Faisal Karim Kundi (Urdu: فیصل کریم کنڈی) is a Pakistani politician who served as the 17th Deputy Speaker of the National Assembly of Pakistan from 2008 to 2013.
Faisal Karim Kundi hails from a known political family of Khyber Pakhtunkhwa. He started his political career in 2003 and served PPP as Divisional Coordinator D.I.Khan Division.
Born in 1975 in Dera Ismail Khan and graduated from UK. He had an intrinsic inclination towards politics and was groomed by Late Benazir Bhutto during her stay in London. He contested election from NA-24 on PPP ticket in General Election of February 2008 and was elected as the 17th Deputy Speaker of the National Assembly of Pakistan on Wednesday March 19, 2008. He secured 246 votes out of 318 polled.
He has the honour of being the youngest (33 years old) Deputy Speaker from amongst so far elected Deputy Speakers.
Kundi la kigaidi la PKK, ambalo limehusika na mapigano ya zaidi ya miongo minne na kuwaua zaidi ya watu 40,000, limetangaza kuwa limevunjwa na kuweka silaha chini
Chama cha Wafanyakazi wa Kurdistan (PKK) kimetangaza Mei 12 kufutwa kwake na kumalizika kwa zaidi ya miongo minne ya mapambano ya...
Vyanzo vya habari vya SA vimeonyesha kundi la kwanza la Makaburu wanaotarajia kuanza maisha yao mapya Marekani.
Mtakumbuka miezi michache kumekuwepo na mvutano kati ya serikali ya Marekani na South Africa. Moja ya mivutano ni Trump kuilaumu serikali ya Afrika Kusini kuwanyanyasa Makaburu. Hii...
Kwa wale ambao hatukuogopa umande unamkumba Bwana Carl Marx? Yaani leo nimemkumbuka huyu jama alikuwa geneous. Makundi yenyewe matano na mifano hai ni kama ifuatavyo:
1. Lumpenproletariat
Hili ni tabaka la chini kabisa, halina kazi ya kudumu, mara nyingi linaishi kwa shughuli haramu au zisizo...
Polisi kiuhalisia kazi ya kubwa ni "ku - mantain law and legal orders" ambayo imewekwa ktk lugha rahisi ya "kulinda usalama wa raia na mali zao..."
Katika ku - maintain law and orders, moja ya jukumu lao la kwanza kabisa ni kuzuia uhalifu usitokee kwa kudhibiti visababishi....
Ikitokea kuna...
NASIKILIZA KIONGOZI MMOJA
TU.EKUBALIANA M NIBAKI NDNA YA PFISI NIWAPE UPDATE NA XXXX AMEKIMBILIA SEHWMU FLAN AKITOA TAARIFA
USHAURI TU TUSIWATUMIE WANANCHI VIBAYA M NATAMAN KUSIKIA KUNDI KUBWA LA WANAOLALA.IKA KUUMIA WAWE N VIONGOZI WA NRNE
MPAKA SASA SIJAJSIKIA KIONGOZI ALIEKUFS WANATANGAZA...
Tunaelekea wapi kama wanaume?
Kuna kundi la wanaume ambao kwa namna ya kushangaza wamezoea kuishi ndani ya unyonge—unyonge wa kutokuwa na hata shilingi mfukoni. Hali ni mbaya kiasi kwamba hata mtu ambaye humjui binafsi, ukimuangalia tu unajisikia kero. Kwa nini? Kwa sababu umaskini wake...
Kila siku mnasema kundi lenu linawakilisha watia nia wa udiwani na ubunge. Mbona sijasikia mkisema mna mtia nia ngazi Urais!?
Naona kama hizi bidii zenu ni kubwa sana kama vile zinachagizwa zaidi na Mgombea Urais kuliko hao watia nia wa Udiwani na Ubunge mnaowataja Kila siku.
Jee G55 kundi...
Wapo Radio vipindi vyenu kuanzia saa moja na robo ausubuhi hutangazwa na kundi la watanazaji watau, hawa watangazaji hupenda kutumia muda mwingi wakichekacheks!
Badala ya kutangaza kinachotakiwa kwani kitendo hiki hutupotezea muda wa kusikiliza tunachokitaka.
Pamoja na kuchekacheka hili...
Naandika andiko hili nikiwa na uchungu sana na hili jambo.Awali hili kundi lilianza kimasihara tu kama vijana wanaojihusisha na uchezaji wa kamari wao kwa wao.Pengine baada ya kuona malengo yao hayafanikiwa wakabadili mtindo wa utafutaji wakaingia kwenye biashara ya kuuza dhahabu feki.Hili...
Watu wengi wanaposajili Kampuni hua Wana stack kutafuta leseni sababu wanakua hawajui ni leseni gani hasa wanatakiwa kua nayo.
Kwenye Thread hii nimekuandikia list ya Industries ambazo zinatakiwa kua na leseni Kundi A.
1. Importation industry
Kama Kampuni yako inajihusisha na mambo ya...
Hili kundi ndio lilikua na timu mbovu kupitiliza lakini hapa yanga ndio alikuwa mbovu kuliko wote alifungiwa hapa hapa kwao.....Tp mazembe out...Mc Alger out....yanga out na Al hilal ibenge ngungu yanga out...Hslafu bado wanasema ....rank zimetoka msije sema hamjapewa taarifa kila mmoja akague...
Yanga s.c alipangwa kundi moja na Al hilal Omdurman, MC Algers na TP Mazembe ambapo Al hilal aliongoza kundi huko MC Algers akishika nafasi ya pili, Yanga na TP Mazembe walikusanya vilago na kila mmoja kurudi kwao.
Kwenye hatua ya robo fainali Al hilal ambaye ni top of the group kapigwa nje...
Kuna aina tatu za Viongozi wa kisiasa Barani Afrika, ikiwemo Tanzania.
1. #KUNDI_UKOMBOZI: Aina ya kwanza ni viongozi watetezi wa nchi, ambapo kwenye kundi hili ndipo utawakuta watetezi wa rasilimali za kiuchumi za nchi, utawakuta watetezi wa utawala wa demokrasia, utawakuta watetezi wa haki na...
Chadema, inahitaji kuponywa, tokea uchaguzi wake kumpata Mwenyekiti wake, mpaka sasa, kuna majeraha bado, ni kazi ya uongozi sasa kuwakutanisha uongozi uliopita ili kuteta na kuondoa tofauti zilizopo
Siamini ninachokiona ndani ya Chadema, Ifahamike, sina ufahamu wala uhakika juu ya niliyetaja...
Naiona ona sana mijadala hii me nashindwa kujidiscribe kiukweli....nisaidieni on my behalf me napenda kukaa ndani (nmepanga self) mambo yooote namalizia ndani nikitoka nje kutafta vya kupika tu😂 km Nina vitu vya week bc sitoki ndani iyo week yote
Sina rafiki biashara zangu nazikagua mwisho wa...
Mhalifu wa kivita aliyepatikana na hatia nchini Uganda ametangaza vuguvugu jipya la waasi lililo na nia ya kuiangusha serikali katika jimbo la Ituri mashariki mwa Kongo, na kusababisha tishio jingine la usalama katika eneo hilo lililokumbwa na vita.
Kuundwa kwa kundi la Azimio la Mapinduzi...
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amelionya kundi la Hamas kuwa litayapoteza maeneo ya Ukanda wa Gaza iwapo litaendelea kuwashikilia mateka wa Israel badala ya kuwaachia huru. Mamtashi ya Netanyahu yanafuatia yale ya waziri wa ulinzi wa ulinzi, Israel Katz aliyetoa onyo kama hilo siku...
Tofauti kidogo na leseni Kundi B Uombaji wa leseni Kundi A unahitaji taarifa nyingi zaidi.
Kwenye Thread hii nimekuandikia Taarifa zinazohitajika wakati wa kuomba leseni Kundi A.
1. Taarifa Za Directors
Hapa utatakiwa uwe na taarifa zote za directors wa Kampuni husika, NIDA namba, tarehe za...
Kundi kubwa liloshindwa kabla ya ushindani limeteleza kwenye Upotoshaji wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa ndani ya Jimbo Moshi mjini....
Kundi Hilo limeathirika kwa kushindwa kujinadi nini watafanya na kwanini aliyekupo hajamaliza mnampiga vita na kutusi na kukejeli KAZI za kutekelezwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.