kupata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kampuni kutotoa nafasi za Madereva wapya wa malori kuchangamana na wazoefu, watatoa wapi uzoefu?

    Kwa sasa kumekuwa na ongezeko la mahitaji ya madereva katika kampuni za usafirishaji, hususan madereva wa malori yanayofanya safari za ndani na nje ya nchi. Hata hivyo, kampuni nyingi zinahitaji madereva wenye uzoefu wa angalau miaka 3 hadi 5. Kero yangu ni kwamba baadhi ya kampuni hizi...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Baada ya Tanzania Kuzisaidia nchi za Afrika kupata Uhuru nazo sasa zaisaidia Tanzania

    Ripoti hii si uchunguzi wa kweli; ni jaribio la kisiasa la kuficha nyayo za utawala wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kufuatia uchaguzi wa Oktoba 2025 ambao, kwa mujibu wa taarifa hii, ulikuwa wa udanganyifu na ulioambatana na ukatili. Naibu Jaji Mkuu wetu anaitwa kushiriki katika Tume hiyo kama...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Wapi Arusha naweza kupata shamba kwa bei ya milioni moja kwa ekari?

    Habari wana jamvi. Nahitaji shamba eka 5 linalofaa kwa kilimo cha migomba. Angalau umbali usizidi kilomita 50 kutoka Arusha mjini.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kuna wimbi la vijana waliosoma vyuo vya nje ya nchi kupata changamoto ya usajili kwenye mabaraza ya kitaaluma kipindi wanaporudi Tanzania.

    Kwa nyakati tofauti nimeona watanzania wakilalamika kukosa usajili wa mabaraza ya kitaaluma hasa manesi na wafamasia pale wanapohutimu masomo yao ughaibuni na kurudi nchini kwajili ya kufanya kazi je ? Changamoto ni nini? Kwa kupitia nikabaini changamoto chache kwanza kutokua na uelewa wa...
  5. JamiiForums Tanzania Wakati wanaCCM wanahangaika kumparura Dk Nchimbi CHADEMA wao wanapambana kupata sapoti toka kwa wananchi.

    Mikakati ya CHADEMA ni kuhakikisha wananchi wanakiunga mkono kama wanavyofanya kwenye tonetone. CCM wao wanakata viuno vya kisiasa kwa kumparula Nchimbi kuwa anataka uraisi 2030. Hii inaonyesha namna gani CCM haipo kwa ajili ya wananchi bali kwa matumbo yao.
  6. JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata provisional admission kutoka UDSM

    Habari Nimeomba chuo UDSM postgraduate, nawezaje kupata provisional admission?
  7. M

    JamiiForums Tanzania imekuwaje umebakiza miaka 25 tu ufikishe 60 na bado hujaona sababu ya kupata hata mtoto mmoja ?

    Ni kwa wale wenye choice ya kuwa na watoto, sio wenye changamoto kama za uzazi unaogopa diapers au unangoja wajukuu moja kwa moja?
  8. JamiiForums Tanzania Naomba muongozo namna ya kupata nafasi ya ndugu yangu kujiunga na elimu secondary pale kibaha secondary.

    Wakuu, nina ndugu yangu ambaye anamaliza la darasa la saba mwaka huu, kama ndugu tumeona tumtafutie shule ambayo haitakuwa mbali sana na makazi yetu. Ni mtoto yatima Jibu likaja ni kibaha secondary, huyu kijana anasoma pale olympio primary, sasa kimbembe kimekuja ni namna gani tunaweza kupata...
  9. JamiiForums Tanzania Tulioajiriwa ni kwamba tumeamua kupata hela mara 12 tu kwa mwaka

    Hatari sana. Unapoajiriwa unakuwa unamuuzia mwajiri wako muda wako. Kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 11 jioni. Mwajiri hukulipa kutokana na wewe kutumia sehemu yake ya kazi kumzalishia mali. Kwa mwaka utapewa hela mara kumi na mbili tu. Dah kweli kuajiriwa ni mtego rasmi wa umasikini. Ndio maana...
  10. JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata unga wa dagaa omena wenye ubora wa juu

    Habari wakuu, ninatarajia kufungua kiwanda kidogo cha utengenezaji wa vyakula vya mifugo hivyo nipo kwenye utafiti wa kuwatqmbua suppliers wa ingredients mbalimbali za kuchanganya kutengeneza cha Mifugo. Moja ya ingredient ninayotaka kujua naweza kuipata ni Fishmeal au tuseme dagaa omena wenye...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Zuchu na Diamond wanatarajia kupata mtoto wa kike

    Leo ilikiwa baby shawer ya Zuchu baada ya jana kuachia picha akiwa mjamzito. Leo wameonesha kiwa tumboni kwa Zuchu kuna baby girl
  12. R

    JamiiForums Tanzania Sifa ya kupata cheo/ uteuzi ni kuwa Katili

    Hapo ndipo tulipofika. Kila mmoja anajitahidi kumfurahisha mama kwa kuwa katili. Juzi Ryoba alikuwa anaongea utumbo akiwa na inclination ya kumfurahisha mtu.
  13. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania DCI yapunguza muda wa kupata Police Clearance hadi saa 24 kupitia mfumo mpya wa MBIS

    Serikali kupitia Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) imeanzisha mfumo mpya wa Multi-Biometric Identification System (MBIS) ambao sasa unaruhusu waombaji kupata Cheti cha Police Clearance (Certificate of Good Conduct) ndani ya saa 24, badala ya kusubiri hadi wiki mbili kama ilivyokuwa awali. Mfumo...
  14. JamiiForums Tanzania Kauli za Nchimbi zaunganisha Taifa. Watanzania waunga mkono utekelezaji wa ilani ya CCM ya 2025

    My friends ladies and gentlemen, Sasa ni wazi, upekee wa kauli za makamu wa Rais wa Tanzania Dr.Emmanuel John Nchimbi katika masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa, umeendelea kua kiungo muhimu na chachu ya umoja na mshikamano miongoni mwa waTanzania wote bila kujali itikadi, mirengo ya...
  15. JamiiForums Tanzania Mchongo Kamili wa Kupata Wateja wa Utalii wa Nje Bila Madalali

    Wadau wa utalii na watafutaji wote, ukweli mchungu ni kwamba kuwa na gari zuri la safari au kampuni iliyosajiliwa haikuhakikishii wateja. Watu wanaopiga pesa ndefu kwenye sekta hii hawana ushirikina wowote, bali wanajua mchezo mzima wa masoko ya kidijitali wa kudaka watalii wa Marekani, Ulaya...
  16. JamiiForums Tanzania Kupizi kwa mara kwa mara huchangia hatari ndogo ya kupata kansa

    Source: National Institutes of Health (NIH) | (.gov) Reduction of Prostate Cancer Risk: Role of Frequent Ejaculation-Associated Mechanisms - PMC
  17. L

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa China wanawasaidia wagonjwa kupata nafuu kupitia upasuaji wa uvamizi mdogo

    Kwa zaidi ya muongo mmoja, Khadija Ali Saleh aliishi na maumivu makali ambayo hatua kwa hatua yaliondoa furaha na ubora wa maisha yake. Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 76, mkazi wa Zanzibar, Tanzania, alisumbuliwa mara kwa mara na vipindi vya kiungulia kikali na maumivu kifuani...
  18. JamiiForums Tanzania VC SUA: Siyo rahisi kupata digrii ya SUA

    Prof. Raphael Tihelwa Chibunda ambaye ni Mkuu wa chuo cha SUA amesikika kwenye podcast ya Omari Kashera akisema kuwa siyo rahisi kupata degree ya cho hicho.
  19. JamiiForums Tanzania MADOGO PAMBANIENI KUPATA SCHOLARSHIP MUENDE NJE YA NCHI.

    Vijana wa six mnakazi ya kufungua nyuzi kila kukicha mnaulizia kozi hii ntapata kwa matokeo haya. Wale wenye DIVISION 2 NA 3.NJE YA NCHI KUTAWAFAA ZAIDI COMPETITION YA NDANI NI NGUMU NYIE KUPATA VYUO.UFAULU WA 99% UNATAKA WALE TOP NORCH( TOP LAYER PEKEE NDIO WAENDE VYUONI NA NDIO WATAKAOPATA...
  20. JamiiForums Tanzania Walikuwa wanafurahia mauaji ya Mo29 wameanza kupata majibu Yao! Mungu hadhihakiwi

    Kuna watu kwanza walisemaga hawataki kuongozwa na MWANAMKE Baadae wakalambishwa asali wakaanza kutisha wengine kuwa ole wao wamsemao kiongozi huyo mwanamke tunawakata mapanga Baadae wakashabikia waliopotezwa 29 kuwa sio wa kwao! Sasa Mungu hapendi dhihaka
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…