kulipa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Utajiri Wa Elon Musk unaweza Kufadhili Bajeti Ya Tanzania kwa Miaka zaidi ya kumi mfululizo Pasipo Mtu yeyote kulipa kodi wala ushuru wa aina yoyote

    Ndugu zangu Watanzania, Hivi Dunia Jamani kuna watu wana Hela,kuna watu wana pesa,kuna watu wana Fedha. Watu wana hela mpaka unajiuliza wao wanazipata wapi wakati kuna watanzania wanafanya kazi usiku na mchana kuanzia migodini ,mashambani , mabarabarani,viwandani lakini hawapati pesa hizo...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali ya Zimbabwe yataka Whatsap Admins kupata leseni na kulipa ada ya laki moja ili kuendesha magroup ya Whatsap

    Wakuu, Serikali ya Zimbabwe imetangaza kwamba Admins wa makundi ya WhatsApp yanayofanya kazi ndani ya mipaka ya nchi hiyo sasa wanatakiwa kusajili na kupata leseni kutoka kwa Mamlaka ya Udhibiti wa Posta na Mawasiliano ya Zimbabwe (POTRAZ). kwenye mkutano wa POTRAZ wa hivi karibuni...
  3. JamiiForums Tanzania Suluhisho la kulipa fidia ya mabilion nje ya nchi ni kubadili jina la nchi

    Bado tunaendelea kupigwa kwenye kesi za fidia na makampuni ya kigeni.. Tunalipa mabilioni ya shilingi na mabilion ya dola kwa makosa ya watu wachache tuu.. Mostly kutoka chama chawala Hakuna hata kesi moja tuliwahi kushinda.. Mikataba tuliyosaini kimagumashi inatutesa sasa.. Waliosaini kwa niaba...
  4. JamiiForums Tanzania Huwezi kulipa wema/fadhila uliotendewa ila unaweza kumtendea wema aliekutendea wema

    Hakuna anaeweza kulipa fadhila alizotendewa hata kidogo, ila unachoweza kufanya nikua mwema au kunlmtendea mema aliekutendea wema. Baadhi husema kauli " Kulipa fadhila", si kweli, imagine mtu aliekusaidia shilingi miatano ya daladala uwahi interview ya kazi na ukapata kazi hiyo, kwakua ulikua...
  5. JamiiForums Tanzania Kuuawa kwa Juma Mfaume kwa kushindwa kulipa deni la mkewe kwa kampuni ya OYA, kunatokana na urasimu na sera mbovu za BoT

    Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi, Mkoa wa Pwani, siku ya Jumanne, tarehe 8 mwezi huu, kuwa wafanyakazi 4 wa kampuni ya OYA, walimuua Juma Said Mfaume, wakidai kuwa mkewe huyo Juma Mfaume, anayeitwa Khadija Ramadhan, alikopa pesa toka Kwenye kampuni hiyo ya OYA na akawa harejeshi marejesho...
  6. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Brazil yaufungulia Mtandao wa X (Twitter) baada ya kulipa faini

    Uamuzi huo umefanywa na Jaji Alexandre de Moraes ikiwa ni miezi miwili tangu Mtandao huo ilipofungiwa kutoa huduma zake nchini humo kwa madai ya kukiuka Sheria ya Mitandao Brazil's Supreme Court has said it is lifting a ban on the social media platform X, formerly known as Twitter. In his...
  7. JamiiForums Tanzania Marekani kulipa fidia kama njia ya kuizuia Israel kuishambulia Iran! Iran yasema ipo tayari kwa lolote!

    Katika hali inayoonekana kama njia ya kupunguza na kuondoa taharuki huko mashariki ya kati, serikali ya Marekani imesema ipo tayari kulipa fidia kutokana na madhara ya mashambulizi ya makombora kutoka Iran wiki iliyopita! On Sunday, Israeli TV channel Kan11 claimed that Washington had offered...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Walipa Kodi Wanakubali Faini za Makosa Lakini Si Kulipa Kodi Kwani "Ni jambo gumu na sirahisi kukubalika"

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizindua Tume ya Rais ya Marekebisho ya Kodi leo tarehe 04 Oktoba 2024, jijini Dar es Salaam, amesema kuwa malalamiko ya walipa kodi yanatokana na ukweli kwamba kodi ni jambo gumu na mara nyingi si rahisi kukubalika. Amesema kuwa ni kawaida kwa mtu kuwa tayari...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Nafikiri Israel Itapotezea kulipa Kisasi kwa Iran mpaka imalizane na Hizbola kwanza. Iran itawekwa kiporo kama Hizbola wakati wanashambulia Hamas

    Wakati Israel inashambulia magaidi wa Hamas na Hizbola ilianza kushambulia Israel ili ipoteze lengo Lakini wakaawacha tangu October 7 Hadi juzi zamu yao ilipofika Ayatollah akae Kwa kutulia asubiri zamu yake INGAwa Nia na nguvu ya kupigwa ilikuwepo sababu ndo ilikuwa inatafutwa Kwa Sasa sababu...
  10. JamiiForums Tanzania FIFA yaipa Yanga siku 45 kumlipa Okra Magic Tsh 66,612,000.00 na siku 30 kulipa fine ya Tsh 8,190,000.00

    Katika uamuzi wa hivi karibuni kutoka kwa Mahakama ya Usuluhishi wa Migogoro ya FIFA (FIFA Dispute Resolution Chamber), Yanga SC, moja ya klabu maarufu za mpira wa miguu nchini Tanzania, imetakiwa kumlipa mchezaji wa zamani wa Bechem United, Augustine Okrah, kiasi cha dola za Kimarekani 24,400...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali isitishe mishahara kwa watumishi waliorudi masomoni ni upotevu wa pesa tena wengine wanahama fani kabisa

    Kuna hii tabia ya watumishi walioajiriwa na serikali kukaa kwenye ajira kwa miaka kadhaa halafu wanaandika barua kwenda masomoni kujiendeleza au wengine wanabadili fani kabisa ,kama alikuwa mwalimu anabadili fani kwenda fani nyingine ambayo kwake ataona inamfaa. Sasa ubaya wa hili jambo ni pale...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Mahakama yamuamuru Sean ‘Diddy’ Combs kulipa Dola Milioni 100 kwa mwanaume aliyemshtaki kwa kumnyanyasa kingono

    Mwanaume aliyemshtaki Sean "Diddy" Combs kwa kumnyanyasa kingono katika sherehe iliyofanyika karibu miaka 30 iliyopita ameshinda kesi ya madai ya dola milioni 100, kulingana na ripoti ya Detroit Metro Times. Derrick Lee Cardello-Smith, mfungwa wa miaka 51 huko Michigan, alipewa amri ya muda ya...
  13. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kulipa kodi kwa mtaji wa chini ya milion ukoje?

    Mwez ujao kuna rafiki yangu anataka kufungua kijiduka cha mtaaji wa laki 8 vip TRA hawatamsumbua? Na kama watamsumbua ili kuepuka afanye nini? Kuepuka? Au kitambulisho cha mjasiriamali vip?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Digital content creators kuanza kulipa kodi

    Mabadiliko ya muswada mpya wa sheria ya kodi umefanyika na sasa digital content creator watakua wanalipa kodi
  15. JamiiForums Tanzania Bilioni 2.5 Zilitumika Kulipa Fidia kwa Wananchi Waliopisha Ujenzi wa Barabara ya Kidatu - Ifakara

    BILIONI 2.5 ZILITUMIKA KULIPA FIDIA KWA WANANCHI WALIOPISHA UJENZI WA BARABARA YA KIDATU – IFAKARA Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi ililipa fidia jumla ya Shilingi 2,576,081,789.00 kwa wananchi 142 waliopisha ujenzi wa barabara ya Kidatu - Ifakara (km 67) ,kwa Wananchi ambao nyumba zao zipo...
  16. JamiiForums Tanzania Mama siwezi kukutumia hiyo elfu hamsini uliyoniomba kwasababu kesho natakiwa kulipa ada ya mtoto shuleni

    Hayo si maneno yangu, ni maneno ya kilaza mmoja aliechangamka ambae anaamini kwamba umasikini unasababishwa na kutojua lugha ya kiingereza utotoni. ( 😂😂😂 utoto raha nyie/ you can just think any how) Si yeye peke yake bali hadi ndugu zake (kaka zake) wengine wanne ( wa tumbo moja) wote...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Walimu mnaosubiri mshahara huku mkijua ukiingia utaishia kulipa madeni tukutane hapa ili tufarijiane.

    Bado masaa kidogo Hazina watajaza mzigo. Lakini balaa ni kuwa mzigo wote utaishia kwenye madeni. Kwa kweli walimu tuna wakati mgumu sana.
  18. JamiiForums Tanzania Tetesi: Waziri wa madini: Serikali ya Tanzania imepewa share 0% umiliki wa leseni ambazo serikali ilishitakiwa na kulipa mabilioni huko Shanta mining.

    Taarifa hii inaonyesha kuwa kuna utata katika uhamisho wa leseni za madini kutoka kampuni ya Bafex Mining kwenda Shanta Mining. Hapa kuna mambo machache ambayo yanaweza kutokea: Uhamisho wa leseni haukuendana na sheria: Huenda sheria za Tanzania zinahitaji serikali kuwa na hisa fulani katika...
  19. JamiiForums Tanzania Azam Media yatakiwa kulipa Million 100 Kwa Chief Fred Uisso

    Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu, imeiamuru kampuni ya Azam Media Group Ltd kumlipa kiasi cha shilingi milioni 100 mpishi maarufu nchini Master Chef Fred Uisso maarufu kama ‘Mzee wa Maspatasapta’ baada ya kushinda kesi dhidi yake na wenzake watatu baada ya kampuni hiyo kumtangaza mpishi huyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…