kuongoza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Hakuna nchi nyepesi kuongoza duniani kama TZ. Sikutegemea Simba kupeleka timu uwanjani leo

    Imagine Uto leo Wana hamu ya kucheza mechi, TAREHE 15 hamu Yao ilikuwa wapi mpaka wakavaa na Jezi zenye maandishi ya Hatuchezi Ng'oo? BODI ya ligi na TFF hawajatueleza aliyebadilisha Tarehe ni nani? kwa kanuni ipi kwa makubaliano na nani? kwanini bodi ibadilishe Tarehe na kupanga Tarehe mpya...
  2. VERITE-NUE

    JamiiForums Tanzania Burundi: CNDD-FDD kuongoza Bunge bila mpinzani

    Kwa mjibu wa taarifa za awali, uchaguzi wa tarehe 5 Juni, 2025, unaiacha CNDD-FDD katika nafasi ya kuwa na wabunge wote wanaohitajika bungeni. Kwa mjibu wa katiba ya Burundi, vyama vya siasa, vinahitaji angalau 2% ya kula zote, na mpaka sasa hakuna chama kilichofanikiwa kupata kura hizo. Kwa...
  3. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Sababu za TPA kuongoza kutoa gawio kwa miaka mitatu mfululizo

    Kwanini TPA imeongoza kutoa gawio kwa miaka mitatu mfululizo? i. Maboresho ya miundombinu yaliyochangia ongezeko la Shehena ambapo kwa kipindi cha miezi kumi na moja kwa mwaka 204/2025 mizigo imeongezeka kwa asilimia 11, ambapo imehudumia tani mil 23.9 kulinganisha na tani mil 21.5 za miezi 11...
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Matumizi Mabaya ya Madaraka: Jinsi Watoto wa Saddam Hussein Walivyotawala kwa Hofu na Kuongoza Magenge ya Kikatili

    Watoto wa Saddam Hussein, hasa Uday Hussein na Qusay Hussein, walijulikana kwa kutumia madaraka ya baba yao kwa namna ya kikatili na ya kupindukia, na walihusishwa na vitendo vingi vya ukandamizaji, unyanyasaji, na uongozi wa magenge ya kijeshi na kijasusi ndani ya Iraq wakati wa utawala wa...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Tanzania mlikosea sana kumuweka Mwanasiasa kuongoza chama chenu Cha Wanasheria

    TLS haikuchagua Rais mwanasheria kwa maslahi ya wanasheria na kada ya Sheria, Bali walimchagua Mwanasiasa kwenda kupigania maslahi ya siasa kupitia TLS Leo hii tunapoongea mawakili wengi nchini wana shida kibao. Wapo mawakili wengi tu haswa wanaoanza wanaohitaji kusaidiwa zaidi kusimama kikazi...
  6. Webabu

    JamiiForums Tanzania Marekani kuongoza ugawaji misaada Gaza ikiitaka Israel isisogelee karibu.Hamas na UN wanawasi wasi na mpango huo.

    Mwanadiplomasia wa Marekani nchini Israel amefichua mpango ambao utaanza hivi punde wa kuingiza misaada eneo la Gaza ili kuokoa maisha. Huckabee amesema mpango huo utashirikisha makampuni binafsi na kwamba Israel haitohusika isipokuwa kwenye ulinzi tu kwani hilo ni eneo la vita bado.Mpango huo...
  7. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Jakaya ametuachia somo zito! Uongozi ni stamina na demokrasia ni kuvumiliana. Ukishakuwa rais hauongozi CCM, unatakiwa kuongoza nchi

    Jakaya alipoiongoza nchi alituachia somo la msingi kwa kuonyesha kuwa ukiwa rais unatakiwa kuliongoza taifa, si chama chako. Alitufundisha kuwa kiongozi wa nchi hastahili kuwa na upendeleo kutokana na nani alimuunga mkono au nani hakumuunga mkono. Hata hivyo, JPM alipoingia alijikita katika...
  8. Y

    JamiiForums Tanzania DC Chauchau apewe nafasi ya kuongoza Mkoa wa Dar es Salaam

    Naam Habari zenu waungwana. Namzungumzia ambaye sasa ni mkuu wa wilaya ya kigoma mjini ndugu Dkt Rashid Chuachua, ambaye pia amewahi kufanya kazi chini ya ndugu Albert Chalamila. Chalamila alipokuwa mkuu wa mkoa wa mbeya Chuachua alikuwa ni mkuu wa wilaya ya mbeya mjini, kama nimekosea...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi ukiuchukua Urais kwa Dharula ya Kikatiba na Kuongoza kwa miaka 3 au 4 bado unastahili kuitwa Baba au Mama wa Taifa?

    Nitashukuru mkinijibu manake kuna Dada Mmoja hapa Mtaani amekuwa ni Mjumbe wa Kata yetu tokea Mwaka 2021 na hakuna anachofanya zaidi tu ya kupenda Umbea, ila nashangaa wana Mtaa Wenzangu wamemkubali hadi kufikia kumuita Mama wa Taifa la Mtaani, ila Mimi mpaka sasa sijaona Maendeleo ya hapa...
  10. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna nchi rahisi kuongoza kama Tanzania? Nitajie

    Tanzania NI nchi rahisi na nyepesi MNO kiendesha kama kiongozi, kwanza haihitaji uwe na elimu Sana, Yani hata kama huna vigezo pia unaweza kua Raisi WA nchi hii na watu wote wakakutii. Hata kama uwe na uongozi m'baya vipi hiyo sio ticket kwamba unashindwa uchaguzi ujao, HAPANA, kuna kundi kubwa...
  11. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Je una habari pamba jiji fc imewahi kuongoza ligi msimu huu?

    Ndio, ni ligi hiihii ya futbol kwa mwaka 2024/2025. Najua wazee wa ligi watabisha. Lakini ndoivo chukua chuma hicho [kwa sauti ya zomboko].
  12. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Viongozi wengi wa taasisi hawana busara ya kuongoza watumishi wa Umma

    Mimi ni mfanyabiashara ambaye nimefanikiwa sana lakini wapo baadhi ya ndugu zangu ambao ni watumishi wa umma katika taasisi mbalimbali. Malalamiko ya ndugu zangu kuhusu namna ambayo viongozi wao wa taasisi wanavyowafanyia yanafanana karibu kila taasisi. Viongozi wanafanyia kazi habari za...
  13. B

    JamiiForums Tanzania RC HOMERA KUONGOZA UZINDUZI WA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA- MBEYA

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Zuberi Homera atakuwa Mgeni rasmi kwenye Uzinduzi wa Kampeni kubwa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia kwa ajili ya kuwasaidia na kuwashauri wananchi kuhusu masuala mbalimbali ya kisheria. Uzinduzi huu utafanyika Jumatatu hii Februari 24, 2025 kwenye Viwanja vya...
  14. Yoda

    JamiiForums Tanzania Aina ya utawala sahihi unaokubalika na Mungu kuongoza watu ni upi?

    Utawala gani wa kisiasa wa kuongoza watu ambao ni sahihi unaotakiwa na Mungu kati ya Demokrasia na Udikteta kulingana na maelekezo ya dini kubwa mbili za Ukristo na Uislamu?
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania AI yamuweka Kagame kuwa kiongozi bora zaidi kuongoza Afrika moja iliyoungana!

    Ni ChatGPT AI
  16. Mr Chromium

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kagame hawezi kuongoza nchi yenye makabila tofauti kama kenya, Uganda au Tanzania

    Huyu jamaa uongozi wake umejengwa kwa misingi ya Genocide. Bila Genocide hana cha kusimamia. Kwa rwanda amejibrand kama ni mtu aliyezuia Genocide. Kwa nchi ambazo zina makabila mengi huwezi kutoboa kuwaongoza watu miaka 30 kila leo uwakumbushe mauaji ya kimbari!! Watu awawezi kukuelewa lazima...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Trump anasema ajali ya ndege iliyotokea Washington ni kwasababu ya sera za kuruhusu watu wa asili ya mataifa kuruhusiwa kuongoza ndege USA.

    Trump amelaumu uongozi wa Obama na Biden kuruhusu watu kuja kufanya kazi ambazo zinahitaji ma-genious na hivyo kuruhusu hata watu wenye ulemavu wa akili kufanya kazi maalumu kwa ma-genious. Trump ameyasema hayo alipokuwa anazungumza na waandishi wa habari kuhusu ajali hiyo. Mambo yanaendelea...
  18. chiembe

    JamiiForums Tanzania Team Mbowe, sasa tuingie msituni kuhakikisha Lissu anakwama kuongoza chadema na hapati urais

    Ni wakati muafaka sasa kuanza kupanda miba ya kutosha kuhakikisha huyu ndugu hapati nafasi ya kuwa Rais na pia kusuka hujuma za kila aina ndani ya chama ili kumkwamisha na kumbomoa. Hii Vita haijaisha mpaka iishe
  19. R

    JamiiForums Tanzania Lissu utalinda heshima gani ya Mbowe aliyobakiza ambaye umemdhihaki kwa kumuita mla Rushwa, msaliti wa chama, hafai kuongoza etc etc?

    Nadhani umetambua makosa yako ya kumsingizia mambo mabaya Mbowe ua UONGO leo unasema utalinda heshima yake. Utalinda heshima gani aliyobakiza? Umemchafua makusudi , guility consciousness inakutanga moyoni! Nani akuamini? c&p Guilty consciousness is haunting you Lisu! A guilty conscience...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Shairi: Mbowe Endelea Kuongoza

    Kwa miaka ishirini na moja, umetutumikia, Katika dhoruba na mawimbi, haukutetereka, CHADEMA umekijenga, ukakifanya ngome, Freeman Mbowe, bado tunahitaji huduma zako. Busara zako ni taa, zinazoongoza njia, Uadilifu wako ni chemchemi ya tumaini, Kwa haki na usawa, umetufunza kupigania, Mbowe...
Back
Top Bottom