kuoa

KUOA (1290 kHz) is a commercial AM radio station licensed to Siloam Springs, Arkansas. It serves Northwest Arkansas, including Fayetteville and Bentonville. KUOA simulcasts the sports radio format heard on co-owned 99.5 KAKS and is owned by Hog Radio, Inc. The two stations are known as "ESPN Northwest Arkansas." They carry Arkansas-based sports shows in morning drive time and during the afternoon. A nationally syndicated sports show hosted by Dan Le Batard is heard in late mornings and ESPN Radio is carried nights and weekends.
KUOA has a daytime power of 5,000 watts. But to protect other stations on AM 1290, it greatly reduces power at night to 31 watts. It uses a non-directional antenna. The transmitter is off West University Street in Siloam Springs, near the Arkansas-Oklahoma border. Programming is also heard on FM translator 95.3 K237GR in Johnson.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania USHAURI: Sahihi kumaliza changamoto za nyumbani kwenu kabla hujaoa?

    Salaam kwenu wakuu... Rafiki yangu yupo kwenye ajira Serikalini mwaka wa5 sasa hivi. Japo umri wake umesogea lakini anasema hayupo tayari kuoa sasa hivi hadi pale atakapoona familia yake imesimama vizuri kiuchumi. Amenieleza kuwa ana wadogo zake wanamtegemea katika gharama zote za elimu ambapo...
  2. JamiiForums Tanzania Sasa nimeelewa kwa nini inapasa kuoa wake wengi

    Ni ngumu sana kupata mwanamke ambaye. 1. Ana akili 2. Ana rangi nzuri 3. Ana sura nzuri 4. Ana body nzuri 5. Anajiheshimu Nimeshauriwa hapo nioe wanawake tofauti tofauti kama watano au zaidi kulingana na sifa. Unakuta dada mzuri ila hana akili. So huyu nakuwa naye kipindi kile nahitaji tu...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Je, ilikuwa ni dhambi Mfalme Suleiman kuoa Wanawake wengi wakiwamo Masuria 300?

    Kwa mujibu wa Biblia Mfalme Suleiman alipenda sana Wanawake 1 Wafalme 1-25 "Akawa na wake mia saba binti za kifalme, na masuria mia tatu; nao wakeze wakamgeuza moyo" Naomba mtujuze je aliyofanya Suleiman ni dhambi pia according to vitabu vingine ukiachana na Biblia? Namaanisha Biblia...
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuoa

    Habari zenu wakuu? Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza natafuta mke wa kuoa awe serious na maisha umri miaka 24_30 kabila lolote ili mradi awe mtanzania dini sichagui wala rangi sijui sura mimi sichagui. Najua kuna wanawake wangependa kujua kipato changu mimi kwa sasa nabangaiza...
  5. JamiiForums Tanzania Amekubali nizae na Msichana mwingine wakati namsubiri yeye amalize masomo

    Niende moja kwa moja kwenye mada, kuna binti mmoja kwa Kisambaa, natamani japo anizalie katoto, mimi ni kijana sijaoa ila nina mpango wa kuoa apo mbeleni... Lengo langu ni kumuoa huyu binti alieko chuo mwaka wa 2, ila sasa nataka azae kwanza, yeye yuko tiyari kwa masharti mawili, la kwanza...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Handsome namba 1 Kenya, Stivo Simple Boy asema yeye ni Bikra na anataka kupata watoto zaidi ya 30 baada ya kuoa

    As far as we know, Stivo Simple Boy claims he’s still a virgin and would only indulge in intimacy after marrying. At least this is what he states. As a matter of fact, Stivo claims his separation with ex-girlfriend Pritty Vishy was expedited by her demands for intimacy. Despite Stivo being a...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Nina mpango wa kuoa mwishoni mwa mwaka huu ila...

    Nimeweka mikakati yangu ya kutaka kuoa mwaka huu mwezi wa 11 ila tangu nimeweka wazi hili suala wadada wazuri wazuri ndo kama wamefunguliwa machoni mwangu haipiti siku sijakutana na mdada mzuri na nikimsemesha tunaongea vizuri. Mawazo yanaenda kubadilika kabisa hawa wadada sijui walikua wapi...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nina jambo langu, nahitaji mke wa kuoa

    Wapendwa wa Jamii Forums, Nawasalimuni nyote! Kisha napenda kuwashirikisha jambo langu. Sina mambo mengi. Kwanza kabisa, WANAUME wenzangu hii haiwahusu kabisa. Labda kama unamjua mwanamke wa aina hii nayotafuta umwelekeze yeye mwenyewe awasiliane na mimi. Nataka kuoa. Sifa zangu na za huyo...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wengi wanaogopa kuoa wanawake wapambanaji na wanaojielewa?

    Sijui kwanini linapokuja swala la kufunga ndoa wanaume wengi huwa wanaogopa kuoa wanawake wanaojitanbua na wapambanaji. Wanaume wengi wakigundua nature ya mwanamke anaetaka kumuoa ni msomi ana kazi yake nzuri au mwanamke ana biashara zake na ana maisha yake basi linapokuja swala la kuoa huwa...
  10. JamiiForums Tanzania Ninaishi na mke ambae hatujaoana ila tuna watoto na tunaishi vizuri. Ndoa ni sheria ya kijinga inayoweza kunivuruga

    Kwangu naweza kusema ni kama mke maana kwetu wanamjua ma kwao wananijua, ila kuhusu ndoa hapo huwa nalikwepa sana hili jambo, huwa naona vile ndugu, jamaa ma marafiki baadhi yao wanavyoteseka. Kwa sasa tuna watoto wawili moja ana miaka 9 mwengine mitano, tunaishi vizuri tu, tunaheshimiana bila...
  11. JamiiForums Tanzania Sitathubutu kuoa mwanamke mwenye elimu duni

    Nimesikia watu kadhaa wakisema wanawake wasiosoma ndio wazuri, lakini naona kwa karne ya sasa hali inaweza kuwa tofauti. Nimewahi kuwa na wasichana kadhaa, wengi wao ni wale ambao nafanana nao elimu, ila nikajitela kuja kuishi na mwanamke ambaye nimemuacha parefu. Aisee sio kwa balaa hili, kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Unataka kuoa? Usitapeliwe, hii ndio kanuni rasmi ya kukokotoa mahari unayotakiwa kulipa

  13. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu anakaribia kuoa kimyakimya bila wazazi na ndugu zake kujua

    Baada ya wazazi wake kumkataa binti ambaye alikuwa ana mipango ya kumuoa kwa sababu wazazi wanazozijua wenyewe. Jamaa yangu sasa anakaribia kuoa kimya kimya bila wazazi na wala ndugu zake kuwashirikisha wala hawajui chochote kama anaowa na amefanya hivi sababu wazazi wake wamekuwa kikwazo...
  14. JamiiForums Tanzania Mwanaume: Ukiwa mkristo kabla ya kuoa tafakari sana usikurupuke

    Wasalam! Hii habari ni mwendelezo wa matukio yangu halisi. Ni muda sasa kama mwaka tangu nitengane na mke wangu kutokana na swala LA uzinzi ambapo aliamua kuondoka kuishi maisha yake na hawara wake. Muda haukuwa mrefu aliomba kurudi kwangu kienyeji enyeji ila hali swala lilishafika kanisani...
  15. JamiiForums Tanzania Kabla ya kuoa/kuolewa zingatia haya

    VIP
  16. JamiiForums Tanzania Wanaume walio oa Kwa sababu hizi ndio wamepatia kuoa

    Kama umeoa mwanamke Kwa Sababu sijui unampenda Sana, au anakupenda Sana au ni mzuri Sana blah blah blah , wewe ni kichaa. U will be dis appointed big time. Don't marry for love but marry for your personal interests which have nothing to do with love. Kama ukioa for ur personal interests basi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Rasmi sasa nataka kumuoa mpenzi wangu

    Shikamoni wanajamvi. Nilileta uzi kuhusu lile jima.ma langu ambalo limezaliwa India. Sasa nataka nilioe kabisa potelea mbali. Nataka kujua utaratibu kwa ufupi, wa mahari zao na vitu vingine vya msingi ambavyo natakiwa kujua juu ya jamii hii. Ila nilichojifunza huwa hawapendi uongo. Kuhusu...
  18. JamiiForums Tanzania Nikija kuoa sitompiga Mke wangu usiku

    Habari za muda hii wadau wa MMU.!?I hope mko poa.. Kwa kisa nilichokishuhudia siku ya sikukuu ya mwaka mpya mwaka huu nikasema sitokuja kumpiga mke wangu nikifanikiwa kuoa. Ni kama mida ya saa8 usiku nipo road natoka Club kwa miguu mdomdo maeneo ya Kwa Mrombo uku Chuga. Njia nzima Niko alone...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi unaanzaje kuwaza kuoa au kuolewa wakati hujui maana halisi ya ndoa?

    Hi, WanaJF nimeboreka nimekutana na bonge la ufufu, mdada kaniletea kadi ya harusi nikampongeza, ila nikampa swali bwagizi, Best ndio utaolewa je unafahamu maana ya ndoa, naomba majibu nione kama unafuzu ndoa. Katoa majibu mafufu matupu, nikapata fursa tena ya mtarajiwa mwenza nae kaleta...
  20. JamiiForums Tanzania Je, wewe ni mwanamke unayetaka kuolewa ila haufanikiwi? Ijue saikolojia iliyojificha kwa wanaume wanaotaka kuoa

    Kinacho changia wanawake wengi kuwa katika mahusiano bila ndoa ni tofauti iliyopo katika fikra ya mwanaume na mwanamke wanapo ingia katika mahusiano. Mfano mwanamke aingiapo katika mahusiano na mwanaume,mwanamke hufikiri kuwa hiyo ni hatua ya kwanza kuelekea ndoa,kitu ambacho kwa mwanaume...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…