kumiliki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Trump abadili msimamo, asema Iran iache kabisa mawazo ya nyuklia, hamna tena ruhusa kumiliki nyuklia ya nishati

    Kilichokua kinajadiliwa ilikua Iran ipunguze nyuklia au madini ya uranium, na kubaki na ya matumizi ya nishati tu, ila sasa inashurutishwa iache kabisa mawazo ya nyuklia, na mpaka sasa anga ya Irani imetekwa na Israel, ndege zinapiga zitakavyo...... US President Donald Trump said on Tuesday...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini Israel iwe na ruhusa kumiliki Nukes; ila Iran kwake iwe nongwa?

    Tuelimishane.
  3. JamiiForums Tanzania Bila kuzivunja amri kumi za Mungu hauwezi katu kumiliki hii chuma

    Wakuu, kama mada inavyojieleza hii chuma kwa sisi ngozi nyeus,i bila kuzivunja amri kumi za Mungu tutaendelea tu kuiona barabarani.#noreformnoelection🇹🇿🇹🇿
  4. JamiiForums Tanzania Kitu kimoja serikali ya CCM ilichoweza na kutamba nacho ni kuweka ugumu wa kumiliki silaha za moto

    Naweza kutoa mifano ambayo sio kazi rahisi kama ilivyokuwa kwetu unachukuliwa kizembe tena nyumbani kwako au mazingira yoyote wakiwa na mamlaka ya silaha ila wewe cha kujitetea huna. Siwezi kuwa mchochezi ila tunajifunza na wenzetu kwa nini walikomesha mambo kama haya hata kama watawala...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kila Mwananchi wa Tanzania ambaye anataka kumiliki Gari mambo ghani afanye kabla ya Kununua

    Katika mazingira ya sasa ya kiuchumi, kumiliki gari kunahitaji uamuzi wa busara unaozingatia zaidi ya bei ya ununuzi. Gharama za matengenezo na upatikanaji wa vipuri (spare parts) ni mambo muhimu yanayopaswa kuzingatiwa kabla ya kufanya maamuzi. Ni aina gani ya magari ambayo kwa uzoefu wenu...
  6. JamiiForums Tanzania Kumiliki laini zaidi ya moja ni ushamba uliokithiri

    Watu wa namna hii wanaudhi sana kama sio kusikitisha. Unakutana na mtu ana namba ya kila mtandao. Day one kakupa let say namba yake ya Voda, wakati anarudisha message unashangaa namba nyingine (Yas), unavumilia, unasave Kesho yake unashangaa kuona namba ngeni inaingia kwa simu (Airtel), kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Huwezi kumiliki mali kama huna kiumbe

    https://www.facebook.com/share/v/1F1SpzrHYG/
  8. JamiiForums Tanzania Usiogope! Unaweza Kujenga na Kumiliki Kiwanda Kidogo cha Kusafisha Mafuta Ghafi Tanga (Oil Refinery Tanga)

    Ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta (Oil Refinery) mkoani Tanga si ndoto tena, bali ni fursa halisi ya uwekezaji wa kimkakati inayo kusubiri. Uwepo wa Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki EACOP kutoka Hoima (Uganda) hadi Tanga ndio kichocheo kikuu kitakachopunguza gharama za...
  9. JamiiForums Tanzania Simba na Yanga, mpo tayari kutoka kwenye soka la ushindani, ili kumiliki uwanja

    Naona wachambuzi uchwara wakiwabaga Simba na Yanga kuwa ni wazembe wanashindwaje kumiliki uwanja Mashabiki kila msimu wanatoa pressure, wanataka timu zichukue ubingwa na kufanya vyema kimataifa Kumiliki uwanja ni laZima simu ipunguze matumizi ya gharama za usajili, mishahara na benchi la...
  10. JamiiForums Tanzania Naona ndoto yangu kumiliki ndege yangu binafsi ikizama

    Sio kunguru wala bundi ni ndege aka aeroplane kwa lugha ya kihaya Hivi wakuu kweli nishindwe kumiliki hata hutu tundege tudogo tunapitaga hapo juu hadi unaona ngondi za suka anakanyagia klachi kwa chini😭😭😭 Kwani vinauzwa shingapi hivi wajameni? nikiingia hapo crdb nikope sivuti kamoja...
  11. JamiiForums Tanzania Ukitaka kununua gari usije kuomba ushauri JF, kuna watu wana kauli za kukera, wanakatisha tamaa na hawajawahi kumiliki hata terminal ya betri ya gari.

    MTU anakuja kutafuta ushauri ili asiumizwe huko Uswahilini anakoenda kutafuta Gari ya kuendana na kipato chake, watu watamjibu kwa kejeli, dharau, matusi na kila aina ya uchafu. Jamani kabla huja comment hiyo negative comment yako, jitafakarini, je ni lazima niandike kukebehi? Je kama sina...
  12. JamiiForums Tanzania Ahukumiwa miaka 20 jela kwa kumiliki fisi kinyume cha sheria

    Emmanuel John (31), Chifu mkazi wa Kijiji cha Kilulu wilaya ya Bariadi kwenda jela miaka 20 na kuchapwa viboko 12 baada ya kupatikana na hatia ya kumiliki fisi kinyume cha sheria. Hukumu hiyo imetolewa leo Jumatano, Machi 12, 2025 katika Mahakama ya Wilaya ya Bariadi na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa...
  13. JamiiForums Tanzania Poland yatafakari mpango wa kumiliki silaha za nuclear za kujihami.

    Waziri mkuu wa Poland Donald Tusk anasema ni wakati sasa wa Poland kufikiria kuwa na silaha za juu zaidi ya za kawaida ikiwemo silaha za nuclear. Hatua hii inakuja baada ya Marekani kujiondoa kama mdhamini mkuu wa usalama wa Ulaya pamoja na kuwa na sera zisizotabirika tena katika mahusiano...
  14. JamiiForums Tanzania Zalisha faida kwa uwekezaji mdogo katika UTT na Hati fungani

    Nipo zangu katika Site ya ujenzi ,Kuna wazo la Uwekezaji mdogo limenijia. Kwa wale wanaopokea mshahara wa kuanzia 250,000 hadi 450,000 Ambao hawapati nafasi ya kufanya biashara nje ya kazi yao. Wasio na Pensheni. Uwezo wa kuiweka hela na kuisahau. Fedha yenye maremgo ya miaka miaka mitano...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Hii Ni Kwa Watu Wanaotaka Kumiliki Kampuni Zao 2025 Lakini Hawajaanza Bado…

    Umekuwa ukijiuliza maswali mengi sana juu ya kumiliki kampuni yako bila majibu!! Umekuwa ukijiuliza maswali kama; Ni mtaji kiasi gani natakiwa kuwa nao ili nimiliki kampuni yangu? Ni elimu ya kiwango gani niwe nayo ili niwe na kampuni yangu? Taasisi gani natakiwa kwenda ili kukamirisha usajiri...
  16. JamiiForums Tanzania Kumiliki nyumba au ardhi haviwezi kukupa utajiri bali vinalaza hela, fuatana nami ujifunze experience yangu ya umiliki wa hizi mali

    Kumiliki nyumba au ardhi haviwezi kukupa utajiri mkubwa, fuatana nami ujifunze experience yangu ya umiliki wa hizi mali Mimi Mr Why nataka nishare experience yangu ya umiliki wa nyumba na ardhi Nimemiliki nyumba na ardhi kwa muda mrefu lakini havikunipa fedha za kutosha Mwanzo nilidhani kuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa wivu mbaya uliokuwa nao halafu unataka kumiliki bastola

    📖Mhadhara (74)✍️ Waswahili wanasema wivu ni kachumbari ya mapenzi, lakini kuna wanaume wana wivu mbaya sana kwa wake zao licha ya wao wenyewe ni wahuni walioshindikana. Wapo wanaume ambao wana tabia zifuatazo.... ✓ Mke akienda sokoni akirudi anafanyiwa ukaguzi wa mwili, kama vile kukaguliwa...
  18. JamiiForums Tanzania Ndoto ya kumiliki EV naona inayeyuka. Anaehusika na kuset kikokotoo TRA amelisikia ombi, ila kapunguza Milioni 2.5 tu!

    Niseme tu 2025 kumiliki EV yangu ya kwanza kushakauka kama hivi. Baada ya kukesha na kuomba muhusika wa TRA acheki vizuri kikokotoo nilete Nissan Leaf nisupport juhudi za green environment na kuwaunga mkono TANESCO naona mission imefeli. Anaehusika na kuset kodi za magari used TRA aangalie...
  19. JamiiForums Tanzania Gharama za kumiliki kifo

    Waswahel wa Pwani waliosema pesa mwanaharamu sijui ninini kiliwapa mpaka kuna na huo usemi Nijuavyo mimi ukiachana na mengine yote. Kuna kitu kinaitwa kichaa cha pesa! Pesa inachizisha watu na kuwafanya wendawazimu kabisa! Hata wewe ukizipata utawehuka hasa zikishakuwa nyingi na ziada kwa ajili...
  20. JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania nawauliza, mtu mwenye miaka 75+ haruhusiwi kumiliki simcard yenu?

    Ajabu sana hii, Leo nimemwambia wakala amsajilie Line ya Vodacom Tanzania mzee wa miaka 77, wakala amepambana imeshindikana anasema voda hawaruhusu mtu wa miaka 75 na kuendelea kusajiliwa line.. Ina maana mna nini special sana nyie mpaka muweke limit ya mtu kumiliki simcard ya mtandao wenu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…