Sijasema hapa udini nasemea walipotokea maana tuangalie walipotokea hata kama wamezaliwa mikoa mingine ila asili zao.
Hakuna mkoa hatari kama Kigoma wenye watu wengi wenye roho za chuki na kwanini.
Sio wote ila ule mkoa kiukweli kama kila mikoa ina sifa yake kwa mkoa ule naelewa vizuri maana...
Kwanza niombe radhi Kwa mashabiki na Wanachama wenzangu wa Yanga, ambao tumekuwa tukivutana kuhusu kiwango cha Dube
Me ni shabiki mvumilivu mno
Dube havumiliki
Ni mchezaji wa kawaida mno
Dube hawezi kutusaidia mechi ya Ahly, FAR Rabat n. K
Kwa striker huyu tumekwisha wakuu
Ijumaa Kareem!
Mkeo alishaongea alichoongea. Kiwe ni kweli au sio kweli hiyo sio ishu. Waliombeza walishambeza. Hukuwa na sababu ya kutoka juu kwa juu na kuanza kushambulia watu hovyohovyo kama mwanaume asiyejielewa, mwanaume usiyejua nini cha kufanya.
Ulichofanya ni utoto, uvulana au mara...
Makamu Mwenyekiti wa UWT
adaiwa kutoa maelekezo wasimamizi wa Uchaguzi kuhusu Mtoto wake Wardat Nassir Ali anayegombea Uwakilishi Jimbo la Kiembesamaki Zanzibar ili aweze kupata ushindi.
Pia ameonekana akigawa rushwa hadharani kwa wajumbe wa mkutano huo nje ya ukumbi wa mkutano, na wajumbe...
Mungu hatetewi mnanishangaza mnaosema mungu ni muweza wa yote alafu bado mnasimama kumtetea.
Kuna hawa sijui wanatetea uislam, sijui wanamtetea allah, kuna hawa sijui wanatetea ukristo sijui wanamtetea yesu. alafu hapo hapo wanakwambia mungu wetu sisi ni muweza wa yote.
Mungu hayupo hivyo...
Ni kama vile serikali ya Marekani inamilikiwa na Israel. Inawezekana vipi akasema Tulsi ( mkuu wa intelligence) haujui kitu basda ya kuulizwa kua report ya march 2025 inaonesha Iran hana nuclear weapon?
Inamana anaamini Netanyahu yuko sahihi lakini vyombo vya usalama vya Marekani haviko...
Tunadhalilika duniani
Tunadhalilika mitandaoni
Tunadhalilika Afrika
Tunadhalilika ndani ya jumuiya ya Afrika mashariki mashariki
Hakuna haja ya kurudia chanzo cha haya yote.. Haisaidii tena.. Maana maji yameshamwagika.. Tukitaka kuzoa tutazoa tope
Kazi hiyo ya udhalilishaji inafanywa na...
Angalieni, Kama ni Wizi kufanyika, Report ya CAG imejiweka wazi yenyeweee!!.
Ila hatujawahi sikia Serikali imechukua Hatua yoyote Kwa Wahusika.
Sasa angalia Maajabu, Majuzi hapa, Mbunge Mrisho Gambo, Kwa "Takwimu na shahidi" aliwekwa wazi namna gan Ujenzi wa jengo la utawala Arusha ,Kuna...
Mwaka wa nne leo tunapo kumbuka siku ile tunaarifiwa kufariki kwake.
Tunashukuru tupo salama kama taifa japo mambo madogo madogo yasio sawa yanatupa usumbufu lakini hatuna budi kushukuri kwani ilikua ni kipindi kigumu sana ambacho kwa wengine wahawakuvuka salama.
Miaka hii minne yaliibuka...
Huenda bila ya Mbowe kujua chochote Tundu Lissu tayari anaiongoza CHADEMA kama mwenyekiti mpya Kiroho (spiritually)
Kitendo Cha Viongozi mbalimbali wa CHADEMA kutoka hadharani na kumkemea Mbowe waziwazi kinaashiria tayari Mbowe si kiongozi tena Kwenye Ulimwengu wa roho(hapa watu wa Kiroho tu...
Liwalo na liwe this is too Much!Nikiri mimi ni Shabiki wa Lissu lakini anapoelekea hapana,kama anahama CHADEMA ahame tu namtakia Safari njema asituharibie Taasisi,sisi tutabaki Mashabiki wa CHADEMA hadi mwisho.
Hakuna asiyefahamu Mchango wa Mbowe kwenye Siasa za Upinzani Tanzania kama yupo...
Ni ngumu sana kumtetea Magufuli kwa mdomo mtupu.
Mambo yaliyoendelea katika utawala wake dhidi ya haki ya kutoa maoni, dhidi ya haki ya kuishi na kufikia hatua ya kudhuru wengine, ni dhahiri ilikuwa katika harakati za kujitetea.
Magufuli mwenyewe alijitahidi kujitetea kwa mdomo akashindwa...
Mimi nilikuwa na mkubali sana jpm kwa 90% katika utendaji wake wote na hata kifo chake kinaniuma hadi leo.
Mimi sio mtu wa siasa za hapa Tz Maana naona kabisa hii nchi hakuna chama cha upinzani kilicho serious.
Siku mbili hizi Tangu kitabu cha kabendera kiachiwe naona jpm kafukuliwa huko aliko...
Aisee kumtetea huyu mmiliki wa CHADEMA ni kazi ngumu sana. Haina tofauti na kuwatetea single maza na polisi.
Igizo lake alilofanya leo lina makosa mengi sana ya kiufundi kiasi kwamba wapinzani wake wamepata nafasi ya kumdhihaki.
Nawatupia lawama timu yake yote kwa kushindwa kuweka jambo la leo...
KUNDI la Viana la TK Movement linalofadhiliwa na kulipwa mshahara na Mheshimiwa Huseni Bashe kwa ajili ya kujipanga na mambo ya 2025 (kumzunguka Samia) mbona mko kimya kumsaidia kujibu tuhuma zinazomkabili za kashfa ya kutoa vibali vya sukari kwa kampuni za steshenari na kuuza simu za itel...
Kama Wewe Mjomba Mtu uliweza Kutusaliti mwaka 1993 kiasi kwamba hadi Profesa Sarungi kila akikuona tu anakuita Azim Msaliti leo hii unapata wapi huu Uhalali wa Kutuasa wana Simba SC tumpe Ushirikiano na tumuamini Msaliti Mtoto Mohammed Dewji ambaye ni Mpwa wako.
GENTAMYCINE nikiwa na Ushahidi...
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Ndugu. Jokate Mwegelo amesema kuwa Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kipindi cha miaka 3 ya Uongozi wake kwakuwa amefanya makubwa katika sekta mbalimbali za Afya, Elimu, Miundombinu, Maji...
Nimeona kwenye mitandao ya kijamii kuhusu suala la Dickson Job kuacha kuitwa timu ya Taifa na kauli iliyotolewa na Kocha . Nimeona jinsi watu wanavyoporomosha matusi . Ninaamini ni mashabiki wa Yanga. NAWAAMBIA ACHENI UJINGA WENU. MAPENZI YENU YASIINGILIE HESHIMA NA MAAMUZI YA KOCHA
Ni Messi tena....
Lionel Messi ashinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa FIFA 2023
Staa wa Argentina na Klabu ya Inter Miami, Lionel Messi ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa FIFA 2023 kwa Wanaume akimshinda Erling Haaland aliyeshika nafasi ya pili katika Tuzo hizo zinazoandaliwa na Shirikisho la Soka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.