kuoa

KUOA (1290 kHz) is a commercial AM radio station licensed to Siloam Springs, Arkansas. It serves Northwest Arkansas, including Fayetteville and Bentonville. KUOA simulcasts the sports radio format heard on co-owned 99.5 KAKS and is owned by Hog Radio, Inc. The two stations are known as "ESPN Northwest Arkansas." They carry Arkansas-based sports shows in morning drive time and during the afternoon. A nationally syndicated sports show hosted by Dan Le Batard is heard in late mornings and ESPN Radio is carried nights and weekends.
KUOA has a daytime power of 5,000 watts. But to protect other stations on AM 1290, it greatly reduces power at night to 31 watts. It uses a non-directional antenna. The transmitter is off West University Street in Siloam Springs, near the Arkansas-Oklahoma border. Programming is also heard on FM translator 95.3 K237GR in Johnson.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    Natafuta Msichana mzuri wa kuoa

    Kwakweli ukiwa hujaoa bado hujakamilika unakuwa upo nusu, duniani kuna jinsia mbili kwa maksudi kabisa, na ili maisha yaende yalivyopaswa ni lazima mwanaume aungane na mwanamke wawe kitu kimoja. sote tumeumbwa ili kutengemeana, ni kama ilivyokua ngumu kuvaa kiatu mguu moja huku mwingine upo...
  2. instinct desire

    Nahitaji mwanamke wa kuoa njoo inbox Moja kwa Moja awe Dodoma na viunga vyake

    Husika na kichwa cha habari hapo juu nahitaji mke awe na umri kuanzia 35+ njoo inbox
  3. M

    Mzungu yupo mbele ya muda, maisha aliyoishi tutayakuta mbeleni, suala la watoto na wajukuu zetu kuoa single mothers halikwepeki

    Sikuhizi kumekuwa na ongezeko kubwa sana la single moms, tena sio ile ya zamani tuliyozoea ya mtoto moja, hii version mpya unamkuta binti ana 24 tayari ana watoto watatu. Kufikia 2040 hii rate ya single moms inaweza kuwa juu mno Wazazi na kina babu wa watoto zetu wa kiume, kwanza kabisa...
  4. Tundusami

    Ukitaka kuoa ,oa mwanamke mwalimu

    Wanawake walimu hawatumiki sana.
  5. Dogoli kinyamkela

    Unaweza kuoa mama mwenye mtoto wa mwaka mmoja, halafu miaka 20 baadaye mtoto anakuambia: "Wewe si baba yangu" 🙄😏😏.Mnaotaka kuoa singo maza

    Unaweza kuoa mama mwenye mtoto wa mwaka mmoja, halafu miaka 20 baadaye mtoto anakuambia: "Wewe si baba yangu" 🙄😏😏. Mnaotaka kuoa singo maza kaujumbe hakoo Japo siyo wote ....
  6. Robert Heriel Mtibeli

    Ongeza Testosterone zako kwaajili ya nguvu na mamlaka ya uanaume wako

    ONGEZA TESTOSTERONE ZAKO KWAAJILI YA NGUVU NA MAMLAKA YA UANAUME WAKO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Kadiri testosterone zako zinavyoshuka ndivyo nguvu na mamlaka yako inavyodondoka chini. 2. Kutojiamini kunaongezeka. Mwanaume mwenye testosterone ndogo(zilizochini Sana) hata kiwango...
  7. M

    Siri ya mafanikio ya wakatoliki hawajioni bora, hawaoni makanisa mengine kama watu wa nje, hawaingilii maisha ya ndoa, wamewekeza kwenye elimu, n.k.

    Wana baadhi ya mapungufu yao sio wakamilifu sehemu zote lakini wamejitahidi kwenye hivi vitu Hawana mtu wa ndani wala wa nje, ukienda kwao huna haja ya kutambulishwa umejiunga, kwamba fulani hebu simama watu wote kanisani wakuone umejiunga. Hawajioni bora kuzidi wengine, makanisa mengine...
  8. K

    Ushawahi kuoa au kuolewa kimasihala??

    Ilikuwaje mpaka ikatokea ukaingia kwenye ndoa bila kukusudia. Wana jei efu mkuye hapa mtuelezee kidogo😅😅😅😅
  9. R

    Faris Buruhani: Bila amani na utulivu hakuna kuoa wala kuolewa

    Wakuu mpoooo!!!! Huyu inatakiwa VAR imulike bongo lake labda kuna chenga chenga 😂 😂 😂 Wanaovuruga amani ni hao wanaong'ang'ania madaraka kiuhalifu ------------- Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Kagera, Faris Buruhani, amewataka wananchi wa mkoa huo...
  10. Bei rahisi Electronicks

    Je, ni mambo gani ya kuzingatia wakati wa kuoa ?

    Habari ndugu zangu Mimi ni kijana wa miaka 24 naelekea 25 Nina kipato changu kizuri naitaji kuoa Huku Jamii Forum Kuna wasomi na watu makini Je, ni vitu gani vya kuzingatia kwa mwanamke wakatiwa kuoa nisije kukusoea Ndoa yangu Inshallah Mwezi wa 5
  11. Mr Beach Boy

    Nahisi kichefuchefu na uchafu kuoa mwanamke asie na bikra. Ntakuwa wa mwisho kuamini bikra haina maana kwenye ndoa

    Mbaya zaidi hujui ameshaliwa na wangapi kwa style karibia zote.. Hujui ametoa mimba mara ngapi Hujui watu waliopita nae Alafu aje kuniletea watoto alafu niwapende Siwezi Mtu ana makovu ya kusalitiwa alafu nije kumpa relief aaah neverrrrrr Kwa jinsi nilivyojitunza na uvulana wangu nahisi...
  12. Bawabu wa pili

    Baada ya kuoa, maisha yaliendeleaje mwanangu?

    Usijali huu uzi nitaufuta we nambie tu ulivyooa maisha yaliendeleaje? Huenda ukaniponya mwanangu, ilikuaje baada ya hapo, nasubiri comment yako!
  13. RaiaMbishi

    Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

    Binafsi nimekuzwa na kulelewa na mzazi mmoja ambaye ni mama, sijawahi pata hata mapenzi ya baba nilipokuwa mwana. Kulea mtoto binafsi bila msaada wowote ilikua ngumu sana kwa mzazi wangu lakini alijifunga shuka kiunoni na kutosalimu amri ya uvivu. Kwakweli malezi ya mzazi mmoja pekee yana...
  14. SSH2025_2030

    Viongozi wengi kuoa Uchagani. Kuna nini huko?

    Toka Uhuru viongozi wengi wameoa wenza wao toka Uchagani. 1. Dr. Mwigulu Nchemba, MP, PhD. 2. Dr Salmin Amour, 3. Fredrik Sumaye, 4. January Makamba, 5. Jumaa Awesso, MP 6. Nehemiah Mchechu, 7. Dr Faustine Ndugulile, 8. Daniel Silo, MP 9. Lawrence Mafuru, 10. Prof Kitila Mkumbo, MP, PhD. 11...
  15. stakehigh

    Mwanamke sahihi wa kuoa: mapenzi yenu 10%, Malezi 80%, zinazobaki ni utimamu wa akili

    Ushauri huu nilipewa na rafiki yangu ambae ni mtu wa india wakati bado tupo vijana, mwanamke sahihi wa kuoa sio yule unaempenda sana, lakini mapenzi lazima yawepo angalau kwa asilimia kumi, ukiangalia katika nchi ambazo zina ndoa nyingi zinadumu sana basi india ndo inaongoza duniani, japokua kwa...
  16. Saad30

    Acha kukurupuka kuoa Dogo langu

    Habari madogo mnaotaka kuoa. Ikiwa wewe kijana bado unajitafuta na Maisha kamwe usifikirie swala la kuoa kabisa. Hakikisha upo Sawa kiuchumi angalau yaani swala la pesa ya kila siku na mahitaji muhimu hayakusumbui. Shirikisha wazee wa karibu binti unayetaka kumuoa yaani wazee sio ndugu zako...
  17. Tlaatlaah

    Kushiriki mapenzi ya kinyume na maumbile ni kosa kwa mujibu wa sheria

    Kushiriki mapenzi kinyume na maumbile ni pamoja na kutumia via visivyo vya uzazi kufanya mapenzi, kwa mfano kutumia sehemu ya haja kubwa kufanya ngono, kutumia midomo, vidole n.k Kasi ya uovu huo inatisha kote nchini. Imefikia mahali imekua kama fashion. Usipofanya huo uchafu mnapokua faragha...
  18. Think2

    Ni ushauri gani mzuri wa kumpatia kijana anaetamani kuoa

    Eti tunaomba ushauri sisi vijana ambao hatujaoa
  19. M

    Oa kulingana na mazingira: Vijana wengi waliowaleta mabinti wa vijijini waishi nao DAR wamejifunza kwa uchungu

    Kuna watu huwa wanachukua risk kubwa sana 😂 Binti kisu haswaa unamtoa huko kijijini unamleta town DSM,
Back
Top Bottom