Ukichelewa kuoa unapunguza Muda

Muuza simu used

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
4,393
7,043
Naam! Ukichelewa kuoa unapunguza muda wa maumivu na mateso ya kujitakia bila sababu! Kama ni watoto utawapata kwa single mother!

Nikifikisha miaka 45 ndio nitaanza kujifikiria kama kutakuwa na ulazima wa kuoa ama hapana! Kama waliooa wake zao kila siku wanapishana maghetto ya wajuba mimi ni nani nikimbilie.

Usinunue kitu ambacho unaweza kupata bure.

Pia soma: Kwani lazima kuoana?
 
Wamama zangu na bibi yng walikuw kila siku ndio wimbo wao nioe kwa asira niliwajibu wao toka waume zao wafe mbona hawajaolewa?!ikabid waache kuniuliza hadi wametangulia mbele y haki kwa mpigo
 
Ndoa si rahisi ,ila pia inategemea na bahati yako kwa uliyemuowa.Wanawake huwa wanabadilika badilika lakini disadvantage ya kuwa single baada ya miaka 28 plus ni hatari zaidi. Ila ni muhimu kuowa na kuanzisha familia .Ndoa ni muhimu sana kwa afya ya wanadamu na ni kipimo cha uvumilivu na maelewano kati ya watu wawili.
 
Na ni kipimo cha kupata position kubwa kubwa katika jamii. Kama huna hata familia ya wtt wawili utaweza kuongoza taasisi nyeti kweli?
 
wamama zangu na bibi yng walikuw kila siku ndio wimbo wao nioe kwa asira niliwajibu wao toka waume zao wafe mbona hawajaolewa?!ikabid waache kuniuliza hadi wametangulia mbele y haki kwa mpigo
😀😀😀😀😀
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom