Baada ya kuingia mitamboni kusaka habari kuhusu yule bwana alie zikwa na mkewe nyuma ya nyumba.
Walikua wanatatizo la kuto pata mtoto kwa muda mrefu.
Huyo dada inawezekana alimuwekea dawa ya KIENYEJI MUMEWE kwa kesi hiyo ili wapate mtoto.
Inawezekana huyo dada hakujua kama hiyo dawa ni sumu...
Masoud Pezeshkian ni Rais wa Iran aliyechaguliwa kwa kura nyingi za Wairani wakitarajia labda kutokana na misimamo yake ambayo haichagizwi na allah na pia mafundisho (hadith) ya Muhammad anaweza leta unafuu ktk kujiamulia maisha yao kwa Uhuru. Pezeshkian aliongezewa ktk orodha ya wagombea urais...
Kwanza nianze kwakusema hakuna anayefurahia mauaji yanayotokea kwa raia wasio na hatia pande zote mbili Iran na Israel,kwakuwa wao ni victim tu au wahanga tu
Twende kazi.....
Mzee wa hovyo Trump alidhani kwamba kutokana na uzoefu ambao unafahamika siku zote,kwamba ukimuondoa kiongozi...
Mtu mwenye moyo wenye nyama lazima uwe na maumivu kiasi cha kutokuwa na ushirikiano na wauaji waliomchukua mtu uliyekuwa unatembea nae masa 24 na kufanya harakati.
Kwa nini uende kwenye ufunguzi wa siku ya sheria nchini? Unasimama na kuhutubia bila kutaja habari za Mdude Nyagali.
Jeshi la Nigeria lilitangaza kuwa limefanikiwa kumuua kamanda muhimu wa kundi la kigaidi la Kiislamu, Boko Haram, katika operesheni ya usiku iliyofanyika jimbo la Borno.
Abu Khalid alikuwa miongoni mwa viongozi wakuu wa Boko Haram, kundi linaloendesha shughuli zake zaidi kaskazini mwa Nigeria...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Mawazo Msangawale, Miaka 24, Mkazi wa Mlowo Wilayani Mbozi Mkoa wa Songwe kwa tuhuma ya mauaji ya kijana wa miaka 18 aitwaye Juveni Baraka Mwambugi aliyekuwa Mkazi wa Isoko Wilayani Chunya Mkoa wa Mbeya.
Kamanda wa Polisi
Awali, Januari 9, 2026 saa 2...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Marry Timotheo, Mkazi wa Garijembe Mbeya kwa tuhuma za mauaji ya Mtoto wake aitwaye Scola Athanas Mwaba [10] aliyekuwa Mwanafunzi wa Darasa la Nne katika Shule ya Msingi Ngonde.
Tukio hilo limetokea Disemba 09, 2025 saa 6:30 mchana katika Kijiji cha...
Je mutaweza kutuua watanzania milioni 50+?
Sasa mbona hata hio ni ujumbe tosha hata wapiga kura wasiende kupiga kura..
Huu ni uchaguzi ama vita
Free Polepole
Free Heche
Free Mdude
Shyrose alitekwa siku ya Jumamosi na watu wasiojulikana na wakaanza kumpigia Baba yake simu kumuomba Pesa ili wamuachie huru huku wakimtumia Video fupi wakimuonesha wanavyomtesa.
Baada ya kupata Video hizo Baba Mzazi Dkt. Mabula Mahande alituma kiasi kidogo cha pesa ili Mwanae asiumizwe lakini...
Jumla ya watuhumiwa saba wamekamatwa na Jeshi la Polisi mkoani Iringa kwa kuhusishwa na mauaji ya kijana aliyedaiwa kuiba parachichi. Jeshi la Polisi limesema watuhumiwa hao wanashikiliwa kwa mahojiano na mara baada ya taratibu kukamilika watafikishwa mahakamani kujibu tuhuma za mauaji...
Inasemekana silaha iliotumika imekutwa na chata ya Antifa na trasgender (wanaobadirisha viungo vya ngono na kulazimisha atambulike jinsia mpya)
Antifa ni kundi la mrengo wa kushoto ambalo itikadi yake ni kupinga misimamo ya mrengo wa kulia. Ni mtandao unaotumia machafuko kufikisha hoja zao...
Maskini. Wala hakuwa na silaha au kundi la kusema anatishia maisha kiongozi yeyote. Tunamuua kwa sababu za kipuuzi kabisa. Na kunywa damu yake ili kusafisha nyota zetu.
Mwangalie hapa anatabasamu.
Hii imetokea Kenya Count ndogo ya Awendo.Majirani zetu watani zetu na ndugu zetu mnaojinasibisha mnajua sana kingereza kuliko sisi mnakwama wapi.
Issue kama hii huwezi ikuta Tanzania
Kugombea ugali
Count ya Awendo ukitoka Isebania unafika Migoro Awendo iko mbele yake.
Source Mwananchi Agost 28...
Jana Alhamisi, tarehe 28 Agosti 2025, katika Kituo cha Jeshi la Anga cha Radom kilichopo Warsaw, Poland, ndege ya kivita ya kimarekani aina ya F-16 ya Jeshi la Anga la Poland, ilipata ajali mbaya wakati wa mazoezi ya maonesho ya anga.
Rubani alijaribu mbinu ya barrel roll — yaani mzunguko wa...
Kwa jinsi mahakama ya kisutu kwenye kesi ya Lissu inavyoendeshwa ni kwamba inaendeshwa kwa maelekezo ya serikali ya CCM.
CCM huko nyuma walipanga kumuua kwa risasi 16 ila Lissu akapona. Sasa naona wamejipanga kumuua kwa kupitia mahakama. Kuna kila dalili maamuzi yameshapangwa ni mahakimu na...
Maaskofu wa Kanisa Katoliki ambao Katibu wa Baraza la Maaskofu na waumini wao, wataipa CCM kura?
Kanisa Katoliki ndo Baba Mlezi wa Imani zote za Kikristo. Si moja kwa moja, ila by implication! Kwa kifupi, Wakristo madhehebu mengi yametoka Kanisa Katoliki. Sisi Wakristo ni familia moja
Maaskofu...
GTs,
Kuna methali ya Kiswahili isemayo: “Marehemu hasemwi.” Kwa mtazamo wa utamaduni wetu wa Kiafrika na hususan wa Kitanzania, msemo huu una uzito mkubwa. Kumsema vibaya marehemu ni zaidi ya dharau—ni ishara inayoweza kufasiriwa kuwa ulihusika au ulishiriki katika kifo chake.
Tangu kufariki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.