kupata kazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Jinsi ya Kupata Kazi Mtandaoni Bila Kuwa Influencer — Na Kulipwa kwa Kusaidia Kukuza Brands

    Watu wengi hawajui kuwa wanaweza kuingia kwenye dunia ya digital marketing bila kuwa na followers wengi au kuwa maarufu. Kama wewe ni mtu mwenye akili ya biashara na upo tayari kujifunza, basi huu ndio wakati wako kuingia kwenye game Katika makala hii, nitakuonesha jinsi ya kupata hela kwa...
  2. Rico redi

    Mliowahi kupata kazi remotely job mlifanyaje

    Kwema wanabodi nimekua nikijaribu kupitia sites mbalimbali za ajira ambazo ni remotely kuanzia LinkedIn, WWR,flexjobs na nyinginezo nikajiregister kule Lakini changamoto unakuta hata kazi ambayo ni entry jobs ambayo wanatoa mpaka training kuipata ni changamoto nashindwa kuelewa kuna sehemu...
  3. Kalamu Nzito

    Ni Rahisi Kupata Kazi Serikalini Kuliko Sekta Binafsi?

    Habari wana JF, Hivi ni rahisi kupata kazi serikalini kuliko private sectors? Nimetuma maombi mengi sana sekta binafsi lakini sijawahi kuitwa hata kwenye usaili. Hata hivyo, kazi nyingi nilizo-apply Serikalini nilifanikiwa kuitwa walau kwenye hatua za usaili. Japo sijafanikiwa kupata kazi mpaka...
  4. I

    NISAIDIE KUPATA KAZI SONGEA KWENYE MAKAA YA MAWE.

    Ndugu zangu kwema poleni na majukum. mimi operator wa excavator mzoefu naomba msaada wenu kwa yeyote anaeweza kuniunganisha songea kwenye makaa ya mawe japo nipate hata nafasi ya kutest kuonyesha nilicho nacho naimani humu kuna watu wengi wa aina tofauti naomba msaada wenu. shukrani.
  5. Komando kipen

    Taratibu za kupata kazi canada

    Wakuu za asubuhi naomba mwenye maelezo mazuri namuna ya kupata kazi canada anisaidie nimesoma course ya afya Tz
  6. youngkato

    Unaweza kupata kazi na ajira za Freelancing Bila Kutegemea Upwork au Fiverr.

    Unaweza kupata wateja wa Freelancing Bila Kutegemea Upwork au Fiverr. Unaweza kupata wateja wa Freelancing Bila Kutegemea Upwork au Fiverr. Jinsi Nilivyopata Wateja 100 wa kwanza Nimekuwa freelancer kwa miaka 5, Nimefanya kazi na wateja zaidi ya 100 Global. Wengi wao sikuwapata Fiverr wala...
  7. Just Pray

    Askofu Nkwande: Vijana wetu wanahangaika kupata kazi, unatoa wapi ujasiri wa kumwambia kijana ajiajiri wakati umeajiriwa?

    Mhashamu Askofu Mkuu Renatus Nkwande amewataka vijana kuwa wavumilivu na changamoto mbalimbali za familia, wenyewe kwa wenyewe pamoja na mahangaiko ya kimasilahi katika ulimwengu wa sasa. Askofu Nkwande amesema hayo wakati akitoa homilia kwenye Adhimisho la Misa Takatifu ya Jubilei 2025 kwa...
  8. excel

    Nimetafuta kazi mwenyewe kwa muda mrefu maji yamezidi Unga

    Nimetafuta kazi mwenyewe kwa muda mrefu sana naona maji yamezidi Unga Naja kwenu JF Experts mnisaidie kutafuta ajira hapa na Pale katika field za Logistics and Transport Napatikana Jijini Mwanza, itapendeza zaidi nikifanikisha hapa maana siwezi kusafiri kwenda Mbali kwa sababu ya mzazi wangu.
  9. Dalali wa Mjini

    Msaada sio lazima lakini ukimpa MTU uhakika wa kupata Kazi basi msaidie.

    Moja Kwa moja kwenye mada. Mkuu wee ni MTU mzima Mwenye familia na watoto kama Mimi pengine umenizidi umri au nimekuzidi umri. Umenipigia simu asubuhi ya Jana tumepanga fresh sana mipango na akuniambia kuna Kazi unataka unipe ambayo itanisogeza kimtindo nikakwambia Mimi nipo fresh kabisa...
  10. Mzee Saliboko

    Baada ya kupata kazi serikalini unaondokaje kwenye ajira yako ya mkataba uliobakiza miezi 2 uishe?

    Baada ya kupata kazi serikalini unaondokaje kwenye ajira yako ya mkataba uliobakiza miezi 2 uishe? Na manufaa utakayo yapata ni yapi?
  11. E

    Utofauti kupata kazi Wizarani na halmashauri upoje upande wa maslahi kwa anaejua?

    Anayeweza kutupa madini apo kutokana na experience.
  12. Mrs Gudman

    Dodoma kuna shida gani mbona kupata kazi kwenye Private Sector ni ngumu sana?

    Kuna ndugu yangu alikuja Dodoma kutafuta pa kufanya kazi Baada ya kumaliza chuo, Ni mwaka wa pili huu kazi hapati, wala hata kuisikia zikitangazwa hamna. Kazi nyingi zinatangazwa location ni Dar, Bado naji uliza nafasi za kazi kwa Dodoma zinatangaziwa wapi?
  13. T

    Nitapata kazi mwezi huu

    Roho mtakatifu amenijulisha kuwa kabla ya kuisha kwa mwezi huu nitapata kazi nzuri katika taasisi nzuri, itakuwa na mshahara na marupurupu mazuri, na nitafanikiwa kimaisha na kiujuzi. Asante Yesu. Napokea kadiri ya imani yangu kwa jina la Yesu.
  14. BLACKLIST 12

    Naomba msaada wa kupata kazi ya upagazi(porters)

    Jinsia: Mwanaume Umri:21 Elimu: kidato cha 6 Mafunzo: JKT kwa mujibu wa sheria 2022
  15. Raghmo

    Msaada wa kupata kazi nimesomea mazingira

    Habari, Mimi ni kijana Nina miaka 24, Nina degree ya Sanaa ya geografia na mazingira, nipo Zanzibar. Mwenye connection ya ajira ya kada hio tafadhali.
  16. Extrovert24

    Courses za ngazi ya cheti (certificate)

    Wakuu habarini za muda huu, poleni na majukumu na ni matumaini yangu kuwa mko vizuri kabisa. Niende Moja kwa moja kwenye jambo langu, Naomba kuuliza ni course Gani ya certificate ambayo kijana akiisoma kiasi Fulani haitamchukua muda sana kupata kazi? Kijana amesoma Art subjects but alisoma pia...
  17. M

    Naomba kujuzwa utaratibu wa kupata kazi hoteli za Zanzibar

    Habarini wanajamvi ningeenda kujua, eti kupata kazi za hotelini Zanzibar lazima ujuane na kiongozi yeyote? Je, kipindi cha low season kuna hotel ambazo hazifungwi? Ni zipi?
  18. HUKU ABROAD

    Msaada wa kupata barua ya mualiko kusafiri nchi za nje

    Kama ilivyo kawaida Embassy yeyeto ila haiwezi kukupa Visa pasipokuwa na Sababu zilizojitosheleza , Leo ntaongelea Kwenye Kupata Mualiko 1. Mualiko wa haina ya kwanza ni pale unapokuwa na Ndugu , au Family friend ambapo hao ndio watakuandikia barua wewe ya kwenda kuwatembelea kwa sababu fulani...
  19. T

    Jinsi ya kupata kazi za remote katika mashirika ya kimataifa yaliyo nje

    Leo ningependa kuzungumzia namna kijana yoyote wa Kitanzania ambae una utaalamu na/au ujuzi katika eneo fulani unavyoweza kupata kazi katika mashirika na makampuni ya kimataifa yaliyopo popote duniani na kuweza kufanya kazi remotely ukiwa hapa hapa nchini. Kwa mfano mimi nafanya kazi katika...
  20. The dumb Professor

    Baada ya kupata kazi wanawake wengi wanajipendekeza kwangu

    Habari, Kipindi nipo jobless hapa mjini, wanawake wengi walikuwa wananiringia hata salamu tu. Mtaani hapa nilikuwa Kila nikitongoza wanatema nje. Lakini baada ya kuajiriwa nashangaa Kila mwanamke yupo humble, peaceful na anajituma. Wakija kunisalimia wanafua mashuka na kuosha vyombo na kufanya...
Back
Top Bottom