kuoa

KUOA (1290 kHz) is a commercial AM radio station licensed to Siloam Springs, Arkansas. It serves Northwest Arkansas, including Fayetteville and Bentonville. KUOA simulcasts the sports radio format heard on co-owned 99.5 KAKS and is owned by Hog Radio, Inc. The two stations are known as "ESPN Northwest Arkansas." They carry Arkansas-based sports shows in morning drive time and during the afternoon. A nationally syndicated sports show hosted by Dan Le Batard is heard in late mornings and ESPN Radio is carried nights and weekends.
KUOA has a daytime power of 5,000 watts. But to protect other stations on AM 1290, it greatly reduces power at night to 31 watts. It uses a non-directional antenna. The transmitter is off West University Street in Siloam Springs, near the Arkansas-Oklahoma border. Programming is also heard on FM translator 95.3 K237GR in Johnson.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe hongera sana kwa Kuoa ila umehakikisha kuwa Boss wako Mmoja mharibifu hadi kwa Wake za Wachezaji hatopita pia na Mkeo huyu Mrembo?

    Uzuri wetu wengine Wachezaji wako ni Marafiki zetu na hawatufichi jambo. Boss hapendi vitu vizuri vizuri vimpitie mbali.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kupatia kuoa ama kuolewa ni mbinu kubwa sana ya kuwa na furaha na mafanikio maishani, tatizo wazazi wengi hawasadii vijana hivyo ni kubahatisha tu

    Kufunga ndoa na mwenza sahihi ni mbinu kubwa ya kufanikiwa kwenye maisha yako. Furaha na amani zitakupa energy kubwa sana ya kutimiza malengo na mafanikio. Jambo hilo muhimu wazazi wengi walezi hawana msaada kwa kijana kwenye kutafuta mwenza sahihi. Ni kijana mwenyewe abahatishe
  3. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Humu tunaandika Uzi wa kutafuta wanawake wa kuoa kwa lengo la dhati kabisa lakini utakuta Uzi wote umejaa wanaume tupu au ndo mmomonyoko wa maadili?

    Tunaandika Uzi humu kwa lengo la kupata wenza wa MAISHA lakini unakuta Uzi wote wamejaa wanaume tupu au ndo wanaume wanaosemaga siyo riziki? Mwanaume huwezi ukasoma Uzi na ukaachana nao? After all mtu anatafuta mke Sasa unajipitisha ili upate nini? Mnakela sana . Nimeandika Uzi wa kutafuta mke...
  4. Zero Competition

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wa kila mwanaume kuoa mwanamke bikra?

    Nimekua nikiona washauri wengi wa masuala ya mahusiano wakitushauri wanaume kuoa wanawake bikra kwa kigezo kwamba ndio wanawake pekee ambao hawawezi chepuka kwenye ndoa zao tofauti na wale ambao wanaingia kwenye ndoa wakati tayari bikra zao zlishatolewa na wanaume wengine. Hao wanaotushauri...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuoa seriously 20-25

    Habar ndugu zangu mimi n kijana mwenye umr wa miaka 29 , mrefu cm 179 mweusi kidogo ni mtumishi wa umma nahtji msichana mkristo, awe na umr kuanzia 20-25, nichek pm
  6. Setfree

    JamiiForums Tanzania Mbinguni hakuna kuoa – kama hujaoa, oa sasa ufurahie maisha!

    Kama hujaoa kwa kufikiri kwamba ukienda mbinguni ndio utapata mke mrembo, sahau kabisa hilo. Mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa. Hayo yamesemwa na Yesu mwenyewe. Kumbuka, Yesu anaheshimiwa sio tu na Wakristo, bali anakubaliwa hata katika maandiko na mitazamo ya dini nyingine duniani. Kwa hiyo...
  7. Dr. Mariposa

    JamiiForums Tanzania Mnaotaka kuoa Zanzibar, Samaki hageuzwi

    Guys ninaandika haraka haraka maana nampepea bwana harusi mtarajiwa amezimia baada ya kukataliwa kuoa binti mzuri wa kizanzibar, Huyu jamaa baada ya kuposa na kulipa mahari yote akapata mualiko maalum wa kuonana na familia ya wakwe zake watarajiwa na kupata chakula cha mchana pamoja...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kuoa Kuna faida Gani?

    Mlioko kwenye ndoa mtuambie faida ya kuoa na wanawake kwanini mnapenda sana muolewe au ndo huwa mnatafuta pa kuponea?????
  9. D

    JamiiForums Tanzania Mitihani ya kuoa mabinti wa 2000

  10. Damaso

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa awe HIV+

    Habari Mimi ni kijana mwenye miaka 30 Sifa zangu: Rangi: Mweusi sio sana Kimo: Mrefu wastani Elimu: Bachelor Degree ya Information Tech Kazi: IT Support (Sekta Binafsi) Mkoa kuzaliwa : Geita Kuishi: Arusha Dini: Mkristo Mwanamke sifa zake 1. Asiwe mfupi sana awe na kimo cha kawaida. 2.Awe...
  11. Hamissi Hamza Jr

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuoa zingatia yafuatayo

    Duniani Hutaambiwa kila kitu ila Ishi Humu itakusaidia 1.Usioe Mwanamke aliewahi Kuwa na Mahusiano na Wanaume zaidi ya wawili 2.Usioe Mwanamke anaetumia Tiktok au Snapchat 3.Usioe Mwanamke Single mother ambae baba wa mtoto wake yuko hai na akikuambia amekufa ukathibitishe Kabisa kwenye kaburi...
  12. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Nashangaa Wale Wanaoshobokea Waarabu — Hivi Mnajua Kwao Hamuoi Wala Hamuolewi? Mnatambua Kwamba Kuoa na Kuolewa Nao ni Kuchafua Koo Zao na Damu Zao?

    Na: Mjumbe wa Nafsi za Watu Katika zama hizi za mchanganyiko wa mitazamo na hamaki za kimatamanio, watu wengi wanajikuta wanashindwa kutofautisha kati ya upendo wa kweli na tamaa ya kimfumo. Kinachonishangaza, tena kunipa mshituko wa kifikra, ni kizazi cha sasa – wasomi, wapendeza, wa...
  13. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Nishakata tamaa na kuoa

    Nime give up kabisa nakuoa na nimekuja kuamini ndoa siyo ya kila mtu aisee yaani kila nikitafuta mke wa kuoa nakosa naambulia hawa wanawake wasioeleweka kabisa Ndoa siyo ya kila mtu aisee yaani nakaribia third floor halafu sioni dalili yoyote ile ya kupata mke kabisa aisee
  14. M

    JamiiForums Tanzania nahitaji mke wa kuoa aliye tayari

    mke awe na umri wa miaka 25 - 33 dini mkristo kazi yoyote asiwe na mtoto awe na upendo wa kwel na hofu ya mungu.... mwenye vigezo karibu pm
  15. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kuoa binti kutoka family friend?

    NAULIZA JE NI SAHIHI MIMI KUOA BINTI KUTOKA KWA FAMILIA YENYE UKARIBU NASI? Wajomba na mamshangazi habari ya Asubuhi, naomba niende moja kwa moja...!! Mimi nimezaliwa na Kuishi Dar ila nina asili ya Mwanza, familia yangu imekuwa na uhusiano mkubwa na familia flani tangu mwaka 2010 yaan...
  16. Knock life

    JamiiForums Tanzania Sina mpango wa kuoa kwa sasa bado nadebedesha." Pawpaw

    " Sina mpango wa kuoa kwa sasa bado nadebedesha." Pawpaw Muigizaji nguli kutoka kiwanda cha Nollywood kule Nigeri Osita Iheme maarufu kama Ukwa au Pawpaw, amesema kua Hana mpango wa kuoa wala kupata watoto. “Nina miaka 43 tayari, sina mpango wa kuoa, nataka tu kuishi maisha yangu na...
  17. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Je kuoa makabila ya mbali kuna punguza magonjwa ya kijenetikia?

    Unajua kwanini ndugu na ndugu hawaoani? Hii si sababu ya kidini tu bali sababu ya kisayansi pia. Kuoa ndugu wa karibu au jamii ya karibu kunasababisha kuendeleza au kuambukizana magonjwa ya kiurithi ambayo yanayembea kwene kabila au ukoo flani
  18. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke(muislam) wa kuoa

    Natafuta mwanamke wa kuoa awe Muislam Awe anajistiri Manhaj salafi Miaka 19-23 Ajue kupika mapishi ya kawaida tu Ambae hajawahi kuchakatwa Umri wangu 25 Kipato kipo Cha kawaida (uhakika) Nyumbani Pwani Asili Kilimanjaro
  19. S

    JamiiForums Tanzania Faida za kuoa mke "kicheche"

    Utangulizi. Hakunaga mwanamke kicheche ambaye siyo mzuri wa umbo, sura na rangi. Ni sifa hizo tatu ndiyo humpa nafasi na fursa ya kuwa kicheche, kwa kuwa anatakwa na kila mwanaume. Faida za mke kicheche. 1. Anakupa tulizo la moyo hata kwa kumuangalia tu umbo lake na sura yake. Muda wote...
  20. Think2

    JamiiForums Tanzania Usijichanganye kuoa ama kuishi na mwanamke kutoka sengerema -Mwanza

    Kama wewe huwajui vzr wanawake wa kisengerema asee usioe nini shida ni hivi Siku mkigombana afu wewe ukatoka jua ukirudi unakuta chumba cheupeeee mweee😁😁 Wanaroga sana wanaume safari za waganga haziishi. Ugomvi kidogo anakimbilia kwao au kwa mwenyekiti utasikia unpigiwa simu baba fulani...
Back
Top Bottom