kuongea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stability

    JamiiForums Tanzania Sijui kwa nini ila wadada wenye makalio makubwa hawahitaji kuongea sana hata kama anakutaka atapita tu mbele yako ili wewe ujiongeze mwenyewe

  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Lissu hajaanza kuwasikiliza watia nia wa ubunge na udiwani kabla ya yeye kuanza kuongea? Ni udikteta?

    Nikiwaangalia watia nia ni kama hawako pamoja na Lissu, masikio yao "yanamkataa" Lissu. Nadhani alitakiwa kwanza awasikilize kabla ya kuanza kuwahubiria mambo yake. Uongozi wa up-down ni wa kidikteta.
  3. figganigga

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Joseph Mbilinyi aka Sugu kuongea na taifa 20 March, 2025

    Joseph Mbilinyi aka Sugu kuongea na taifa 20|03|2025 MY TAKE; Viongozi wa chama kilichokupa nguvu ya Kisiasa tunakuja Kwenye kanda yako. Bado nakushauri. Huna nguvu kuliko Tundu Lissu, uchague moja. Kumuunga Mkono Tundu Lissu au uamue kufa kisiasa. Nategemea Kesho ueleze ni Jinsi gani...
  4. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Trump amuomba Putin kuongea na Iran asiangamize Israel

    Katika mazungumzo Yao hii leo Rais Trump alimdokeza Rais Putin kuwa ajitahidi Iran isiwe katika Hali ya kuiangamiza Israel. Wajuvi wa mambo wanaeleza kuwa hatua hii tayari inaonesha kuwa marekani inachukua tahadhari zote kabla ya kupambana na Iran ikiwa ni pamoja na kuwasiliana kwanza na Russia.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Haji Manara ametumwa kuongea utumbo vinginevyo viongozi wao wamkane

    Kwa akili ya kawaida tu wala you don need to go to school kwamba Zungu katumwa kufanya uchochezi kwa niaba ya wana utopolo. Wamemtuma kuropoka na sio vinginevyo, wako nyuma yake, wao wanamlipa mshahara, wanamhudumia mkewe kwann asiropoke. Kama ameweza kuwakana Simba kwa sababu yao hawezi...
  6. milele amina

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Madiwani Moshi Manispaa, kuongea na waandishi wa habari kuhusu , Kauli Tata na Malalamiko ya Wapiga Kura ,Soko la Mbuyuni, Moshi Manispaa.

    Katika kipindi cha hivi karibuni, kauli tata na malalamiko ya wapiga kura wa Moshi Manispaa yameibuka, yakihusiana na ujenzi wa soko la Mbuyuni. Wapiga kura wamekuwa wakilalamika kuhusu thamani halisi ya soko hili, wakionyesha wasiwasi wao juu ya ufisadi na wizi ambao umekuwa ukiripotiwa...
  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ila wanawake, anakuuliza una feel vp, ukianza kuongea kumuelezea, anakupotezea kama hakujui halafu ukikaa kimya anakasirika kwa nini haumjibu

    😂😂 Its crazy to think kwamba mwanaume anapoingia katika mahusiano na mwanamke, mwanaume yeye anataaka amtreat huyo mwanamke kama "alivyo mwanamke" ila mwanamke yeye anataka aku-treat same way ukike wake ulivyo na jinsi marafiki zake wa kike walivyo.
  8. Sisa Og

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mtu wa kuongea naye Kiingereza

    Habari zenu wakuu? Nimekuwa nikijifunza english kwa mwaka sasa. Hasa pronouncing and listening skills. Nimefanikiwa kwa kiwango kadhaa lakini changamoto kubwa ni kufanya mazoezi ya kutamka peke yangu. Watu ambao nimekuwa nikiwataka tuwe tunazungumza wananiona kama nimechanganyikiwa. Anyway...
  9. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania Ombi la kuruhusu wafungwa kuongea kwa simu wakiwa Gerezani

    Waheshimiwa , Mamlaka husika, Naomba muhusike na kichwa cha habari hapo juu. Waswahili Tunasema sisi sote, ni wafungwa watarajiwa. Napenda kutoa maombi yangu kwa heshima kubwa kuhusu suala la ruhusa kwa wafungwa kuzungumza kwa simu wakiwa magerezani. Ninaamini kwamba kuruhusu wafungwa...
  10. Magical power

    JamiiForums Tanzania Kuongea na mababu na mabibi zako waliotangulia mbele za haki

    Tafuta vyakula alivyopenda kula na vinywaji alivyopendelea wakati wa uhai wake huyo marehemu. Nenda makaburini tafuta nafasi nzuri ya kukaa hakikisha uko peke yako na huonekani na watu. Ksha mwaga kile chakula alichopenda marehem au mzimu unaouita ,sema hivi we fulani weka jina lake mimi fulani...
  11. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Kuongea kwa kukandamiza siyo ushamba bali KARAMA hivyo WASUKUMA tueleweke vyema

    Amani iwe kwenu watanzania wote Kumeibuka tabia ya watu wengi kutokujua ni nini maana ya ushamba, na hii yote inachangiwa na watu kutokuwa na elimu vyema , hasa ukizingatia kuwa CCM wamewanyima watanzania elimu iliyo bora ili waendelee kuwatawala inavyotakiwa yaan kisawa sawa Watanzania wengi...
  12. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Kwanza wachawi walishakufa

    Je, Kikwete ametupa dongo kwenye familia ya Magufuli na Mkapa? Akitetea hoja ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM kuhusu kumpitisha Rais Samia awe Mgombea 2025, Rais mustaafu Kikwete amenukuliwa pamoja na mambo mengine akitamka; "...kwanza wachawi walishakufa." Mwisho wa kunukuu. Je, ni nani hao...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kikundi cha rsf kuongea na waandishi wa habari jijini Nairobi- kenya ikiwa ni baada ya kupoteza udhibiti wa mji wa wad madani

    Kulingana na The Eastleigh Voice, kikundi cha RSF cha nchini Sudan kitaongea na waandishi wa habari jijini Nairobi nchini Kenya mnamo Jumatatu ya tarehe 13 Januari 2025. Hii inakuja ikiwa ni siku moja tangu RSF wapoteze udhibiti wa mji muhimu wa Wad Madani. Kuipoteza Wad Madani ni pigo kubwa...
  14. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Mi napinga Maria Sarungi kuongea kesho Januari 13

    Hakuna ulazima wa yeye kuongea kesho. She must wait until she is fully recovered from the shock. She should wait for the right time. She is in a foreign country. Kwa hiyo asiihusishe nchi jirani na siasa za Tanzania. She could wait until NEXT Monday. Hatuhitaji kusikia hizi monotonous stories...
  15. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Lema awaandikia Waraka mzito Mbowe na Lissu. Kuongea hivi karibuni

    Hakika ni Waraka wa kutisha wa Mtume Lema kwa Mbowe na Lissu. Muhimu nilichoelewa mimi, Lema amesema ana muunga mkono Tundu. Jisomee mwenyewe;
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mpango wa kuongea na Ibenge wapate sare umeanza, shame on you

    Za ndaaaaaaaaaaaaaaaani, Ibenge amepigiwa simu akiombwa sare ili fainali iwe kwa Mkapa. Daaah nimesikitika sana, Ibenge kawajibu atawapa majibu ndani ya siku 2 lkn wajiandae kumwaga mzigo vinginevyo ngumi jiwe tu. Mechi ni sare, believe me or not
  17. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ili TBC wawe mubashara lazima wajue unachokwenda kuongea. Mbowe kapewa ya kuongea na waliolipia TBC

    Television ya Taifa au Radio ya Taifa hasa Taifa hili la Tanzania halirushi kitu live bila kuwa programmed. Mbowe alishapangwa na walishakubaliana nini akaongee. Hata Masheikh na Maaskofu ili Dua zao zirushwe live lazima waonyeshe kwanza hizo dua ndio waruhusiwe. Nikiwa jeshini nilikuwa mmoja...
  18. comte

    JamiiForums Tanzania Kampeni za Harris Kamala zimetuonyesha nani wa kuongea naye wakati wa kampeni

    “There’s just no value — with respect to my colleagues in the mainstream press — in a general election, to speaking to The New York Times or speaking to The Washington Post, because those [readers] are already with us,” deputy campaign manager Rob Flaherty said during an extensive interview with...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Hersi Said alivyowasili Dar Kinyonge, ashindwa kuongea baada ya sare na TP Mazembe

    Rais wa Yanga, Engineer Hersi Said alivyowasili Dar Kinyonge, ashindwa kuongea baada ya sare na TP Mazembe kwenye mechi ya Tatu kwenye kundi A michuano ya CAF Champions League. Yanga kwasasa anabuluza mkia kwenye kundi hilo akiwa na alama 1 na walianza vibaya kwa kupoteza mechi mbili mfululizo...
  20. Tman900

    JamiiForums Tanzania Bora tutumie Lugha ya Kiingereza ndiyo iwe Lugha ya Taifa

    Mfumo wa Serikali upo kwa Kingereza. Documents za Serikali zipo kwa lugha ya kingereza. mimi kwa mtazamo wangu ni Bora tutumie Lugha ya kingereza ndiyo iwe Lugha ya Taifa. Tuachane na Kiswahili. Lugha ya Taifa ikiwa kingereza, tutakua tumepiga Hatua kubwa sana kwenye mawasiliano Duniani kote...
Back
Top Bottom