kuoa

KUOA (1290 kHz) is a commercial AM radio station licensed to Siloam Springs, Arkansas. It serves Northwest Arkansas, including Fayetteville and Bentonville. KUOA simulcasts the sports radio format heard on co-owned 99.5 KAKS and is owned by Hog Radio, Inc. The two stations are known as "ESPN Northwest Arkansas." They carry Arkansas-based sports shows in morning drive time and during the afternoon. A nationally syndicated sports show hosted by Dan Le Batard is heard in late mornings and ESPN Radio is carried nights and weekends.
KUOA has a daytime power of 5,000 watts. But to protect other stations on AM 1290, it greatly reduces power at night to 31 watts. It uses a non-directional antenna. The transmitter is off West University Street in Siloam Springs, near the Arkansas-Oklahoma border. Programming is also heard on FM translator 95.3 K237GR in Johnson.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Siwezi kuoa single Mother

    Binafsi, siwezi Sababu ni moja tu. Yaani baba wa kambo unalea mtoto , kuna wakati unaonekana mkatili na mwenye makosa pale kunakotokea kutokuelewana. Lakini yule aliemkimbia akamuachia mzigo anaonekana kuwa sio mkatili na wakati mwingine huwa ana heshimiwa kuliko wewe uliejitoa kubeba mzigo...
  2. JamiiForums Tanzania Wazo langu la kuoa MWANAMKE bikra bado lipo pale pale

    Siwezi kuoa MWANAMKE ambaye ameshanyonya ub***o wa mwanaume mwingine.. Siwezi kuoa MWANAMKE ambaye amewahi kukaa Dog style kwa wanaume wengine Never Uvumilivu huo sina
  3. JamiiForums Tanzania “Nimezungumza na wanaume matajiri zaidi duniani, na wote wameniambia kwamba majuto yao makubwa zaidi maishani yalikuwa ni kuoa.” — Rapper 50 Cent

  4. JamiiForums Tanzania Civilañ-Coin: Sitarajii kuoa mtoto wa Obama(USA) maana siwajui hawanijui na siwataki tu

    Kauli HIZO amezitoa mwenyewe Civilian-Coin akikanusha kuwa hajawahi kukutana Wala kuonana na watoto wa Rais mstaafu wa marekani Barack Obama na Hana mpango huo labda nafsi ikifunguka.
  5. JamiiForums Tanzania "Simba" kuoa mwanawe wa Zinaa!

    Je, unawajua watoto ambao "Simba" anaweza kuwaoa? Wataje na mama zao! Taja watoto wa ZINAA WA SIMBA.
  6. JamiiForums Tanzania Mdogo wangu Eeh! Kuoa mwanamke ambaye familia yake imekuzidi kila kitu ni mtihani sana. Usithubutu!

    Yaani ukitaka kuishi kwenye stress kwenye ndoa oa mwanamke ambaye kwao mambo safi wamekuzidi kila kitu sio elimu, sio mali sio imani utajuta tu ni suala la muda joto la ndoa likishaanza kupanda utatamani ufe upotee tu maana sio kwa dharau na kejeli utakazozipata. Leo nimeitwa kwenye kikao...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ukanda pwani kuoa na kuacha ni kama kumsukuma mlevi. Yaani mwanamke anaachika nakuolewa hata mara tano, kwao kawaida sana

    Wadau myimwike, Nimefanya kazi baadhi ya sehemu za pwani, wakati wadau humu wanazungumzia kuoa au kutoa kuoa singo maza Wenzetu pwani hawana stori hizo. Kuoa rahisi kuachana ni rahisi pia hawana mambo mengi. Hao masingo maza wanaolewa kila siku na wanaachika Kila siku. Kumkuta mwanamke...
  8. JamiiForums Tanzania Unaweza kuoa lakini vituko vya mke vikakufanya uingie kwenye tabia hatarishi

    Nimeanza ulevi ndugu zangu maana ndio option pekee ya kunifanya nijielewe mwenyewe kwa haya ninayopitia. Lakini nimejifunza kwa lugha ngumu sana kuwa kuishi na mwanamke mwenye Ego na kiburi ni jambo gumu sana kwa mwanaume. Niombeeni ndugu zangu nikiacha ulevi ntaahamia tabia nyingine mpaka...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Je, kuoa ambaye ameshazaa na wewe huna mtoto inaweza kuleta changamoto baadae?

    Niliwahi kuleta mada hapa miezi kazaa nyuma wale kijana wa miaka 26 na mtu mpenzi mtoto ana miaka 29, 1.Sasa yule mdogo wangu anasema akijaribu kuingia kwenye mahusiano na wasichana wenye miaka 25 kushuka chini wanaishia kugombana pia wanamkataa sana haswa hawa wa 18-25 anasema wanaomba hela...
  10. JamiiForums Tanzania Una mpango wa kuoa?

    Muda muafaka haujafika? Bado unajipanga? Hauplan kuishi katika ndoa? Au bado upo 50 kwa 50 kuhusu uamuzi huo? Haujapata mdada sahihi?
  11. JamiiForums Tanzania Umri ni namba lakini sioni kama ni sahihi mzee wa miaka 79 kuoa binti under 20

    Imetokea Kenya. Watu ni walewale tofauti ni eneo tu.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Nina uhitaji wa mke wa kuoa

    Ndugu Wana if kama kichwa CA habari kinavyo sema Mimi ni mwanaume miaka 42 mahitaji mke wa kuoa awe mkoa was songwe umri sibagui ukiona unafaa njoo tuyajenge My love kipaumbele tunduma na vwawa
  13. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wa kiume mnaokataa ndoa, fanyeni mapema Kuoa kabla hamjakutana na hiki ninachopitia

    Leo najisikia kuandika TU na kuwashauri vijana , ipo hivi mimi ni mwalimu na mfanyabiashara mzuri TU ( Mimi sio fala kwenye nchi hii) umri wangu ni 38, ni baba wa watoto watatu nawahudumia kwa kila kitu pamoja na hayo ni bachelor wa mda mrefu. Miaka kama kumi na mbili nyuma niliapa sitaoa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kaini alipata wapi mwanamke wa kuoa?

    Kaini alipata wapi mwanamke wa kuoa? Kaini, baada ya kumuua ndugu yake Abeli, alikimbilia katika nchi ya Nodi (Mwanzo 4:16). Nodi (Kiebrania) maana yake ni kutanga-tanga. Hivyo, Kaini alikwenda nchi isiyojulikana. Je, huko alipatia wapi mke na kuzaa naye watoto? Ukisoma kitabu cha Mwanzo...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Niko serious natafuta mke wa kuoa aliye tayari ani DM

    Habari wakuu Natafuta mke wa kuoa Sifa zangu Elimu: Bacherlor degree of computer science Location: Dar es Salaam Umri : miaka 33 Kazi: Developer Dini: catholic Sifa za mwanamke ninayemtaka 1.Elimu kuanzia diploma 2 Location dar lazima awe Dar kama atakua mkoani awe tayari kuishi dar...
  16. JamiiForums Tanzania Nina stess kali za kuoa mpaka nakonda mwili

    Wakuu habari ya uzima wenu na majukumu ya maendeleo yenu naamini MUNGU anazidi kuwapigania usiku na mchana. Basi twende moja kwa moja kwenye maada,kiukweli wakuu nakabiliwa na stress mpaka kuna wakati nashindwa kutimiza majukumu yangu ya kazi kisa kuwaza itakuaje kuhusu ndoa?,,lini ntaoa kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenzangu ukiona haya mambo umeshindwa kutimiza achana na kuoa au kuweka mwanamke ndani

    Ijalishi ni tajiri au maskini ila haya ndio mambo ambayo unatakiwa kujua mapema. 1.MUDA Wanaume tumekuwa tukitumia mda mwingi kupambania maisha yetu na mda mwengine kupumzika kwa kuburudika bar,kuangalia mpira au safari za utafutaji.Hapa usitegemee mwanamke kukuvumilia kama mda wako ukikosekana...
  18. JamiiForums Tanzania AI ilivyonifanya nipate mke mwema wa kuoa

    Abarikiwe aliebuni hiyi kitu, wale Wa vizinga tangazo sasa nimempata mkemwema, Nililizwa Sana nikaamin mapenzi ni pesaa Kumbe nilikuwa napata Malaya Malaya nikajua napendwa kumbe zinapendwa pesa Kweli filisika tuone tabia za mpenzi wako Sasa nina aman sipitii tena bar kulewa na kungoja...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Kuoa sio kazi shida mahari. Mnazo tupimia vijana nyie wazazi muwage. Mnafikiria

    Wazee, ipo hivi; kuna vijana tunahitaji sana, tena sana, kupata familia au kuanzisha familia na wenza wetu tunaowapenda. Shida inaanzia pale mzazi, yaani mkwe, unaponipimia mahari kama vile unanikomoa. Yaani sijui huwa mnafikiria kiukweli au huwa mnaamua tu kuropoka. Mnatufanya tuendelee kuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Please naombeni mnivumilie nioe kwanza huyu binti kutoka Zanzibar wakuu

    Hapa SIPO KISIASA, siasa sizielewi kabisa ni mwiba kwetu walala hoi, tuna piga kelele sote, ila ukifika muda wa kula kila mtu kwao, hapo ndo mbivu na mbichi huonekana. Mnatuacha tukipiga miayo. Anyway wakuu sijaoa kabisa, timu kataa ndoa, nisameheni ndugu zangu, nimejikita moyo wangu umependa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…