kunani

Kunani (Persian: كوناني‎, also Romanized as Kūnānī and Konānī) is a city in and capital of Kunani District, in Kuhdasht County, Lorestan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 15000, in 3000 families.

View More On Wikipedia.org
  1. Joannah

    KERO Dawasco kunani?, sisi wakazi wa Mbezi-Goba tunaishi kama tupo kwenye jangwa la Sahara

    Hivi hili shirika DAWASA vipi?Waziri mwenye dhamana ya maji uko wapi? Inakuwaje wakazi wa Mbezi-Goba tunaishi kama tupo jangwa la Sahara? Miezi ya nyuma mlisema kina cha maji kwenye vyanzo vya maji kimepungua, sasa na masika hii bado tu maji hayatoki wiki ya tatu mna maana gani? Huko kwenye...
  2. Q

    Naibu Mwendesha Mashtaka wa ICC akutana na Thabit Kombo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania

    Hatujui Kombo kapewa taarifa gani, lkn yumkini itakuwa ni kuhusiana na mauaji ya 29/10 na kesi iliyofunguliwa ICC. Waliokuwa wanasema hakuna kesi iliyofunguliwa ICC na kudhani mambo yataisha, business as usual wafikirie upya. ========== On the margins of the #AUSummit in Addis Ababa, #ICC...
  3. The Tomorrow People

    Visiwani Kunani?

    1. Makamu wa Rais Dr. Nchimbi yupo Unguja ana zuunguka kuwajulia hali wastaafu. 2. Mzee wa Msoga yupo Pemba anafungua jengo la zimamoto. 3. Nadhani Rais naye bado ofisi ndogo ya Ikulu Tungu. Anyway ngoja niagize Pop corn nifuatilie kwa ukaribu hizi ziara 😃
  4. Trimmer

    Musoma kunani?

    Nimepata taarifa ya kutokea kwa vurugu na rabsha za hapa na pale huko ukweni, ningependa kupata abc hapa JF maana nimejaribu kuperuzi huku na kule sijapata dondoo zozote kuhusu hili wakuu,, Nawasilisha,,
  5. scientificall

    HODI TANGA YA MAZIWA NA ASALI

    Nimekuja kumalizia likizo yangu jiji la upendo na ukarimu kwa wageni hapa. Please wapi naweza pata kampani ya sex tofauti namaanisha pisi kali tule maisha sina kipengele just for enjoyment. Wenye ramani ya machimbo nielekezeni nkatembee na kujionea yasemwayo. Nipo tanga mjini
  6. S

    Mzee Warioba sikumuona wakati wa kulivunja bunge na leo wakati wa kulizindua bunge. Kunani?

    Za ndani kabisa, zinasema sura ya mzee Warioba na ile ya mama hazisomani, hivyo mzee kapigwa detention. Ndiyo maana mzee huyu haonekani katika shughuli na hafla zote za serikali. Tarehe 9 .12 tukamboe huyu mzee wetu.
  7. Beira Boy

    Tarehe 17 kunani kwani, naona Giza siku hiyo

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Giza kubwa sana siku hiyo SAYUNI BOY
  8. Mshana Jr

    Number 5 kunani?

    Ni njia ya kuwatoa wadanganyika kwenye reli ama? Je ni namna ya kuepusha mijadala HOT ama kuna ihalisia? Kwenye vipindi kama hivi.. Timu maalum za kueneza uzushi kiufundi sana huwa active sana.. Na sometimes malipo yake huwa mazuri sana! Je ni wangapi ambao DOB na DOD hufanana ama hukaribiana...
  9. N

    Kwanini Kawe hakuna stendi?

    KAWE KUTOKUWA NA STENDI RASMI YA DALADALA: NANI ALAUMIWE NA NINI KIFANYIKE? Kawe ni moja ya maeneo yanayokua kwa kasi katika Jiji la Dar es Salaam. Watu wengi wanaishi, kufanyia kazi au kupita katika eneo hili kila siku. Pamoja na ukuaji huo wa haraka wa mji, Kawe bado haina stendi rasmi ya...
  10. Mzalendo Uchwara

    Kunani ongezeko la magari yanye ngao (bullbar) barabarani, zinaruhusiwa na wengine tufunge?

    Kwa kumbukumbu zangu magari yenye ngao yalipigwa marufuku kwa sababu ya usalama wa watumiaji wengine wa barabara. Hii ilisaidia kidogo madereva kuwa makini, hata kama una gari kubwa ilikuwa lazima uwe na nidhamu, ukigonga wenzako basi ujue fedha ya taa na bampa zinakuhusu. Sasa hivi kila basi...
  11. The redemeer

    Kunani kila tajiri anapeleka bus ruti ya Tanga. Au Tanga vigagula vyenu vilikufa, New force ndani ya Tanga

    Zamani ruti ya Tanga ilikuwa ngumu kama ilivyo ruti ya Dar kusini kama si mzaliwa wa huko utoboi. Alianza Abood, anakuja Shabiby na sasa New force nae anapeleka chuma Tanga Dar Tanga. Hizi ruti za mabus zamani ilikuwa kama we ni WA kaskazini ni huko huko ukienda ruti ya Dar Tunduma wakinga na...
  12. Jacobus

    Radio za Dar hazisikiki Tabora. Kunani?

    Ilianza Wasafi FM 94.5 tokea mwaka jana, ikaja East Africa Radio 105.2 hii yapata kama mwezi hivi, imefuatiwa na Clouds FM 88.0 na E FM 93.7 hizi ni wiki hii na inayokatakata kwa sasa ni Radio Maria 93.7. Radio Free Africa ya Mwanza 90.0 yenyewe mvua ikinyesha tu inapotea, sijui mtambo wake...
  13. gcmmedia

    Kwanini vifurushi vya Internet vinaisha haraka

    Naomba mnisaidie, kwa miezi kadhaa kabisa nikinunua kifurushi cha mwezi cha internet kinaisha hata wiki hainaisha wakati Natuma jioni tu Tena kwa Kiasi kidogo kwani mchana huwa ni atumia WiFi ya ofisini. Vipi nyie wenzangu?
  14. Librarian 105

    Ongezeko la bidhaa chini ya viwango mtaani, TBS kunani?

    Nitaangazia upande wa chuma pekee: hardware nyingi sana huku Arusha zinauza nondo na bidhaa nyingi za chuma ambazo hazina ubora na kiwango. Pia hazina urefu wa futi 17-17.5 kama zamani. Hii hali imenipa mashaka makubwa juu ya matokeo ya baadae ya tasnia ya ufundi na ujenzi wa uhakika mitaani...
  15. Arch Barrel

    Kunani Tarura kuhusu Malipo ya Makandarasi

    Habari za asubuhi wakuu. Huu ni mwezi 3, Makandarasi wengi hawajalipwa hela zao, kibaya zaidi wamekaa kimya na hawatoi taarifa yoyote kwa makandarasi, mbaya zaidi kesho ndio mwisho wa mwaka baada ya hapo waatafunga mifumo yao ya malipo, lakn bado wanaendelea kuhimiza makandarasi wafanye kazi...
  16. Shammy-

    DJ D Ommy kuondoka Clouds Media Group (CMG) kunani?

    Habari za wakati huu Wana JF, ni takribani wiki tatu Toka mkuu Wa maudhui clouds media group ndugu Sebastiani alivokuja na urithi Wa marehemu captain gadner G Habash na kutangaza warithi Wa jahazi. Miongoni mwa warithi alowatangaza ni: ✓George bantu ✓Hamisi mandi ✓Adam mchomvu ✓Bigchawa ✓Dj d...
  17. Ncha Kali

    DOKEZO Responded Kunani PSSSF? Watumishi wanakatwa lakini michango yao haifiki kwenye mfuko

    Ndugu zangu! Katika hali ya kusikitisha na kustaajabisha, kumekuwa na vilio vingi sana kwa watumishi wanufaika wa mfuko huo pendwa. Watumishi wanachama wa mfuko huo wanasema kuwa, ni miezi sasa 'statement' inaonesha kuwa michango yao haijafika PSSSF licha ya kuwa 'salary slips' kusoma kuwa...
  18. Trubarg

    Mfumo wa online wa loss report kunani?

    Habari wadau. Mfumo wa loss report wa online ulibuniwa ili kuweza kusaidia wananchi kupata huduma kwa haraka. Mfumo huu kwa sasa umeingiliwa sijui na mdudu gani, unaweza pata control number ukalipia lakini ukitumia same control number kutafuta loss report yako inskuambuia hakuna record. Sasa hii...
  19. GoldDhahabu

    Kunani "beria" ya Kihomoka mkoani Kigoma?

    Mojawapo ni jina lake sahihi: Kihomoka, Kiyomoka, Kyomoka, Kiomoka, n.k. Wenyeji wa Kakonko waliomo humu watarekebisha. Ni kizuizi cha kukagulia magari. Kipo Kakonko mkoani Kigoma, ikiwa ni kizuizi cha kwanza mara tu baada ya kuvuka daraja la mto Muyovozi (sijui kama ndivyo inavyoandikwa)...
  20. M

    Mbona Govt salary zinaingia zimepigwa panga bila maelezo ya kutosha kunani jamani

    Last month nilikuta 15,000/= haipo Today 123,000/= nimevuta statement inaonesha ni salary na kuna jamaa yangu kakutana na hiyo hiyo shida kuna nini?
Back
Top Bottom