Baada ya kumgegeda kila nikilala nashtuka, nimekoma

kibovu

JF-Expert Member
Apr 17, 2017
496
500
Igweeeeeeeeeee,

Ndugu zangu kuanzia leo nimeacha kabisa ulevi kunywa beer pamoja na kuchukua wanawake tofauti tofauti.

Ndugu zangu wiki lililopita nilikutana na mwanamke mmoja jijini Dar es salaam tuliwahi kukutana nae kwa mara ya kwanza manispaa ya Kahama kwenye bar inayoitwa The fox bar and greel. Baada ya kukutana nae Kahama tulianzisha mahusiano nae na tukaanza sms za kuchombezana za hapa na pale.

Wakuu wiki lililopita tulikutana bar ya Delux Sinza kijiweni jijini Dar es salaam tulikula beer tukaenda room kwa ajili ya majamboz aiseeee nilimpiga goli moja kwa ndom wakuu msijeniuliza baada ya hapo wakuu nilikuwa kila nikilala nashituka yaani usiku mzima sikulala.

Wakuu hali hiyo huwa inanitokea kwa baazi ya madem yaani nikilala nao nashituka na kesho yake naamka nimechoka sana. Wakuu nilipoamka kesho yake nilisema maneno yafuatayo enough is enough mimi kama starehe nimefanya sana sasa nioe.

Wakuu naombeni baraka zenu.

1621404816000.png
 
kibovu

JF-Expert Member
Apr 17, 2017
496
500
Acha Dhambi bro, starehe za muda zitakupa majuto ya milele, Kama hujaoa fanya uoe Kama una mke tulia. Yesu anarudi soon, kifo hakijawahi kuishiwa hamu. Wokovu ni bure na saa ya wokovu ni sasa
Asante mtumishi
 
TheChoji

JF-Expert Member
Apr 14, 2009
3,211
2,000
Hali hiyo hata mimi huwa inanitokea ...nahisi mademu wa dizaini hiyo huwa washirikina
Sio ushirikina mkuu

Mimi hali hiyo kuna wakati ilikua inanitokea pia. Baada ya kufanya uchunguzi wa kina, nikagundua tatizo ni mazingira ya kufanyia mapenzi/kulala, wala sio ushirikina wala nini. Mfano kama chumba mnacholala hakina HEWA ya kutosha, au kuna JOTO kali, na mmegegedana humo, ukilala huwezi pata usingizi wa maana utakua unaota ndoto za ajabu na kushtukashtuka usiku kucha! Pia uwezekano wa kuamka unaumwa kichwa ni mkubwa.

Ukitaka kuhakikisha nnachosema, next time mchukue demu huyo huyo, halafu nenda nae lodge ya maana, safi na yenye hewa ya kutosha au AC uone utakavyolala kama mtoto baada ya shoo.
 
Hahhahahaha ww jamaaa unataka niendeleee kuwa mzinzi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom