kununua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sababu gani hupelekea watu kununua vitu vya watu maarufu waliokufa kwa pesa nyingi?

    Ndugu WanaJF, Habari za muda huu twende kwenye mada Moja kwa Moja. Nimeona mara kadhaa vitu vilivyokuwa vinamilikiwa/ kutumiwa na watu maarufu kuuzwa Kwa pesa nyingi na kimsingi sio kwamba vitu hivyo ni ghari hapana bali ni vitu vya kawaida sana mfano nimeona kofia ya Michael Jackson...
  2. T

    Ijue KADCO, kampuni hewa iliyokuwa ikiendesha uwanja wa ndege wa Kilimanjaro International Airport

    ๐—ฅ๐—˜๐—ฉ๐—˜๐—”๐—Ÿ๐—˜๐——: ๐—›๐—ผ๐˜„ ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—ด๐—ป๐—ฒ๐—ฑ ๐—ฎ ๐—ฐ๐—ฟ๐—ฎ๐˜‡๐˜† ๐—ฑ๐—ฒ๐—ฎ๐—น ๐˜„๐—ถ๐˜๐—ต ๐—ฎ ๐—บ๐˜†๐˜€๐˜๐—ฒ๐—ฟ๐˜† ๐—ฐ๐—ผ๐—บ๐—ฝ๐—ฎ๐—ป๐˜† ๐˜๐—ผ ๐—ผ๐—ฝ๐—ฒ๐—ฟ๐—ฎ๐˜๐—ฒ ๐˜๐—ต๐—ฒ ๐—ฐ๐—ผ๐˜‚๐—ป๐˜๐—ฟ๐˜†'๐˜€ ๐—บ๐—ฎ๐—ถ๐—ป ๐˜๐—ผ๐˜‚๐—ฟ๐—ถ๐˜€๐˜ ๐—ฎ๐—ถ๐—ฟ๐—ฝ๐—ผ๐—ฟ๐˜ The government announced today that Kilimanjaro International Airport (KIA) will finally be handed over to the state-run Tanzania Airports Authority (TAA) tomorrow, but the real...
  3. Tuache unafiki, karibu kila Mtanzania kawahi kwenda kwa mganga ama kununua dawa zao ila wengi tunafanya kwa siri

    Kama hukuwahi kwenda unaeza ukajikuta unaenda siku moja aisee, Matatizo yakikupata unahaha mpaka unakufuru ili upate nafuu ukashawishika kwenda kwa mtaalam, wengine ndio mwanzo wa kupeleka kila shida kwa mganga ila wengine wakijionea sanaa zao huwarudi tena. Kuna wataalam wa kweli lakini wengi...
  4. Nimeenda dukani kununua sindano ya mkono usiku huu wakanikatalia na kunitilia shaka

    Aisee, dunia inakwenda kasi sana siku hizi. Nimehitaji kubadili laini X kwenye simu yangu ili nipachike laini yenye bando kwa ajili ya kuwatembelea wale ndugu zetu wale. Kwa bahati mbaya nimekosa kinyofoleo cha laini. Nimesaka nyumba nzima kutafuta pini au sindano pasi na mafanikio. Nikaona...
  5. Nigeria: Wabunge wagoma kununua magari yaliyotengenezwa nchini humo

    Wabunge nchini Nigeria wanatarajia kutumia zaidi ya 38m$ ambapo kila mmoja Kati ya wabunge 466 atatumia zaidi ya 400m za kitanzania kuagiza gari aina ya Toyota SUV Pendekezo la kununua magari ambayo ni home made lilitupiliwa mbali na wabunge hao wakidai hayaendani na hali ya barabara nchini...
  6. Bunge la Nigeria lakataa kuidhinisha Bajeti ya Tsh. Bilioni 6 kununua 'Boti' ya Rais

    Wabunge hao wamesema Bunge haliwezi kuidhinisha kiasi hicho cha Fedha kwasababu ni matumizi mbaya ya Kodi za Wananchi hasa kwa kipindi ambacho Nchi inakabiliwa na mdororo mkubwa wa Uchumi. Serikali ya Rais Bola Tinubu imeanza kukumbana na changamoto tangu kuingia kwake madarakani ambapo mwezi...
  7. Serikali Kununua Vipuri na Vyuma Katika Kiwanda cha Kilimanjaro Machine Tools

    SERIKALI KUNUNUA VIPURI NA VYUMA KATIKA KIWANDA CHA KILIMANJARO MACHINE TOOLS Serikali kupitia Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) imekifanyia ukarabati mkubwa Kiwanda cha Kilimanjaro Machine Tools (KMTC) ikiwa ni pamoja na kujenga tanuri la kuyeyushia chuma (Foundry), ukarabati wa miundombinu...
  8. E

    Uganda sasa kununua mafuta moja kwa moja

    Hawa jamaa twende nao mdogomdogo, kwa maanuzi haya tuimarishe bandari tu hili wese likipita tanzania uchumi umepanda https://www.monitor.co.ug/uganda/news/national/oil-deal-govt-meets-fuel-dealers-today-4417754
  9. Jamii yashauriwa kuacha tabia ya kumeza dawa bila kupima, hali hiyo inatengeneza usugu

    Dkt. Medard Beyanga Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii, Dkt. Medard Beyanga ameshauri jamii kuwa na kawaida ya kufanya vipimo kuanzia katika hatua za awali za ugonjwa na kuacha kujichukulia maamuzi ya kwenda kununua dawa bila kuwa na utaalam wa daktari. Amesema jambo la kwanza la...
  10. F

    Gharama za viwanja Tabata - Chang'ombe zikoje

    Mimi ni mgeni jiji la Dar es salaam nimetokea Mwanza nimehamia Dar es salaam kikazi sasa nimefika kwa rafiki yangu Tabata Chang'ombe na nimetokewa kuvutiwa sana na mazingira ya hapa ningependa ushirikiano wenu wakuu kujua bei zake za viwanja Tabata ili nipate uzoefu. Shukrani
  11. Nataka kununua mlima, taratibu zikoje?

    Ndugu wasomaji wa JF, Kuna uwekezaji mmoja mkubwa naamini unaoweza kuleta manufaa makubwa siyo tu kwangu binafsi lakini pia kwa taifa kwa ujumla. Sitaeleza sana wazo lenyewe kwa sababu zinazoeleweka ila niseme tu ni uwekezaji unaohitajika kufanyikia mlimani. Swali langu, taratibu za kununua na...
  12. NFRA lipeni fedha za mahindi ya wakulima ili waanze maandalizi ya kununua pembejeo

    Tunaishukuru sana Serikali kwa uamuzi wa kununua Mahindi ya Wakulima kwa Bei elekezi ya KG 1 Tsh 860. Hata hivyo tangu Wakulima wapekele Mahindi yao bado hawajalipwa Fedha zao hali inayosababisha kuleta ugumu wa kufanta maandalizi ya Kilimo kwa msimu huu wa Masika ambao kwa mikoa ya Nyanda za...
  13. Fidia ya Tsh. Bilioni 75 iliyolipwa na Serikali kwa Winshear Gold Corp ingeweza kununua Mashine 83 za CT-Scan

    Serikali kupitia kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali imethibitisha kuilipa kampuni ya Winshear Gold fidia ya Tsh. Bilioni 75 baada ya kukamilika kwa mazungumzo ya kumaliza Mggoro nje ya Mahakama. Chanzo cha mgogoro huo ni uamuzi wa Serikali wa mwaka 2017 kuifutia kampuni hiyo leseni ya uendeshaji...
  14. Usalama wa Kununua Vitu Mtandaoni (Online Trade Assurance) Tanzania

    Habari wanajamvi, Natumaini wote tunaendelea vizuri. Moja kwa moja kwenye mada... Nimekuwa mdau wa kununua vitu mtandaoni kwa muda mrefu. Imenilazimu sana kumtuma mtu endapo nafanya biashara na "mgeni" nisiyemfahamu. Kwa mfano, mwaka jana nilinunua laptop kwa mdau mmoja Mwenge, DSM. Ilinibidi...
  15. S

    Kununua bonds Canada au United States

    Fuatia kichwa cha habari hapo juu, nataka kujua kuna uwezekano Mtanzania aiishie hapa TZ anaweza kununua bonds za nchi kama Canada au United States? Kama kuna mtu mwenye ufahamu, naomba atujuze nasi tuwekeze kwa wenzetu wageni wanavyowekeza katika nyanja mbalimbali hapa kwetu.
  16. Huku ni kukosa dira ya kiuchumi na kuweweseka kimaono. Unanunua dege la bil 200 unaacha kununua magari zimamoto

    Magari ya zimamoto kwa maisha ya mtanzania ni muhimu kuliko dege ambalo raia wa kawaida hawawezi kumudu hata tikiti ya laki tatu na ushee. Hii midege ina return gani ya kiuchumi kwq wananchi wa kawaida? Kwa nini kusinunuliwe gari za kisasa za zimamoto? Au ikibidi Helkopta ya kisasa ya kuzimia...
  17. Jinsi ya kununua iphone 15 pro max

    Greetings wana Jamii forum, Your Financial Advisor is here again, Naonda iphone 15 pro max imetoka. mtaani watu hawakai kwa amani mabinti wanasumbua na pia ppo want to get it chap chap, but quick question is Can u afford it. i will make an assumption that it cost 5,000,000 per 1 piece. inawez...
  18. Kupika au kununua kwa mamantilie

    Wakuu wasalaam. Moja kwa moja kwenye mada. Ikiwa unaishi mwenyewe ghetto, ipi nafuu kati ya kujipikia mwenyewe au kununua chakula kwa mama~ntilie/ mgahawani. Ukizingatia muhusika na mwanachuo ambaye bado kiuchumi anajitafuta. Nawasilisha
  19. D

    Baadhi ya hospitali na zahanati huwa zinawanyima majibu ya vipimo wagonjwa wanaoshindwa kununua dawa kwao

    Serikali kupitia Wizara ya Afya na TAMISEMI komesheni hii tabia kwenye baadhi ya hospitali na zahanati zinazowanyima majibu wale wagonjwa wanaofika kupima katika hospitali zao! Wagonjwa hulipia gharama za vipimo kama kawaida, lakini inapofika hatua ya kupatiwa majibu nakala huwa hawapewi...
  20. K

    Rais Samia kaniponza! Ilibaki kidogo niache unga

    Samia kaniponza! Ilibaki kidogo niache unga. Leo baada ya kutoka church niliamua kwenda sokoni kununua mahitaji ya home, nikiwa sokoni katika story za hapa na pale wamama wauza nyanya wakaanza kulalamika ugumu wa maisha na kumtupia lawama Samia. " Yaani kila kitu anapeleka kwao Zanzibar,na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ