kupata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada wa wapi naweza kupata Star Anise

    Habari, Mwenye kujua wapi naweza pata star anise na bei yake ntashukuru sana. Nimeambatanisha na picha na nahitaji liwe jekundu hivo hivo
  2. JamiiForums Tanzania Profesa Mkenda: Mtoto wa waziri kupata mkopo wa elimu ni wizi

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda, amesema mtoto wa waziri au katibu mkuu wa wizara kupata mkopo unaotolewa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu ni wizi kwakua kitendo hicho kinawanyima fursa wanaostahili. Prof...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Naamini mda umefika wa kupata msaada wa kifikra kutoka Kenya ili tujielewe sisi ni kina nani?

    Nakumba Mzee jomo kenyata aliwa kusema sisi ni maiti,kilikuwa ni kipindi cha utawala wa Nyerere, Ni kauli katika makuzi yangu nilikuwa siipendi hata kuisikia,baada ya kupata ufahamu akili na uwezo wa kuchambua mambo nikaona kama kuna ka ukweli vile Lakini mwaka huu nimejiridhisha na kujikubali...
  4. JamiiForums Tanzania Kila mtu anajua kupata lakini wangapi wanajua kujitoa?

    "KILA MTU ANATAKA KUPATA, LAKINI WANGAPI WANAJUA KUTOA?" Maudhui ya Post: Ni rahisi sana kusikia mtu anasema: “Natafuta connection... nisaidieni fursa... ntaanza biashara nikipata mtaji... nangoja mtu anielekeze njia...” Lakini ni wachache sana wanaojiuliza: "Mimi mwenyewe natoa nini kwenye...
  5. JamiiForums Tanzania Usisome Master's kabla ya kupata experience ya kazi . Utakufa na msongo wa mawazo

    .
  6. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Salum Mwalim hakuhamia ACT Wazalendo ambapo angeweza kupata chochote upande wa Zanzibar?

    Nikitafakari hili swali ndiyo napata uhakika kwamba CHAUMMA ni CHAMA CHA UDALALI NA MAPANDIKIZI YA MAMA. Mtu angeweza kupata kanafasi hata ka uwakilishi kule viunga vya Kizimkazi kupitia ACT ila unaona kwa kuwa ni mkataba lazima utekelezwe. Kazi kwenu madalali wa MAMA.
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Je, G55 walitapeli wenzao? Mzee Rungwe ameamua kupata kiinua Mgongo? Movie inaanza kuharibika

    Kwenye video wanaonekana wanachama wawili wa CHAEma wanaosema waliambiwa wanaenda kuhudhuria mkutano wa CHADEMA Dar lakini walipofika wakashangaa kukuta ni mkutano wa CHAUMMA. Wanasema wao si CHAUMMA, bali ni CHADEMA japokuwa walihudhuria mkutano huo?
  8. I

    JamiiForums Tanzania NISAIDIE KUPATA KAZI SONGEA KWENYE MAKAA YA MAWE.

    Ndugu zangu kwema poleni na majukum. mimi operator wa excavator mzoefu naomba msaada wenu kwa yeyote anaeweza kuniunganisha songea kwenye makaa ya mawe japo nipate hata nafasi ya kutest kuonyesha nilicho nacho naimani humu kuna watu wengi wa aina tofauti naomba msaada wenu. shukrani.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Ni ngumu zaidi kwa CHAUMMA kupata mafanikio ya Kisiasa Tanzania tena ni rahisi zaidi kwa TLP ya Mzee Mrema kukamata dola 2025

    .CHAUMMA INA UMA. Kuna baadhi ya wanasiasa wanajidanganya na wengine kudanganywa kuwa CHAUMMA inaweza kuwa tishio kwa chama tawala leo au kesho, hii naomba wasahau kabisa. Kwa taarifa tu, Vyama vyote vilivyoanzishwa kama matokeo ya migogoro havijawahi kufanya vizuri popote duniani tujiulize...
  10. JamiiForums Tanzania Wanafunzi waliofeli form four na kupata div 4 na Zero watapewa nafasi ya kwenda VETA

    Nikiwa Rais wanafunzi wa form four waliopata div 4 na zero wataenda VETA kwa udhamini wa serikali, na watapata ujuzi ambao anagalau utawasaidia kwenye maisha yao Vyuo vya veta vitaboreshwa na kuwa vya kisasa na maabara za veta zitaboreshwa maradufu ili wahitimu wakitoka wawe compentent
  11. JamiiForums Tanzania 'Technically' nina wasiwasi na Simba SC kupata Matokeo CAFCC Final huko New Amaan Stadium Zanzibar

    Kwanini? 1. Tayari Saikolojia ya Wachezaji wa Simba SC iko chini kwani wengi Wao baada ya Mechi ya Kwanza Morocco kumalizika na hata majuzi walivyokuwa wakirejea Uwanja wa Ndege JNIA walikuwa wakisema Berkane FC watakiona cha Moto kwa Mkapa kwani Wao wakijua tu wanacheza kwa Mkapa huwa wanakuwa...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa Biashara Ndogo na za Kati (SMEs) - Kupata mafunzo Bure ya Usimamizi wa biashara

    Je, unamiliki duka au biashara na ungependa kuisimamia kwa ufanisi zaidi? SmartBusiness inatoa MAFUNZO YA BURE ya usimamizi wa biashara kwa watumiaji wake wote kupitia kundi la WhatsApp! Mafunzo haya yatakusaidia kukuza biashara yako kwa kukupa ujuzi katika maeneo yafuatayo: 📌 Kanuni za...
  13. JamiiForums Tanzania Cheti chatumika kupata mkopo wa kausha damu?, Kalooism inauliza,na ni lini Afrika tutakamata pindo kama Rose Mhando?

    Wanajamvi! Muh! Tutalalaje hapajakucha?,Mambo ni vice-versa,Mjini bado ya vimbweka! Ni bora niendelee b'se I'm a fighter,it's better, no retreat, no surrender! Je wadau ni Lini sasa niijue wazi hiyo secret Agenda(6634) kwa mashahidi zaidi ya watatu wakirio kwa chapa ya nyakati mpya ya siku ya...
  14. JamiiForums Tanzania Safari Yangu Kutoka Tabora Kuja Kupata Master’s Degree yenye Global Relevance – A Transformational Academic Journey

    Mimi ni mmoja wa wale ambao waliamini kwamba elimu ni mlango wa mabadiliko. Leo hii nimesimama kama mtu mwenye Master’s Degree kutoka University of California, Berkeley, moja ya vyuo vikongwe na vinavyoheshimika zaidi duniani. Lakini safari yangu haikuwa laini. Ilijaa milima na mabonde – lakini...
  15. JamiiForums Tanzania Taratibu za kupata kazi canada

    Wakuu za asubuhi naomba mwenye maelezo mazuri namuna ya kupata kazi canada anisaidie nimesoma course ya afya Tz
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Inasemekana G55 wanahamia CHAUMMA, kupewa nafasi za uongozi kukamiliasha 5% ya wagombea wa upinzani

    Wakuu, Haya ndio yanayohuma huko kuwa G55 mpango wao ni kuhamia CHAUMA kwa madai ya kuwa waahidiwa majimbo 20 na pia wamekuwa wakizunguka kushawishi wengine kujiunga nao kwenda chauma kwa ahadi inayosemekana ya milioni 90 per kichwa. Nadhani tumeanza kuona viongozi mbalimbali kama wenyeviti...
  17. JamiiForums Tanzania Unaweza kupata kazi na ajira za Freelancing Bila Kutegemea Upwork au Fiverr.

    Unaweza kupata wateja wa Freelancing Bila Kutegemea Upwork au Fiverr. Unaweza kupata wateja wa Freelancing Bila Kutegemea Upwork au Fiverr. Jinsi Nilivyopata Wateja 100 wa kwanza Nimekuwa freelancer kwa miaka 5, Nimefanya kazi na wateja zaidi ya 100 Global. Wengi wao sikuwapata Fiverr wala...
  18. JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata mitandao ya kijamii ya mtu kwa kupitia picha yake.?

    Kuna some people nimepoteza contacts zao ila nina picha zao nahitaji kuwapata kupitia facial recognition
  19. K

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata Proof of Residence

    Habari wana Jf Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza Siku za hivi karibuni freelancer . com wamedili sera zao ku withrawal fedha kwa njia ya Bank mpaka ufanye Address verification MNimejaribu kutumia option ya bank statement Ya CRDB unfortunately wameikataa Kutokana na uhalisisa kua Format...
  20. JamiiForums Tanzania Nashindwa kupata usingizi kwasababu ya makelele ya baa jirani

    Hivi Sasa ni saa 2:30am sijalala kwasababu ya hizi kelele. Ni kweli tunatamani nyumba zilizo karibu na barabara kwasababu ya huduma ndogo ndogo za kijamii, lakini Sasa hivi biashara nyingi ni baa, yaani kila baada ya nyumba nne ni baa. Nilipohama ilikuwa ni kelele kuanzia mda ninaorudi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…