kuondoka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rais Uhuru Kenyatta amthubutu William Ruto kuondoka Serikalini

    Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya siku ya Jumatatu alimthubutu naibu wake William Ruto kuondoka serikali badala ya kushambulia serikali kutoka ndani. Akizungumza na wahariri nchini humo, rais hakuficha kukasirishwa kwake na ukosoaji uliotolewa dhidi ya utawala wake na kambi ya Ruto. Rais alisema...
  2. Hasara ya Messi kuondoka Barca

    🚨 Expected losses due to Messi's departure from Barcelona🚨 ✅ 50 million euros collected from taxes. ✅ The disappearance of the best-selling shirt in the world. ✅ 950 million euros sponsorship contract from Nike! ✅ 111 million euros, profit from Messi's photos ✅ Barcelona's profits and...
  3. Athari za Haji Manara kuondoka Simba mpaka sasa

    Hapa tuseme ukweli. Tangu kuondoka Manara kuna mambo tayari Simba imerudi nyuma na kulingana na Yanga. Kuna faida moja Manara ameiacha kwa Yanga nitaitaja baade. Katika kipindi hiki cha usajili, tumezowea kuwa kipindi cha muhaho kwa pande zote mbili. Manara akizowea kukoleza sana kwa kila...
  4. Rasmi: Barcelona yatangaza Messi kuondoka Klabuni hapo baada ya kushindwa kuongeza Mkataba

    Barcelona imethibitisha kuwa Mchezaji wao mahiri, Lionel Messi ataondoka Klabuni hapo kutokana na vikwazo vya kimfumo na kifedha (Sheria za Ligi ya Uhispania) Klabu imesema yenyewe pamoja na Messi wamesikitishwa na hatua hiyo kwani awali pande zote mbili ziliridhia kuongeza mkataba wa Mchezaji...
  5. Kufikia amani, Taliban yataka Rais wa Afghanistan kuondoka

    Kundi la Taliban limesema halitaki kuhodhi madaraka lakini linasisitiza hakutakuwa na amani nchini Afghanistan hadi kuwepo na serikali mpya mjini Kabul na Rais Ashraf Ghani aondolewe. Hayo yameainishwa katika mahojiano kati ya shirika la habari la Associated Press na msemaji wa Taliban Suhail...
  6. Hans Pope: Manara hataki kusaini mkataba ambao atalipwa milioni 4

    Hans Pope ameeleza sababu za Manara kukataa kusaini mkataba na Simba ambao ni mil 4 akiogopa kujifunga kwani unamkataza kufanya kazi na kampuni zingine nje ya Simba.
  7. Kuondoka kwa Majeshi ya Marekani Nchi Afghanistan kumewaachia maafa makubwa wananchi

    Ni huzuni kweli kweli,nimeona taarifa ya BBC ikionesha mateso wanayopata Raia wa Afghanistan kutokana na vita Kati ya Taleban na Majeshi ya Serikali. Watu Wana njaa,wanauwawa na Wana majeraha ya risasi na mabomu.Marekani wamekosea Sana kuondoka huku wakijua jeshi la Nchi ni dhaifu.Matokeo yake...
  8. Waziri mkuu wa Ethiopia athibitisha kuondoka kwa wanajeshi wake, Mekelle

    Waziri mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed amekiri kwamba wanajeshi wa serikali yake wameondoka katika mji mkuu wa jimbo la Tigray, Mekelle baada ya miezi kadhaa ya mapigano. Kiongozi huyo amesema hatua hiyo ni kutokana na kuwa wameondoka na kuwa mji huo haukuwa tena kiini mizozo. Afisa mwingine wa...
  9. Naomba kuuliza kuhusu mafunzo JKT kwa mujibu wa sheria

    Habari za majukumu wakuu, Natanguliza samahani kwa usumbufu. Naomba kuuliza kuwa, kwa wale vijana waliochaguliwa kujiunga na Mafunzo kwenye kambi za JKT, inaruhusiwa kutoa udhuru na kuripoti kambi tofauti na uliyopangwa? Na je, ikiwa mtu anahitaji kufanya hivyo, kuna taratibu zozote ambazo...
  10. J

    Basi la Bawacha kuondoka Geita kesho kuelekea bungeni Dodoma kuwang'oa akina Halima Mdee na wenzake

    Msafara wa Bawacha unatarajiwa kuondoka Geita kesho asubuhi kuelekea bungeni Dodoma kumshinikiza Spika Ndugai awatimue bungeni akina Halima Mdee na wenzake. Ni msafara wa mabasi kadhaa ambapo mengine yataunga msafara njiani kama Kahama, Nzega na Singida huku Husna Said wa Chato akiongoza...
  11. B

    Maajabu: Furaha ya CCM ni kwa Nyalandu kuondoka CHADEMA na si kujiunga na CCM?

    Mabibi na mabwana kumekuwa na shamra shamra nyingi hasa kutokea kwa wale makada nguli wa chama mboga mboga kuwa bwana Nyalandu katoka Chadema. Ajabu ni kuwa furaha zimeelekezwa kwenye kuwa bwana huyu asiyekuwa na jina ndani ya Chadema, ametoka Chadema wala si kuwa kajiunga na CCM! Maajabu...
  12. USHAURI: Jinsi ya kuondoka kwenye uraibu wa kucheza Kamari (Betting)

    Karibu rafiki yangu mpendwa kwenye makala hii ya ushauri wa changamoto zinazotuzuia kupiga hatua na kufanikiwa kwenye maisha. Kwenye makala hii tunakwenda kujifunza jinsi ya kuondoka kwenye uraibu wa kucheza kamari au kama ilivyo maarufu kwa jina la betting. Hii ni changamoto ambayo imekuwa...
  13. Kuondoka kwa Hayati Magufuli kumewavua nguo wapinzani

    Nimetafakari nikakumbuka story ya jamaa waliokuwa wanamkimbiza mwizi ila hawamjui (hawana target). Kufika sehemu wakaanza kuulizana mwizi yuko wapi kila mtu hata mimi sijui. Kuondoka kwa JPM kumewavua nguo wapinzani. 1: Imethibitika huwa wanapinga watu na sio mfumo uliopo dhidi ya mfumo...
  14. Baada ya Dkt. Magufuli kuondoka, je Benki zitapandisha riba za mikopo?

    Watumishi wa umma watamkumbuka sana Magufuli kwenye mikopo. Kabla Magufuli hajachukua nchi mwaka 2015 riba za mikopo ya kawaida ya watumishi ilikua ni kuanzia 20% hadi 25% kwenye mabenk yetu. Ilikua ukokopa milioni 10 kwa miaka 5 utalipa milioni 20. Baada ya Magufuli kuingia alizishawishi bank...
  15. US yaamuru Wanadiplomasia wake kuondoka Chad kutokana na hofu ya kuibuka ghasia

    Marekani imewaamuru Wanadiplomasia wake ambao sio muhimu kuondoka Nchini Chad kutokana na hofu ya kutokea mashambulio katika Mji Mkuu wa N’Djamena. Kauli hiyo imetolewa wakati matokeo ya awali ya Uchaguzi yakionesha Rais Idriss Deby anatarajiwa kushinda na kuendeleza Uongozi wake ambao umedumu...
  16. Muda gani ni sahihi kuondoka bar?

    Wakuu habari za muda huu, Naomba tusaidiane kujibu hili swali, na litawahusu wanywaji na walevi tu maana ndio watakao elewa nini namaanisha hapa. Wakuu ile time umefika Bar ukaanza kutia vitu huwa ni muda gani kwako unaona ni muafaka kuondoka na kurudi nyumbani?
  17. Mradi wa umeme wa Stiegler's Gorge Hydroelectric Power Station kuondoka na Waziri January Makamba

    Heshima kwenu wakuu, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira na Muungano Mheshimiwa January Makamba, huenda akatumbuliwa kutokana na kuwa kikwazo katika Ujenzi wa Stiegler's Gorge Hydroelectric Power Station. Inasemekana January Makamba kaunda tume ya Wataalam wa kuchunguza athari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…