Katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la watoto wa kike hususan wanafunzi wa shule za msingi na sekondari kunyanyaswa kingoni ikiwa ni pamoja na Kuingiliwa kimwili (KUBAKWA) hadi kupelekea kukatisha masomo yao kutokana na kubeba Mimba na kuathirika kisaikolojia jambo ambalo...
SERIKALI YAJA NA MPANGO MKAKATI WA KUMLINDA MKULIMA WA KOROSHO NCHINI.
Serikali kwa kushirikiana na Sekta binafsi imeendelea na jitihada za kuimarisha bei ya korosho nchini kwa kufufua viwanda vya kubangua korosho pamoja na kuanzisha viwanda vipya sambamba na kuanzisha kongani la viwanda...
Wananchi wa Kaliua - Kazaroho Wala Kiapo cha Kumlinda Rais Samia Mbele ya DC ChuaChua
Mkuu wa Wilaya ya Kaliua Mhe. Dkt. Rashid ChuaChua amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amepeleka Shilingi Milioni 446 kwa ajili ya ujenzi wa mradi wa Maji wa...
Raila na genge lake wana bahati mimi na vijana wangu hatukuweza kufika kabla ya maandamano kwasababu imetubidi twende Marekani Kwanza kumsaidia Trump asikamatwe.
Ila baada ya ishu ya Trump kuimaliza tunashuka Nairobi. Ole wake Raila na genge lake waitishe tena fujo tutatembeza mkong'oto wa aina...
Nimekuwa nikimsikia Bashe akijipata kuwa anawatetea wakulima wauze wanavyotaka kwani kilimo ni biashara.
Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa naomba unitajie angalau majina ya wakulima 10 wwaliofanikiwa kuuza mchele sh 3,500 kwa kilo ili tuwafahamu twende tukajifunze kwao walivyotajirika kwa kilimo.
Taarifa muhimu kuhusu Mradi wa JNHPP zimeshindwa kuwekwa wazi licha ya kutambua kuwa Mradi huu ni wa watanzania na wala sio mali binafsi ya familia ya 'Watu wazuri hawafi"
Ni sababu zipi zilizosababisha watanzania washindwe kuambiwa Mradi utakamilika lini?
Ni sababu zipi zilisosababisha...
Njia nzuri ya kumlinda mtoto ni kumkomaza ajue kukabiliana na maisha pale atapoanza kujitegemea ama ukitoweka kwa kifo na ulinzi wako kwake ukawa haupo tena.
Sina maana ya kusema mtoto umlee maisha magumu tu, NO! Njia sahihi ni kumlea kivugu vugu, raha azijue na shida nazo ajue namna ya...
Ni hivi Lissu anataka Rais Samia kwenda hadharani na kumuhakikishia Lissu usalama wake ili aweze kurudi Tanzania.
Rais Samia anasita ingawa si kwa kumuogopa Lissu au Usalama wa taifa lakini ni kwa kumkinga.
Mama akitoka leo na kumuhakikishia usalama Lissu wapinzani wake Rais Samia watatumia...
Hivi ndivyo intuition yangu inavyonieleza kuwa Mwendzake alikuwa anataka kumshughulikia au kumkwamisha Mteule wa Mungu ambae ndio angekuja kumrithi.
Kwa maneno mengine, Mungu kamuwahi ili mtu wake aje achukue nafasi.
Angeweza kumshughulika au kukwamisha mchakato au harakati ambazo matunda yake...
Wandugu,kwa kauli na maneno ya hovyo anayotamka huyu Polepole inaonesha hayupo pamoja na CCM wala viongozi wa serikali.
Anaongea kwa kujiamini sana bila kujali chochote.
NI UTASHI WAKE AU KUNA KUNDI KUBWA LA WATU WENYE NGUVU NYUMA YAKE?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.