kuona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Huu ni moja wa ushauri bora niliwahi kuona mtu akipewa JF. Yani uko simple na precise ila unafikirisha.

    👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿 BALENSIAGA 🙌🏿🙌🏿
  2. JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona mdada mwenye makalio makubwa akawa kiongozi wa presentation, wanakaaga nyuma alafu akivuka geti la chuo anataka yeye ndio awe mbele

    Utamsikia "guys nisaiiiiiidieniii mwenziooo😔" Mkishatoka tu nje ni kama hawajui group mates wake🤣
  3. JamiiForums Tanzania Wapo wanasiasa ndani ya taifa letu, kiu yao na tamaa zao na Furaha zao ni kuona watanzania wanauana, na kuchinjana, tuwaepuke!

    Can't leave my country to dog! Mwl. Jk nyerere. Nyumbani kwetu ni hapa Tanzania hatuna uraia wa popote pale kama wenzetu.... More infos to come!
  4. JamiiForums Tanzania Zuchu amefuzu kuwa supastaa mkubwa wa nchi. Nimeshangaa leo kuona gari zinaitwa Zuchu !!

    Leo katika pilika zangu za kutafuta rizki nilipita kwenye terminal ya makontena. Nikakuta hizi howo zinasomba hayo makontena na kuyapanga kwenye yard. Hizi gari kama mnavyozijua zinaitwa Howo. Lakini kwenye ulimwengu wa makuli hizi gari zinafahamika kama Zuchu. Niliuliza baadhi ya madereva na...
  5. JamiiForums Tanzania Maono ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kuona Tanzania inazalisha zaidi mazao ya Chakula na kuweza kuuzia majiran

    Maono ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kuona Tanzania inazalisha zaidi mazao ya Chakula na kuweza kuuzia majirani na ikiwezekana Afrika na mataifa mengine. Kwa sasa Tanzania inajitosheleza kwa chakula kwa aslimia 128.
  6. JamiiForums Tanzania Natamani kuona mechi ya Simba na Yanga ikichezwa nje ya Tanzania.

    Imani za kishirikina ni moja ya changamoto zilizopelekea miaka hii ya soka kutokipiga kwa Mkapa mnamo mwanzoni wa mwezi March,japo kuwa hakukuwa na sababu za msingi kuhairishwa kwa mechi ya dabi. Hatuwezi kukataa maamuzi sababu yalikwishatoka ila limebakia swali tu,ni lini mechi ya dabi...
  7. JamiiForums Tanzania Waasi wa Houthi waandamana Yemen kupinga shambulizi la Marekani la hivi karibuni

    Maandamano makubwa yalizuka katika miji kadhaa ya Yemen, ikiwemo Sana’a, Saada, Dhamar, Hodeida na Amran, baada ya mashambulizi ya Marekani dhidi ya waasi wa Houthi. Waandamanaji, wengi wakibeba bunduki, visu na Quran, walipaza sauti wakisema, “Kifo kwa Amerika, kifo kwa Israel!” Katika mji...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri wa Nishati Toa kibanzi kabla ya kuona Boriti

    Mr. Naibu waziri mkuu na Waziri wa nishati, safisha shirika lako la tanesco. Hamna mtaalamu wa IT? Ebu tafuta deni la kodi ya Jengo uone majibu yake kwenye website ya shirika: https://www.tanesco.co.tz/customer-services/property-tax
  9. JamiiForums Tanzania Tabia ya kuwatishia matajiri na wafanyabiashara ijaanza leo wakiwa upande wa vyama pinzani

    Kama mnakumbuka:Hiki kisa cha Katika miaka ya 1990, kulikuwa na tukio ambapo serikali ya Tanzania ilimwaga shehena ya ngano na unga wa ngano wa mfanyabiashara maarufu, Said Salim Bakhresa, ikidai kuwa bidhaa hizo hazikukidhi viwango vya ubora vinavyohitajika kuingizwa nchini. Kutokana na hatua...
  10. JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona Mtoto mjinga hivi

    Anaeleza ujinga wake mbele ya wazazi na watu wanaoheshimiana nao Angalia kwenye video. Kama mzazi nimeumia sana
  11. JamiiForums Tanzania Inashangaza kuona mpaka sasa Wajumbe Bodi ya Ligi Kuu hawajatangaza kujiuzulu

    Baada ya Makosa makubwa na uvunjifu mkubwa wa kikanuni uliofanywa na Bodi ya Ligi, Inashangaza kuona mpaka sasa ni Mjumbe mmoja tu ambaye ni Mjumbe wa kamati ya Usimamizi na Uendeshaji wa ligi kuu Tanzania bara Ndugu Filimon Ntahilaja ambaye amejiuzulu nafasi yake na kutoka nje ya kikao baada ya...
  12. JamiiForums Tanzania NI AIBU SANA KUONA WAZIRI HUSIKA WA MICHEZO AMEKAA KIMYA MPAKA SASA KUONA UPUUZI WA TFF NA BODI YAKE KWENYE SOKA LETU

    Ni mambo ya kijinga na ya AIBU YANAENDELEA kwenye SOKA LETU Yaliyotokea Jana n jambo la AIBU SANA SANA kwa viongozi WA soka la Tanzania Haitoshi nawiwaa na wasiwasi na waziri HUSIKA kukaa kimya SWALA kama hili ni kuendelea kudumisha ushenzi unaoendelea kwenye SOKA la Tanzania Binafsi kama MH...
  13. JamiiForums Tanzania Nitashangaa kuona Kasongo yeye na kundi lake pale TPLB wataendelea kuwepo.

    Kwa hili walilolifanya bodi ya ligi wakiongozwa na CEO wao Kasongo, wana kila sababu ya kuachia nafasi zao kwa maslahi mapana ya mpira wetu,, kwa kweli wamedhihirisha kuwa bodi yao yote kwa ujumla ni dhaifu na haina uwezo wa kusimamia mpira wetu. Ni wakati sasa wa kuachia madaraka wawapishe watu...
  14. JamiiForums Tanzania Ubunifu mchanganyiko: unaweza kuona jinsi tulivyoachwa mbali na wenzetu

    Hapa ni plastic free society.. Wanajaribu kupunguza matumizi ya vifungashio vya plastic vyenye madhara
  15. JamiiForums Tanzania Kitu gani hujawahi kuona tangu kuzaliwa?

    Ni vingi lakini hivi ni baadhi, -Mmasai albino -Mwanajeshi albino -Ambulance ikiwa sheli (kituo cha kujazia mafuta) Najua hata nyie vitinda mimba hamjawahi kuwaona mama zenu wakiwa wajawazito :D -Kwa upande wako wewe hujawahi kuona kitu gani?
  16. R

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari wengi walishindwa kujaza 21% ya ajira kwasababu ya Necta, vyuma vimelainishwa tutegemee kuona wazanzibari wengi zaidi maofisini

    Hapo kabla ufaulu wa mitihani ya form 4 na form 6 ulikuwa mbaya sana Zanzibar, mbaya sana, Kuanzia miaka ya 2020s ufaulu umekuwa mkubwa sana sio tu Zanzibar ila hata mikoa iliyokuwa ikifanya vibaya bara. Wazanzibari wengi walishindwa kufika vyuoni kwasababu ya kufeli Necta lakini muda huu...
  17. JamiiForums Tanzania Profesa J atafurahi kuona Singeli inaenda kimataifa

    msikilize hapa akiwa na Sholo Mwamba.
  18. JamiiForums Tanzania Mbona sijawahi kuona tangazo la Safari Lager au Serengeti Lite kwenye chaneli za Azam?

    Wakuu kwema… Tupo huku tunavuna viazi na wananzengo wenzangu. Hoja ikaibuka, mbona hatujawahi kuona tangazo la kilimanjaro lager, safari lager, serengeti lite na vinywaji vya namna hiyo katika chaneli za Utv, Azam one & two, Azam Sports 1, 2, 3, 4 wala Sinema Zetu. Mdau mwingine akasema yeye...
  19. JamiiForums Tanzania Mjadala uliopo ni camera za Azam tv kurudia na kushindwa kuona tukio lililofanya refa kutoa red card je camera hizo hazikuweza kuona tukio hili?

    Mjadala nimeusikia haswa amri kiemba akikazania kauli kuwa hata marudio ya camera za azam haikuona kitendo alichofanya mchezaji kupewa red card ...swali je hizi camera hazikuliona tukio hilo la baka kwenye picha..... napatwa na wasi wasi na ubora wa kamera za azam labda ni chache uwanjani au...
  20. JamiiForums Tanzania Errol Musk, baba wa Elon Musk asema yeye ni mtu wa Totoz na hajawahi kuona ama kukutana na mwanaume yoyote Duniani hapa ambae sio wa Totoz.

    Errol Musk, baba wa Elon Musk amefichua siri kwamba yeye ni mtu wa totozi. Mzee Musk ameenda mbali zaidi na kusema yeye amekula kuku na mayai yake na wala hakuna ubaya kula mayai kwa maana kwamba ametembea na kuzaa na binti yake wa kambo. Mzee Musk alimuoa Heide, mkewe mwingine ambae walioana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…