kundi

Faisal Karim Kundi (Urdu: فیصل کریم کنڈی‎) is a Pakistani politician who served as the 17th Deputy Speaker of the National Assembly of Pakistan from 2008 to 2013.
Faisal Karim Kundi hails from a known political family of Khyber Pakhtunkhwa. He started his political career in 2003 and served PPP as Divisional Coordinator D.I.Khan Division.
Born in 1975 in Dera Ismail Khan and graduated from UK. He had an intrinsic inclination towards politics and was groomed by Late Benazir Bhutto during her stay in London. He contested election from NA-24 on PPP ticket in General Election of February 2008 and was elected as the 17th Deputy Speaker of the National Assembly of Pakistan on Wednesday March 19, 2008. He secured 246 votes out of 318 polled.
He has the honour of being the youngest (33 years old) Deputy Speaker from amongst so far elected Deputy Speakers.

View More On Wikipedia.org
  1. I

    Kundi la Kigaidi la IRGC laanza kupoteza nguvu na ushawishi.

    https://www.instagram.com/p/DWBl55OjFgp/?igsh=aXUxcTRuMHFkZDdj
  2. P h a r a o h

    Kama wanawake wanataka kuwa sawa na wanaume kwanini wamewekwa kwenye kundi maalumu?

    Kwenye sheria nyingi za kimataifa kundi maalum linatajwa kuwa Wanawake, Watoto, Wazee na watu wenye ulemavu. wakati huohuo wanawake wa dunia ya sasa wanadai 50/50 NATURE HAIJAMUUMBA MWANAMKE KUWA SAWA NA MWANAUME. ingawa dunia ya sasa inaelekeza nguvu kubwa ili kum push mwanamke, je kwanini...
  3. B

    'El Mencho' auawa huko Mexico. Ni bosi wa cartel aliyekuwa kiongozi wa kundi la wahalifu maarufu

    22 February 2026 Jalisco, Mexico Baada ya kutumia miaka mingi kukwepa mamlaka duniani kote, kiongozi mwenye nguvu wa genge la wahalifu wa Mexico aliuawa wakati wa operesheni ya kijeshi, maafisa wa Mexico walitangaza Jumapili, Februari 22. 2026 https://m.youtube.com/watch?v=FBCVF2cG9c0 Nemesio...
  4. appoh

    Wanawake watakiwa kujiunga na kundi la tff

    Kuna video inasambaa mtandaon ikimuonesha kamanda wa mkuu wa kike wa tff ikiwataka wanawake kujiunga kwa wingi katika kund hilo ili kupigana kwa kile wanachokidai kulipigania taifa kwa kutumia silaha Nawaza tu kund hili likishirikiana na alshabab au isis tu itakuaje??
  5. Sigonella Island

    Magaidi kutoka Nchi 22 walijiunga na kundi la Wanamgambo wa Israel -IDF

    🔥🔥🔥🔥Taarifa ya Siri iliyofichuliwa huko Uingereza inataja zaidi ya Nchi 22 duniani zilituma magaidi kwenda Israel kwa ajili ya kuua watoto wa dogo na wanawake wasiokuwa na silaha huko GAZA Palestine. Ripoti hiyo inataja marekani ndio Nchini iliyopeleka Magaidi Wengi zaidi kujiunga na kundi la...
  6. M

    Lugola: Machawa kundi hatari, wanajificha mafisadi na wabadhirifu

    Kangi Lugola adai kundi la machawa tushio kwa mipango ya Rais Samia kuwaacha Watanzania na Tabasamu Mbunge wa Mwibara Kangi Lugola ametoa maneno mazito Bungeni akidai kuna kundi la machawa ambalo litaenda kumkwamisha mipango ya Rais Dkt . Samia ya kuwaacha Watanzania na tabasamu baada ya muda...
  7. Uhuru24

    Wengi wanaomlaumu kocha wa SENEGAL ni kundi liloweka mikeka(BETTING )na kumpa mwarabu

    Nimetuliza kichwa na kufuatilia mijadala kila kona hasa hapa bongo,naona kuna kundi la asilimia fulani humlaumu kocha kwa kitendo cha kutaka/kutoa timu uwanjani. Ila kwa utafiti wangu kidogo nimegundua wengi waliweka mikeka na kumpa mwarabu,hivyo baada ya mazonge ya mchezo basi wao shutuma zao...
  8. DuaZaMama

    Barua iliyowasilishwa Ubalozi wa Vatican na kundi la 'Wakatoliki' imevuja

    Zaidi ya waumini 100 wa Kanisa Katoliki wamekabidhi Ubalozi wa Vatican nchini Tanzania barua rasmi ya malalamiko kwa Papa dhidi ya Askofu Mkuu wa Dar es Salaam, Jude Thaddeus Ruwa’ichi, na Katibu Mkuu wa TEC, Padri Dkt. Charles Kitima. Kwa Padri Kitima, waumini wanadai amejihusisha na siasa kwa...
  9. ELI COHEN

    JF MIND GAMES: Hii ni picha ya nini.?

    Tafadhari usitumie AI, chekecha bongo
  10. C

    Baada ya nchi kutulia itabidi Habib Mchange na kundi lake watueleze hii project ya kuliingiza taifa kwenye chuki za udini amepewa na nani

    Maana hii ni project na inaratibiwa kwa makusudi kabisa sasa inabidi tujue nani muasisi na mdhamini na lengo ninini?
  11. stakehigh

    Utajiri unamaanisha nini kwa kila kundi la watu

    Kwa watu wengi, utajiri ni kufanya kazi kwa bidii, kutunza pesa na kuwekeza kila utakapoona kuna fursa! Bahati mbaya hapa ndo mwanzo wa tatizo, Ili kuelewa chanzo cha utajiri swali la msingi ni! UTAJIRI NI NINI HASWA: Kwa wengi utajiri ni kua na pesa nyingi, mafanikio katika nyanja nyingi za...
  12. Pakome

    Ipo siku Watanzania watampuuza Mange Kimambi pamoja na wenzie na makundi yao yote baada ya kutaabika kwa muda mrefu

    Siku yaja hivi karibuni Watanzania watawapuuza walioungana na makundi ya Mange Kimambi pamoja na wenzie na makundi mengine yote ya kihuni baada ya kutaabika kwa muda mrefu Taabu hizo zitatokana na adhabu kali za Serikali kwa makundi hayo ya kihuni kwasababu ya makosa ya uvunjifu wa Katiba na...
  13. R

    Kuna kundi linasubiri Ubwabwa

    Ukiwapa Ubwabwa, umewa win by 100%
  14. M

    PostGE2025 Kuna kundi ndani ya Serikali linamuharibia Samia ili achukiwe na wananchi

    NImeshidwa kuamini lakini ndiyo ukweli ulivyo kuna kundi linaromuharibia mama ili achukiwe na wanainchi na tayali limefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana, lengo lao atoke madarakani iwe kwa hiari yake au kwa kuondolewa Hawa siyo vyama vya upinzani bali ni CCM wenyewe,hata haya mauaji yamefanywa kwa...
  15. R

    In science kuna kitu kinaitwa confirmatory test. BBC, CNN and the like zinaangukia katika kundi hilo

    CNN, BBC, ALJAZERA and the like ni confirmatory test for the authenticity of the news. CNN akisema basi mchezo umeisha! Rome has spoken; the cause is finished” or in Latin ” Roma locuta; causa finita est
  16. M

    Ni wakati wa Dunia kuanza kulitambua Jeshi la Polisi Tanzania kama Kundi la Kigaidi

    NI wakati wa kupaza Sauti dunia nzima kuwa Tanzania sio Salama kwa wageni na Wenyeji, Ni wakati wa kusema Tanzania tuna State sponsored terrorist organization. Makundi ya kigaidi huteka, huua. Kwa taarifa zilizopo Tangu October 29 Watu waliotekwa na Waliouliwa na Kundi hili ni kubwa kuliko...
  17. October 2pm

    Kuna kundi muhimu limetuunga mkono. Itakuwa surprise siku hiyo

    Mayi! Achana na ICC. Wao waendelee kutafuta vikao na kupiga simu huko kimataifa ili wamalize kidipolomasia. Wamesahau jambo moja lipo kundi moja muhimu ambalo hilo tayari lishakuwa upande wetu. Hiyo tarehe tunaenda kuwagea suprise walahi hawataamini. Nawaambia siye tupo karibu nao. Twasema...
  18. Mshana Jr

    Kufubaza wapinzani, wakosoaji na wanaharakati Tanganyika kumeibua kundi hatari zaidi

    Maono mafupi kimo cha mbilikimo ni jambo hatari sana.. Maono ya kuona mwisho wa macho yako ambayo ni sawa na sekunde 15 mbele! Hakuna mmea hatari majini kama gugumaji.. Kuliangamiza hili gugu hakuhitaji nguvu bali akili kubwa muda na uwekezaji wa kueleweka.. Maana unapoliona limechomoza juu jua...
  19. Hance Mtanashati

    Kuna kundi kubwa la Watanzania hawajielewi, naona wameanza kuwashobokea wasanii tena

    Yani kuna watu kukaza hawawezi yani yapo yapo tu kama mafala. Ndio maana wasanii wanajiona miungu watu maana mmezidi kuwashobokea . Kuna kampeni ilipita tena ilienda vizuri na ikaanza kuonesha muitikio chanya , kampeni hiyo ilihusu kwanza kuwa unfollow wasanii na machawa wote wa CCM , kuto...
Back
Top Bottom