kuokoa

The Independent Party (Hawaiian: Kūʻokoʻa) was a political party in the Kingdom of Hawaii formed with the purpose of providing resources and benefits of a political party to independent politicians.

View More On Wikipedia.org
  1. Sasa ni rasmi Mzigo Umekata, Aziza Kazimaliza zote Boss hakutoa Hela, ila Wabunge ndiyo walichangishana Kuokoa Jahazi

    Na Wabunge waliojichangisha wamesema wanataka 'Siku ya Wananchi Wapuuzi' tarehe 6 August 2022 warejeshewe Pesa zao vinginevyo watalikamata Basi au watagawana Makombe yote yakakae Kwanza Makwao hadi walipwe Chao.
  2. Serikali ilete sera maalumu kusaidia single mothers maana kwa hali ilivyo tunaelekea pabaya kama taifa

    Naomba serikali iangalie namna nzuri ya kusaidia taifa katika hii hali inayozidi kulikumba taifa. Hawa wanawake wanateseka sana na wanakuwa cheap na matokeo yake wanazidi kunyanyasika. Ikiwezekana hata kwa kuanzisha kampeni maalumu kuwahimiza wanaume wawaoe hawa akina mama waliozaa nao. Iwe...
  3. Meli ya pili ya Urusi inaungua moto, Admiral Grigorovich (Navy) wanaendelea kuokoa

    Meli ya Urusi maarufu Kama Admiral Grigorovich ya Wanamaji inaungua karibu na kisiwa cha Zmiiny katika Black sea , ndege za uokoaji za Urusi zinaendelea na juhudi za kuzima moto The Admiral Grigorovich class, ambayo pia ujulikana Kama Krivak IV class, Russian designation Project 11356R/М...
  4. Uturuki yajitia kiherehere cha kuokoa baadhi ya wanajeshi wa Urusi waliokua wanaangamia baada ya meli kutwangwa

    Hili la Uturuki kuokoa wanajeshi 54 halijakaa vizuri, hao wauaji walipaswa wazame wote, humo walikua zaidi ya 500 hivyo bado kuna mamia watakua chakula cha papa baharini. Mwanajeshi Mrusi hapaswi kuonewa huruma popote, labda wale waliojisalimisha, na hata hao wachunguzwe akikutwa yeyote...
  5. Kwa hali hii Zelensky akubali yaishe, kuokoa nchi kuwa magofu. Ila Putin amepata fundisho

    Kuanzia tarehe 24 Urussi imekuwa ikashambulia ukraine kwa makombora toka kila upande (Angani, ardhin na baharini), hii imetokea baada ya vita ya ardhini kupata upinzani mkubwa toka kwa majeshi ya ukraine na washirika wake baada ya kupokea shehena ya siraha toka nchi za magharibi. Sasa Urussi...
  6. Nuclear attack: "PRE-RU-SHE-A" mbinu ya kijeshi inayoweza kuokoa uhai wako wakati wa shambulizi la Nyukilia

    Moja Kati ya silaha inayotisha kwa sasa duniani ni nyukilia. Endapo utakutwa na shambulizi la nyukilia ni vyema ukatumia mbinu ya "PRE-RU-SHE-A' ili kupona shambulizi hilo. Wakati wa vita endapo BOMU la nyukilia litapigwa wanajeshi na raia ushauriwa kutumia mbinu hii ya "PRE-RU-SHE-A" ikiwa ni...
  7. Nimefikia uamuzi wa kuchanachana vyeti vyangu vyote vya Kitaaluma baada ya kuona sifaidiki na elimu niliyosoma

    Salaamj Wana JF. Naitwa DJ. DON NALIMISON Ni Mtanzania mwenye asili ya Kimarekani. Yaani baba Mzazi ni raia wa Marekani na mama Mzazi ni raia wa Tanzania. Nimezaliwa 28.06.1980 wilayani Kahama , SHINYANGA, Tanzania. Nimefikia uamuzi wa kuchanachana vyeti vyangu vyote vya Kitaaluma baada ya...
  8. SoC01 Hii ndio mbinu pekee ya kuokoa Mfumo wa Elimu Tanzania

    Shule ya msingi niliyosoma zaidi ya miaka kumi na tano iliyopita inajipambanua kwa kaulimbiu isemayo “ELIMU NI UFUNGUO WA MAISHA”. Nakumbuka vyema jinsi ambavyo kaulimbiu hii ilifanywa kuwa sehemu ya maisha ya kila mwanafunzi pale shuleni. Mwalimu alikuwa akiingia darasani kufundisha wanafunzi...
  9. K

    Kuokoa Polisi, kuwe na Kamishna wa Siasa

    Pamoja na ukweli kwamba Polisi haitakiwi kujihusisha na siasa ukweli ni kwamba Polisi inajihusisha sana na siasa. Kibaya zaidi hakuna uamuzi wa kueleweka na kila kiongozi wa Polisi anafanya maamuzi yake kwa kuangalia kusifiwa au kupandishwa cheo. Polisi wamekuwa wakitafuta sifa kwa watawala...
  10. Baada ya Kagame kupeleka wanajeshi kuokoa Msumbiji, sasa apokea wakimbizi kutokea Libya

    Kagame anazidi kuonyesha Rwanda ndio giant wa kweli Afrika licha ya ukubwa wa nchi kuwa mithili ya mkoa, wanaopenda kujiita giants wanaendelea kukunja mikia kwa uwoga hata pamoja na kuchokozwa na magaidi mpaka kuchokonolewa kwa vidole.... =================== A new batch of 133 asylum seekers...
  11. Kwa sasa shahada si kitu tena, tutafuta namna nyingine ya kuokoa vijana

    Nimekutana na mtu ana Masters anaomba uReceptionist. Nilijisikia vby sana, I got into deep thoughts. Sawa sina mtoto lkn nilijiweka ktk position ya mzazi. Unamsomesha mwanao quality schools mpk anachukua degree na MBA nje ya Africa. Then anarudi Bongo kuwa Receptionist wa 400K. Imagine wewe ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…