kumsaidia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania Je, Hezbolah yuko wapi kumsaidia Boss wake Iran?

    Tumeona kwamba Syria alipovamiwa basi hezbolah hawakusita kuingia vitani kumsaidia swahiba wao Assad. vivo hivo Hamas walipoanza kupokea kichapo Hezbolah nao hawakubaki nyuma walianza kufyatua makombora kuendelea miji ya Israel wakisema kwamba hadi Israel atakapoacha kushambulia palestina na wao...
  2. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kama ambavyo Mrusi na Mchina wameshindwa kumsaidia Mu-Iran, Vivo hivo hawataisaidia CCM baada ya Marekan na Ulaya Kutoutambua Uchaguzi 2025

    CCM endeleeni kushupaza Shingo !! Mtaelewa tu hapo Baadae !!.
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania Gwajima akitumia mafuta ya kutoa mapepo yanayotengenezwa na Sheikh Mwaipopo, yanaweza kumsaidia kutoa mapepo yanayomsumbua

    Nashauri watu walio karibu na Gwajima wamshauri amuone Sheikh Mwaipopo amsaidie dawa ya kuondoa mapepo. Sheikh huyu anauza mafuta ambayo yanasaidia kuondoa mashaitwani. Nina imani yanaweza msaidia Gwajima kwa tatizo hilo
  4. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Karma is Real na ipo Kweli. Everything Happens for a Reason. Wasaidizi wa Rais Samia mna wajibu wa kumsaidia Rais na Serikali yake Kuepuka Bad Karma!

    Wanabodi leo asubuhi nimesoma post ya mwana jf huyu,Josephat Gwajima ni mtumishi wa Yesu Kristo. Nguvu na uwezo wa Kristo umo ndani yake, ndiyo maana polisi awakumkamata nikaguswa!na kuamua kuzungumzia tena hiki kitu kinachoitwa karma。Karma ni what goes around,comes around!The Power of Karma-...
  5. TheGreatest Of AllTime

    JamiiForums Tanzania Rai yangu kwa vijana mliojipata vizuri, tengeneza mazingira ya kuja kumuinua mwanao kwa kumuajiri wewe mwenyewe au kumsaidia mtaji au asset ajiajiri

    Ukweli ni kuwa hakuna mkombozi wa kijana katika huu ukata. Atapigika sana akiendelea kusubiria resume yake ipitishwe. Itakuwa haina maana miaka hio utakuwa una hudumia baby mamas wawili huku mwingine umemfungulia kibanda cha M-PESA lakini kijana wako anatembea na bahasha na kuzunguka kwa kila...
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Nitumie njia gani kumsaidia Mtoto wangu ambaye ni mzito kidogo kuelewa Shuleni (Slow learner)?

    Mtoto wangu sio Mjinga ila ana changamoto tu ya kuwa 'Slow' kwenye kuelewa Masomo yake jambo ambalo kidogo linaleta changamoto kwenye Ufaulu wake na kwasasa inamfanya ajisikie vibaya pia kwani anajiona kuwa tofauti na wenzake Msaada nifanyeje hapa jamani ili kumsaidia mwanangu (yupo Shule ya...
  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Wito: Watu Wenye Uwezo, Tujitokeze Tujitolee Kumsaidia TAL na Kuisaidia Chadema to Play Real Politics, No Reforms No Election ni Utopian Politics!.

    Wanabodi Nimemsikiliza TAL kwenye kipindi cha dakika 45 cha ITV kuhusu falsafa yake ya No Reforms No Election. https://www.youtube.com/live/u5PkOqrHdZI?si=Mtma0U4QBfJ8TJ6x Japo hakuna ubishi kuhusu umahiri wa TAL kama mwanasheria, mwanasiasa, mbunge, mnadhimu mkuu wa upinzani, M/Mwenyekiti wa...
  8. kavulata

    JamiiForums Tanzania Yanga kumjibu Jemedari ni kumsaidia matibabu yake.

    Katika fani ya magonjwa ya akili yapo magonjwa kama vile msongo wa mawazo (stresses) na sonona (depression) ambayo tiba yake kuu ni kutoa ya moyoni hadharani au kwa mtu unaemwamini. Tiba hii kitaalam inaitwa "mental ventilation" au mental catharsis. Unapokuwa unaongoza watu hakikisha kuwa...
  9. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria wa Okrah sasa kumsaidia Baleke kuidai Yanga hela zake FIFA

    “Kuna tatizo gani kwa klabu kubwa kama Yanga kila msimu lazima kuwe na wachezaji au makocha wanaoidai klabu hiyo? Inaelekea mahali fulani katika klabu hiyo hajapakaa sawa. “Mchezaji mwenye nidhamu, utiifu wa hali ya juu kama Jean Baleke leo hii anaonekana hana thamani. Yanga wanamsumbua kumpa...
  10. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Sababu zenye kufanya mwenza wako anakutafuta akiwa na matatizo tu kisha anakuacha ghafla baada ya kumsaidia

    SABABU ZENYE KUFANYA MWENZA WAKO ANAKUTAFUTA AKIWA NA MATATIZO TU KISHA ANAKUACHA GHAFLA BAADA YA KUMSAIDIA Kwanini unapata mwenza ambaye anakukumbuka akiwa na matatizo tu yaani labda anahitaji msaada wa kifedha,anahitaji faraja baada ya kupitia huzuni, majonzi, upweke uliopitiliza ni kwamba...
  11. Miss Natafuta

    JamiiForums Tanzania Kusaidia watu wasiokusaidia

    Hivi ulishawai kukutokea unakuta Una huruma flani ukiwa nacho Una support wengine .ila siku wewe ukikwama hakuna WA kukusaidia? Ila ya Mungu mengi unapita kwenye hiyo shida ukipata tena bado unasaidia wala hukomi? Mungu anifanyie Tu wepesi mwenzenu niombeeni jamani
  12. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Mbowe na wapambe wake tuambieni kiasi gani mbowe alitumia kumsaidia Tundu Lissu tumlipe

    Eeeh tusichoshane kwa mijadala isiyo na afya ooh Lisu hana adabu katumia sana pesa ya Mbowe haya sasa nguvu ya umma tunamtaka Lissu nyie timu mbowe leteni gharama alizotumia boss wenu tumrudishie
  13. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Lissu alimwambia Abdul endapo angefanikisha kumsaidia kupata pesa angekuwa rafiki yake. Hajafanikiwa, anachafua kila mtu

    Haya ni maneno ya Tundu Lissu “nilimwambia Abdul anisaidie kupata malipo yangu na nikampa documents,angefanikiwa angekuwa rafiki yangu” Huyu ndio wafuasi wake wanasema ni mkweli kanyooka anachukia utawala wa CCM. Mtu aliyenyooka na anaejua utaratibu anaalika mtoto wa rais nyumbani kwake...
  14. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, Tundu Lissu atawashinda kijani wanaovaa magwanda? Ni kipi tunaweza shauri au fanya wapenda mabadiliko kumsaidia?

    Kuna wavaa magwanda wa miaka mingi sana lakini ndani ni wa kijani na wanafanya kazi kwa faida ya kijani Je kijani halisi na kijana wavaa magwanda wataruhusu TL awe Mwenyekiti? Je tumshauri au nini tunaweza fanya nini wapenda mabadiliko?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nilishindwa kumsaidia mlevi nikidhani ni jambazi

    Nilikuwa bado mgeni Wiliya flani mwaka 2022 mkoa x huko kaskazini. Nilipanga mitaa flani pembeni mwa mji, kumetulia karibu na kijito flani cha mchongo kilikuwa kinatiririsha maji na pembeni wagagaa na upwa walikuwa wanatafuta wali nyama kwa kujishughuliaha na kilimo cha mbogamboga. Baada ya...
  16. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kumsaidia Nikki Mbishi?

    Kijana Niki Mbishi anayejiusisha na shughuli za kurap amekuwa sio mtu mwenye muenendo mzuri. Amejaa jazba, malalamiko, shari, migogoro, umbeya na upotevu wa nuru. Watu wanasema ni sababu ya shughuli zake za kurap hazijawai kumletea manufaa ya kuweza kujikimu kimaisha hivyo amejaa msongo wa...
  17. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Kuwa mkweli, ukikuta mwanamke ananyanyaswa mtandaoni utaingilia kumsaidia?

    Katika ulimwengu wa sasa, wanawake wanazidi kutumia mtandao kuonyesha vipaji vyao, kushiriki mawazo yao, na kuunganisha na jamii. Lakini pamoja na hayo, unyanyasaji mtandaoni umekuwa tatizo kubwa linalowazuia wanawake wengi kujieleza kwa uhuru. Je, unafikiria nini unapoona mwanamke...
  18. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Usisite kumsaidia mtu anayeomba umnunulie chakula

    Habari za kutwa wana JF Natambua hali ya maisha ni ngumu kwa ujumla, matapeli ni wengi mno, wengine wanajifanya wagonjwa ili tu wapate msaada, nk, Lakini ukikutana na mtu hakuombi pesa ila anakwambia ana njaa anaomba umnunulie chakula na ukimwangalia kwa jicho la kawaida anamaanisha...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Inauma sana unapoombwa pesa au msaada unapambana kumsaidia mtu, ukimpa hakujulishi kapata, anakwambia alishasaidiwa, atautumia siku nyingine, n.k

    Mtu anakuja kwako anaonesha shida imembana anakuomba umsaidie iwe ni pesa, nguvu zako, connection zako, n.k. Yawezekana haupo vizuri kifedha inabidi ukope, umebanwa na ratiba lakini unazivuruga kwajili yake, connection unazo lakini hadi zinyenyekewe kwa kujishusha, n.k. unaamua kujitoa umsaidie...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo yangu wajumbe wanaofaa kumsaidia Mo Dewji kwenye Bodi ili kurejesha heshima yake iliyopotea

    Wa kwanza niteue mimi, nimeanza kushabikia, kushangilia na kuwa member wa Simba tangu mwaka 1989.Simba inamfunga Yanga bao 2 kwa 1 kwa bao la marehemu John Makelele zigzag huku beki Fred Felix Minziro Majeshi Baba Kataraia akimzaba makofi niko uwanjani, Simba anakosa ubingwa vs Stella niko...
Back
Top Bottom