Binafsi, siwezi
Sababu ni moja tu.
Yaani baba wa kambo unalea mtoto , kuna wakati unaonekana mkatili na mwenye makosa pale kunakotokea kutokuelewana.
Lakini yule aliemkimbia akamuachia mzigo anaonekana kuwa sio mkatili na wakati mwingine huwa ana heshimiwa kuliko wewe uliejitoa kubeba mzigo...