kuolewa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Si kila Mwanamke hapa duniani ni wa kuolewa na kuzaa, wengine wapo ili kukidhi haja za Mwanaume

    That's why hata idadi ya wanawake Kwa mwanaume ni ratio ya 4 Kwa 1 , I mean wanawake wanne Kwa mwanaume mmoja . Wanawake wengine si wa kuoa na KUZAA .
  2. JamiiForums Tanzania Usioe wala kuolewa na mwenza ambaye wazazi wake ndio kipaumbele chake kuliko wewe

    USIOE WALA KUOLEWA NA MWENZA AMBAYE WAZAZI WAKE NDIO KIPAOMBELE CHAKE KULIKO WEWE. Anaandika, Robert Heriel Tz Mtibeli Huyo hajitambui. Hajui maana ya kuwa Mume au Mke. Hajui maana ya kuwa Baba au Mama wa Familia. Hajui maana ya kuwa kichwa cha familia. Kiufupi hakuna mtu hapo. Hayupo...
  3. JamiiForums Tanzania Mambo yanayowafanya wanawake wengi wasidumu kwenye mahusiano,wasizae,wasiolewe

    Kuna viio vingi sana kwa wanawake kushindwa kudumu katika mahusiano,kushindwa kuolewa,na kushindwa kuzaa. kushindwa kuolewa na kudumu katika mahusiano yaweza kusababishwa na mambo mengine pia kama tabia ya mtu lakini kwa kiasi kikubwa wengi chanzo ni spiritual attack. Wapo wanaume ia ambao...
  4. JamiiForums Tanzania Wanawake wa Jux: Walipo Sasa

    Juma Msambilia , Jux tangu abalehe amekuwa na wanawake wengi kingono kabla ya kuja kuoa Priscilla. Wanawake hao , wengi wameolewa ila Jux anajua miili yao maana alikuwa analala nao, anaoga nao, anakula nao , na kuwafanyia masaji. Mbali na hayo yote, jux kwa sasa anatamba na mke wake aitwaye...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kwa mda mfupi niliokaa jamii forum hum na kwa upeo wangu mdogo nimegundua yafuatayo

    Kama hizi mbinu zote mmefeli CHADEMA ni dude kubwa 1.Divide and rule>kugawa kundi Ili lisipate nguvu ya pamoja 2.Reward and punishment>kutumia zawadi na adhabu kusimamia tabia 3.Framing>Kueleza jambo kwa mtazamo frani Ili wanaokusikiliza waelewe kwa namna hyo 4.Complomise>Kila upande kutoa...
  6. JamiiForums Tanzania Si Kila Mwanamke Ni Wa Kuolewa, Wala Si Kila Mwanaume Ni Wa Kuoa

    Kuna tofauti kati ya kwa wanadamu wenye maumbile na jinsia ya kike, na kuwa mwanamke mwenye sifa, tabia, mtazamo na utayari wa kuingia katika maisha ya ndoa. Watu wengi wamekuwa na tabia ya kulalamikia tabia na mienendo ya wanawake wa siku hizi, katika maisha ya kawaida na hasa katika maisha ya...
  7. JamiiForums Tanzania Ukioa au kuolewa hupaswi kulala na nguo za ndani?

    Hivi hili ni la kweli kwamba ukishaoa ama kuolewa hupaswi kulala na nguo au ni utaratibu mtakao amua kuuweka Kati mtu na mwenza wake Maana kiukwel sijajiandaa kisaikolojia kulala bila nguo hata za kulalia Hapa nataka watu wazima watuambie ukwel sis vijana wao
  8. JamiiForums Tanzania Huenda kuchelewa kwako kuoa au kuolewa ndiko kunachelewesha kuyafikia mafanikio ya ndoto za maisha yako

    Humo ndiko Mungu amehifadhi mafanikio, furaha na amani ya maisha yako, ni suala la wewe tu kuamua kuingia kwenye ndoa na hatimae kuanza kufurahia Neema na Baraka za Mungu alizokuandalia uzifurahie katika maisha yako hapa duniani. Kwani hujawahi kuona mtu baada tu ya kuingia kwenye ndoa mafuriko...
  9. JamiiForums Tanzania Afghanistan kuruhusu watoto wa miaka 9 kuolewa ni jambo linalozua maswali makubwa katika dunia ya leo

    “Afghanistan kuruhusu watoto wa miaka 9 kuolewa ni jambo linalozua maswali makubwa katika dunia ya leo. Wengi wanaona kuwa katika karne ya 21 mtoto wa umri huo bado ni mdogo sana na anapaswa kuwa shule, si kuingia kwenye ndoa. Soma Pia: Bunge la Iraq limepitsha rasmi sheria ya kuhalalisha ndoa...
  10. JamiiForums Tanzania Sio Biblia sio Quran iloitaja umri wa mwanamke kuolewa hiyo 18 mmejitungia tu

    Mm nasema hamna kama kuna mwenye aya au ushahidi wowote aje nao nimpe 300,000 usiku huu Muhammad (60) kwa Aisha ilikua sahihi Na Joseph (63) kwa bikira Maria ni sawa Hiyo 18 ni mbwembwe za waja, kama unaushaid iweke mbele weka lipa namba
  11. JamiiForums Tanzania Sio kila mwanamke aliyeolewa kabla ya 30 ni bora… lakini pia sio kila aliyefika 30 hajaolewa hana sababu - kuna mambo mengi nyuma ya pazia

    Habari wana JF, Tuwe wakweli kidogo leo. Kufika miaka 30 bila ndoa kwa mwanamke si automatic kwamba ana “tatizo”, lakini pia mara nyingi kuna patterns fulani zinachangia hali hiyo - iwe ni maamuzi binafsi, mazingira au mindset. Twende point kwa point: 1. Kupenda hela / lifestyle kwanza Kuna...
  12. JamiiForums Tanzania Umezaliwa Dodoma ukakulia na kusomea Dodoma unaoa ama kuolewa upo Dodoma na kuzaa watoto ukiwa hapohapo. Wagogo mmerogwa?

    Wagogo pamoja na kwamba ni watani zetu ila huu sio utani acheni ufala bana Tz kubwa hii. Mmerundikana kama uyoga fala sana. Halafu mizaramo ndo haishauriki kabisa imetembea sana mwisho morogoro wa kwa waluguru yaani ni chupa na mfuniko. Haya makabila ilitakiwa liwe koloni la wasukuma...
  13. JamiiForums Tanzania Uganda: Mwanamke ahukumiwa kifungo miezi 6 kisa ada ya mume mtarajiwa

    Mwanamke mmoja wa Uganda aitwaye Fortunate Kyarikunda, amehukumiwa kifungo cha miezi sita jela baada ya kushindwa kumlipa Mwanaume aliyekataa kuolewa nae, fidia ya zaidi ya shilingi milioni 14 za Uganda (Tsh. milioni 9.6) pesa ambazo Mwanaume huyo amedai kuzitumia kumlipia ada Mchumba huyo...
  14. JamiiForums Tanzania Kina dada acheni kuwasumbua waganga kuwawezesha kuolewa wakati mlikuwa mnajibu hovyo enzi mkiwa kwenye ubora wenu

    Ninaandika kwa hasira kali sana. Unakuta umeenda zako kwa mganga unakutana na foleni kubwa ya kina dada wameenda kupata dawa za kupata waume wakati ndo haohao enzi wakiwa kwenye ubora walikuwa wakijibu kwa karaha waoaji waliojitokeza. Binafsi ni mhanga wa majibu na matendo ya kishenzi enzi...
  15. JamiiForums Tanzania Mliokosea kuoa na kuolewa njoeni mjifariji hapa. Mungu atawakumbuka

  16. K

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kuoa au kuolewa kimasihala??

    Ilikuwaje mpaka ikatokea ukaingia kwenye ndoa bila kukusudia. Wana jei efu mkuye hapa mtuelezee kidogo😅😅😅😅
  17. R

    JamiiForums Tanzania Faris Buruhani: Bila amani na utulivu hakuna kuoa wala kuolewa

    Wakuu mpoooo!!!! Huyu inatakiwa VAR imulike bongo lake labda kuna chenga chenga 😂 😂 😂 Wanaovuruga amani ni hao wanaong'ang'ania madaraka kiuhalifu ------------- Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Kagera, Faris Buruhani, amewataka wananchi wa mkoa huo...
  18. JamiiForums Tanzania Akimbia nchi nzuri ya Kiislamu kwenda ishi nchi ya Kibeberu na kuamua kuolewa na kaka yake

    Hii huwa inanichanganya. Huyu dada ameondoka nchi yao nzuri ya kiislamu yenye kufuata miiko ya dini na taratibu na kwenda kuishi nchi ya kikafir. Alichofanya ndo kimeshangaza zaidi. Huko ambako hawajifuniki nywele na hawavai nguo za stara ameenda akaoana na kaka yake. Imagine kaolewa na kaka...
  19. JamiiForums Tanzania Sifa Kuu za Mwanamke Mwema wa Kuolewa kwa Mujibu wa Qur’an na Sunnah

    🕌 MUHTASARI: SIFA ZA MWANAMKE MWEMA KWA AJILI YA NDOA (KWA MUJIBU WA QUR’AN NA SUNNAH) 1. Mwenye Imani na Uchamungu (Taqwa) Qur’an: An-Nur 24:26 — “Wanawake wema ni kwa wanaume wema, na wanaume wema ni kwa wanawake wema...” Al-Baqara 2:221 — “Wala msiwaoe washirikina mpaka waamini; kwa hakika...
  20. JamiiForums Tanzania Mwanamke ukitaka kuolewa kuwa kwenye mahusiano na mwanaume anayekupenda na sio unayempenda wewe

    Hapo vip!! Wasichana au wanawake wengi wanabaki masingle mothers na kutelekezwaa kwasababu anakuwa kwenye mahusiano na mwanaume anayempenda..wanawake wengi huwa wanawazaliwa wanaume wanaowapenda wakifikiri ndio njia ya kuolewa kumbe ameamua mwenyewe kuwa single mother kwasababu mwanaume anamuoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…