Good morning wapendwa,,,
Naombeni msaada wa kisheria katika Hili. Kuna mtu nimekutana nae na kufahamiana nae. Elimu yake ni ngazi ya diploma(uhasibu) lakini ufaulu wake KIDATO Cha nne ni daraja la nne pointi 28.
Matokeo haya yanajumuisha "F" ya hesabu. Pamoja na matokeo hayo, Bado hawezi...