kupaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Mbeya inazidi kupaa, Arusha na Mwanza zijipange ! barabara kilometa 29 njia nne yaanza kuwekwa lami

    Serikali inaendelea na Ujenzi wa Barabara ya Njia Nne (Dual Carriageway) 29km Kuanzia Uyole (Nsalaga) hadi Ifisi yenye urefu wa kilomita 29, Barabara hii itakao rahisisha maendeleo ya kiuchumi na kijamii katika mkoa wa Mbeya na maeneo jirani na kuongeza ufanisi katika sekta ya usafirishaji. kwa...
  2. H

    Sekta ya utalii yazidi kupaa Zanzibar

    Zanzibar imeandika ukurasa mpya wa kihistoria katika sekta ya utalii baada ya kufanikiwa kuvunja rekodi ya uingiaji wa watalii kabla ya kufika mwisho wa mwaka 2025. Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar, Ndugu Arif Abbas amesema, hadi kufikia mwisho wa mwezi Oktoba 2024, visiwa hivyo...
  3. PendoLyimo

    Royal baggies” zavuta hisia sabasaba 2025 – ubunifu wa posta wazidi kupaa

    📍 SABASABA, Dar es Salaam 🗓️ 5 Julai, 2025 “ROYAL BAGGIES” ZAVUTA HISIA SABASABA 2025 – UBUNIFU WA POSTA WAZIDI KUPAA Katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (SABASABA 2025), Shirika la Posta Tanzania limekuwa gumzo baada ya kuanzisha huduma mpya ya usafiri wa ndani ya...
  4. President of China

    Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Côte d’Ivoire, Robert Beugre Mambe Jijini Abidjan

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Côte d’Ivoire, Robert Beugre Mambe na kujadiliana nae masuala ya kidiplomasia, kiuchumi, teknolojia, kilimo na michezo kwenye kikao kilichofanyika ofisini kwa mwenyeji wake, Boulevard Angoulvant Plateau, Jijini Abidjan. Waziri Mkuu...
  5. Mshana Jr

    Nyumba za kupaa Japan

    Nchi ya Japan imepiga hatua za juu zaidi za kiusalama wa tetemeko la Ardhi kwa kutumia Nyumba za levitating zilizotengenezwa na Kampuni ya Kijapani ya Air Danshin Systems Inc. wakati wa hali ya kawaida, Nyumba zitatumia airbag deflated. Lakini wakati wa Tetemeko wameandaa mfumo wa kupanda juu...
  6. K

    Yesu hakua na uwezo wa kupaa

    Wadau wa JF kila nikisoma biblia sioni hule uzito wa utukufu anaopewa Yesu kuwa ni Mungu, mazungumzo yake mengi anarejea kwa kumtaja baba yake ambaye ni baba yetu, mungu wake mungu wetu pia, ata ile siku yakupaa inaonesha alichukuliwa hakuwa na uwezo wa kupaa mwenyewe.
  7. Logikos

    Tanzanite ni Adimu kuliko Almasi; Tofauti ya Bei ni Promotion na Huenda Bei yake ikazidi kupaa

    Kuna mambo huwa nikawaza na kuwazua naona vitukuu watatushangaa Sana..., De Beers ameweza kupata pesa nyingi sana na kuwa Kampuni kubwa ambayo ni (Cartel) kwa kuweza kuwaaminisha watu kwamba Almasi ni Adimu sana na inapatikana kwa shida na sehemu chache sana (Ingawa ukweli Almasi ni nyingi ila...
  8. Magical power

    Teknolojia itumikayo katika usafiri wa anga, imenakili pakubwa kutoka katika viumbe vya asili. Ndegehai ni moja ya sababu kubwa ya ndege kupaa leo.

    Teknolojia itumikayo katika usafiri wa anga, imenakili pakubwa kutoka katika viumbe vya asili. Ndegehai ni moja ya sababu kubwa ya ndege kupaa leo. Ukiacha mbinu za kimuundo na upaaji, sehemu ya tafiti za viumbehai zinaonesha jinsi baadhi ya ndegehai kama Bukini mara kadhaa hugeuza kiwiliwili...
  9. Lycaon pictus

    Hili suala la dola kupaa litafutiwe ufumbuzi wa dharura

    Kwa tunaofanya malipo kwa dola ya Marekani hali imekuwa tete sana. Hata bajeti huwezi kupanga maana hujui kesho itakuwa Tsh ngapi. Tufanye kitu ikae sawa. Wenzetu Kenya waliwezaje kuokoa pesa yao iliyokuwa kwenye free fall?
  10. ndege JOHN

    Samaki anayetembea nchi kavu na kupaa juu

    Samaki Garnai wanaoweza kutembea nchi kavu, kuogelea majini na kuruka angani. Wana mkia mrefu ambao huwasaidia kusawazisha wakati wa kutembea juu ya ardhi
  11. Webabu

    Helikopta iliyomuua Raisi isingeweza kupaa zaidi ya futi 10,000

    Tofauti na ndege za abiria kubwa,helkopta inaruka kwenda juu sawa na ndege ndogo za abiria.Si zaidi ya futi 10000. Ziko chche ambazo zimewekewa injini za turbine ambazo ni za kisasa ambazo zinaweza kufika mpaka futi 25000,lakini haifikii hata siku moja futi 40000 zinakopita ndege za abiri za...
  12. bahati93

    Utalii kenya kupaa kwa kuzindua Starlink

    Nimekuwa nikifatilia kwa makini harakati za Kenya kuipatia vibali kampuni ya Starlink kuanza kufanya kazi nchini humo, mwaka huu mtandao wa Starlink utaanza kufanya kazi. kwa masikitiko makubwa sijasikia lolote kutoka TCRA tangu mara ya mwisho kusikia kampuni hio kuomba vibali. Nashangaa kwa...
  13. Travis Kitengo

    Mafanikio na kuanguka kwa shule mbalimbali za sekondari halmashashauri ya Bunda MjinI

    Wasalaam wanajamvi, Mimi ni mdau wa elimu nchini nikiwa ni mzaliwa wa mkoa wa Pwani ila nimekulia Mkoa wa Mara. Kwa kipindi chote nilichokaa Mkoa wa Mara na hasa halmashauri ya Bunda mji nimebaini mambo mbalimbali katika mashule ndani ya halmashauria mbayo yanachangia ufaulu au anguko la...
  14. MK254

    Warusi wataharuki baada ya kifaa kisichojulikana (UFO) kupaa juu ya vinu vya nyuklia zao

    Hatari sana maana kwa mwendo huu sijui tunakoelekea, Putin afike sehemu ajue liinchi lake hilo libwaku anaweza akazinguliwa popote na litamshinda... Pia akubali yaishe kwamba operesheni ilifeli, ingekua na tija kama angefaulu kuiteka Ukraine ndani ya muda mfupi ila kwa sasa hali imekua hovyo...
  15. MK254

    Uingereza na Ujerumani waifukuzia mbali ndege ya Urusi iliyojaribu kupaa Estonia, kataifa ndani ya NATO

    Ndege ya kivita ya Urusi ilijaribu kutumia anga ya Estonia kupokea mafuta angani, hiyo ni baada ya kusahau hako kataifa ka Estoni kako ndani ya NATO, ghafla ndege za Ujerumani na Uingereza zikaibuka na kuifukuzia mbali.... ======================== UK and German military aircraft have...
  16. Desierto

    Nimeota tunasafiri kwa kupaa nikiwa na mke wangu na mtoto

    Ilikuwa na safari nzuri sana japo kuna wakati yale mafeni tuliyokuwa tunayatumia kupaa yalikuwa yanagoma kuzunguka ila kabla hatujadondoka yanazunguka tena huku mke wangu akiwa na mtoto mgongoni tulienda kutua kwenye mji mmoja ambao nilona kuna fremu nyingi za biashara huku kukiwa na biashara...
  17. BARD AI

    Dizeli yaendelea kupanda bei, Ruzuku ya Tsh. Bilioni 100 yaondolewa

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imetangaza bei mpya za mafuta zitakazotumika kuanzia leo Jumatano, Januari 4, 2023 huku bei ya dizeli ikiendelea kupaa. Katika taarifa hiyo iliyotolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Ewura, Modestus Lumato imeonyesha kuwa katika jiji la Dar es...
  18. Rashda Zunde

    Idadi ya wawekezaji nchi yazidi kupaa

    Ziara za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye mataifa mbalimbali duniani zimezaa matunda kwa kufanya idadi ya wawekezaji nchini kuongozeka. Rais Samia amekua akiwahakikishia wawekezaji kutoka nje kuja nchini kwani kuna mazingira mazuri ya uwekezaji na pia...
  19. kimsboy

    Tetesi: Bei ya kununua umeme kupanda kuanzia January unit kuuzwa 511

    Kuna tetesi nimepewa na mtu wangu wa huko wizarani kuwa kuna bei mpya ya units kuanzia january Bei itapanda kutoka Tsh 357 kwa unit bei ya sasa hadi kufika 511 kulingana na nilivyoambiwa Halafu nimeambiwa pia tarrif 4 ile ya kununua umeme wa 5000 unapewa units 40 kwa vijijini inaondolewa...
  20. L

    Uhusiano baina ya Chama cha Kikomunisti cha China na vyama mbalimbali vya kisiasa vya Afrika waendelea kupaa juu zaidi

    Uhusiano na ushirikiano kati ya vyama vya siasa vya China na Afrika ulianza kitambo sana yaani kabla ya nchi nyingi za Afrika kujipatia uhuru wake. Uhusiano huu umekuwa ukiendelezwa siku hadi siku yaani tangu China ilipokuwa Jamhuri mwaka 1949 wakati wa utawala wa Mwenyekiti Mao Zedong hadi...
Back
Top Bottom