmi jijini Dar es Salaam baada ya kupata mchongo Jehanamu

    Hakika dar es salaam ni Mji ulionipa marafiki wengi, network kubwa na hata pesa ya kuishi japo kuna siku mji huu ulinilaza njaa. Asubuhi ya leo wakati natoka mbezi kuja huku mkoani chozi limeni tililika sana(fear of new changes) Doh! nimefika mkoani , nikaenda kuripoti kituo changu cha kazi...
  8. S

    Mwanamke wa miaka 70 ajaliwa kupata watoto mapacha

    Safina Namukwaya, mwanamke mwenye umri wa miaka 70, mkazi wa Wilaya ya Masaka, amewashangaza watu wengi baada ya kujifungua watoto mapacha katika hospitali moja huko nchini Uganda. Bi Safina amejifungua mvulana na msichana mmoja akiwa na uzito wa kilo 1.7 kila mmoja katika Kituo cha Kimataifa...
  9. Wapi naweza kupata mizani za kupimia almasi na bei zake zipoje?

    Wakuu mwenye kujua sehemu vinapo patikana hivo vipimo anijulishe. Natanguliza shukrani
  10. Umewahi kuwa na bidhaa zisizouzika ukabaki nazo kwa kushindwa kupata hata mteja wa bei ya hasara?

    Nakumbuka 2016 niliwahi kuwa na duka la vifaa vya computer, nikaona nijiongeze ongeze nikaweka mabegi ya laptop kwa mtaji wa milioni 1 nikiamini kwamba yatatoka fasta sana, yaani hayo mabegi yalikuwa hayauziki kabisa, nilitaka niyauze kwa bei ya hasara lakini wapi. Hadi nafungua duka lingine...
  11. M

    Vigezo vya kupata Mkopo CRDB Benki

    Habari za asubuhi Wanajf! Bila kipoteza muda,naombeni kujua ni vigezo gani vitaniwezesha kupata mkopo wa Biashara CRDB Benki. NB: Ni mara ya kwanza na naona kwenda Tawini ni changamoto nipo Shambani
  12. Msaada: Jinsi ya kupata channel za local kama ITV,EATV TBC etc Kwenye king'amuzi cha startimes

    Habari wanajf, nilinunua kig'amuzi cha startimes miezi mitano iliyopita ila tatizo ni kwamba nliangalia channels za ofa kwa wiki tu, then zikabaki za local yaan itv,eatv,tbc1 kwa muda mwa miezi minne, Sasa hvi hata hzo local zimeondoka naimebaki na Guide na ubc tu. So nimekuja hapa kwa wanajf...
  13. Kupata maendeleo katika MAISHA yako hakutegemei aina ya kazi pekee bali Malengo, hivyo ualimu pia ni kazi inayoweza kukuvusha

    Katika MAISHA Kazi pekee haitoshi kukufanya kufika hatua kubwa ya MAISHA pasipo wewe mwenyewe kuwa na Malengo . Hivyo linapokuja swala la kuijenga kesho yako iliyo bora kinachotangulia ni malengo na sio Aina ya Kazi unayofanya. Kazi yoyote iwe decent Job (Kazi ya heshima ) au Kazi isiyo ya...
  14. Bilioni 2.15 za tigo, Mwana Fa huenda alizitumia kuingia kwenye siasa, Ay kawekeza wapi?

    Mwan a Fa na Ay waliwahi kuwashtaki Tigo kutumia nyimbo zao kwenye miito ya kupiga simu, Tigo waliwalipa bilioni 2.15 lakini kiuhalisia huenda walibaki na bilioni 1.5 (kila moja milioni 750), Huenda walimlipa mwanasheria wao Albert Msando milioni 150 na wazee wazito wakapiga mchinjo wa milioni...
  15. Uko tayari kulipia kupata kadi ya kupiga kura endapo kadi uliyonayo itapotea?

    Kwa mujibu wa kifungu cha 20(2) cha mswada mpiga kura aliyejiandikisha kupiga kura kwa madhumuni ya mswada huu, endapo kadi yake ya kupigi kura itapotea, kufutika au kuharibika atalazimika kufanya maombi ya kuomba kitambulisho kipya kwa afisa mwandikishaji wa eneo husika. Afisa mwandikishaji...
  16. SI KWELI Tanzania inataraji kupata mvua kubwa za Elnino isivyo kawaida. Wavuvi waanza kukatazwa kwenda kuvua

    Salaam Wakuu, Kupitia WhatsApp yangu nimetumiwa ujumbe wa tahadhari kuhusu kuwepo kwa Mvua katika mikoa mbalimbali nchini Tanzania. Ujumbe huo unaeleza: Shinyanga, Dar, Pwani, Mafia,Tanga, Mwanza, Geita, Mara, Simiyu, Kigoma na Kagera tujiandae, kutakuwepo na Pacific El nino na Atlantic El...
  17. P

    Naombeni maelekezo jinsi ya kupata TIN na leseni ili nikasajilie lain za uwakala

    Nahitaji kusajili laini za UWAKALA hivyo nilikua na omba maelekezo wapendwa naanzia wapi ? Mpaka nipate Tin,lesen pamoja na laini Je kuvipata vyote hivyo inaweza chukua gharama kiasi gani.? Laini ya Vodacom,Tigo, Airtel na halotel
  18. Nawezaje kupata mkopo wa Tsh. Milion 1 na laki 2 kwa dhamana ya vyeti vyangu?

    Ndg nawezaje kupata mkopo wa tsh Milion 1 na laki 2 tu, kwa dhamana ya vyeti vyangu? 1.Cha form 4 2.Cheti cha kuzaliwa 3.Leseni ya udereva iliyo ndani ya muda 4.Cheti cha diploma chuo cha biashara CBE 5.Cheti cha degree chuo cha uhasibu TIA Vyote ni Original kabisa, na ni vyakwangu...
  19. Kupata Tin number na tax clearance kwa kampuni

    Naomba kuuliza Wiki iliyopita huku nyanda za kaskazini nilienda TRA kwa ajili ya kupata TIN number na tax clearance ya kampuni, baada ya kulipa rental tax na stamp duty nikaambiwa nitafute muhasibu aniandalie provisonal return statement ndo nitapata tin number pamoja na tax clearance. Au nimpe...
  20. MSAADA: Utaratibu wa kupata Police Clearance Certificate (Criminal Record Check Certificate)

    Habari, Naomba kujua jinsi ya kupata police clearance certificate. Na je, inatuchukua siku ngapi au naweza kupata online? Msaada tafadhali.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…