kuliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wanapenda kuongozwa na viongozi bora ila wao wenyewe hawataki kushiriki siasa huku wakijidai wao ndio bora kuliko viongozi waliowachagua wao wenyewe

    Kuhusu swala la bandari wewe mwananchi ndiye ulaumiwe kwanini hupendi kuwa kiongozi na hupendi kushiriki siasa Wapo watu wanajidai wanaweza kuongoza nchi lakini ni waoga balaa hata kugombea umonitor wa darasa wanaogopa. Wengine ni wasomi wakubwa lakini wanaogopa kuingia kwenye siasa wengi wao...
  2. JamiiForums Tanzania NASA watengeneza ndege yenye Kasi kuliko Concorde

    Shirika la sayansi za anga za juu la Marekani yaani NASA, limefanikiwa kutengeneza ndege itakayo safiri kwa Kasi kubwa kuliko ya Ile ndege ya zamani iliyostaafishwa yaani Concorde. Ndege hiyo mpya hiyo hapo pichani inaitwa x-59 inauwezo wa kusafiri kutoka Jiji la New York mpaka Jiji la London...
  3. JamiiForums Tanzania Ubinafisishaji wa Bandari zetu Muendeshaji atapata faida kubwa kuliko Serikali

    Sijui nitumie lugha gani ili wote muelewa. Kiufupi ni kwamba ukibinafisha wowote ule muendeshaji anapata faida kubwa zaidi ya mwenye Mali hasa tunapoongelea sekta nyeti kama bandari Uwezekano wa mwenye mali kuambulia 10% ya makusanyo yote ni kawaida sana.. waendeshaji wengi ni wahuni...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Wanaopinga Mkataba kati ya DP World na Serikali wanaeleweka zaidi kuliko wale wanaouunga mkono

    Habari wana JamiiForums. Rejea kichwa cha habari chahusika. Lengo la kuandika uzi huu ni kutoa maoni yangu juu ya wanaopinga mkataba kati ya DPW na serikali yetu ya Tanzania. Kwa maoni yangu, naona wale wanaopinga mkataba huu wanaeleweka zaidi kuliko wale wanaouunga mkono. Wale wanaopinga...
  5. JamiiForums Tanzania Kuuza lango la uchumi wa nchi ni usaliti mkubwa katika kuvunja katiba ya nchi, Bandari ni mali za Watanzania wote

    KUUZA LANGO LA UCHUMI WA NCHI AU KUTAFUTA WANAHISA NI USALITI MKUBWA KATIKA KUVUNJA KATIBA YA NCHI: BANDARI NI MALI ZA WATANZANIA WOTE HATUNA WANAHISA (SHAREHOLDERS) NA HATUHITAJI WANAHISA. WARAKA WA WAZI KWA WAHESHIMIWA WABUNGE NAKALA KWA WAHESHIMIWA VIONGOZI WA DINI NAKALA KWA TAASISI YA...
  6. JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini mjitathimini,kouona makosa ya serikali kuliko kuona makosa yenu.

    Anaandika ONJO. Mimi sina dini,nitaandika kweli tu,naamu kweli tu. 1. Viongozi wa dini mkili wazi kuwa hamuijui kweli. Maana kama ni mkristo ambaye ni kiongozi anawezaje kuanzisha mahakama ya kuwahukumu mapadri/ wachugaji wakosaji kwa sheria. Au mnapata wapi mamlaka ya kuwashusha vyeo...
  7. JamiiForums Tanzania Maelewano ya Jamii ni Muhimu kuliko Faida za Ki-Uchumi

    Maelewano na mshikamano ni Priceless - Kwahio chochote kile hata kama kina faida kiasi gani za kifedha hakiwezi kuziba pengo litakaloweza kuachwa na Jamii kutokuelewana.... Mfano kuna Wadau walienda vijijini kuwajengea watu nyumba za Kisasa kwa gharama kubwa na zingekuwa faida sana kwao (mwisho...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini ndugu wa mwanamke mara zote hukaa kwenye familia kuliko ndugu wa mwanaume?

    Uzoefu unaonyesha katika familia nyingi ndugu wa mwanamke ndio anaweza kutoboa na kuishi kwa amani kwenye familia nyingi. Ndugu wa mwanaume ni mara chache sana, tena wanaishi kwa kufosi. Tatizo huwa ni nini?
  9. JamiiForums Tanzania Max Nzengeli anaweza kuwa mchezaji mkongwe kuliko wote ligi ya NBC 2023-24

    Katika uchunguzi wangu WA AWALI nimeanza kupata mashaka na umri sahihi wa huyu "Polepole" wa Yanga, Maxi Nzengeli. Kuna vitu kadhaa nimevichunguza vinavyonipa mashaka na umri wake sahihi. Nikiangalia mitandaoni wanasema huyu ni "mtoto" wa 2000, yaani eti ana miaka 23. Kuna watu baada ya game...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini historia ya dunia inaonyesha watu wa visiwani huwa wana uwezo mkubwa wa utawala kuliko watu wa bara?

    mfano 1: JAPAN Ilikuwa na uwezo mkubwa na ikatawala kuanzia China, Korea, na viunga vyote vya maeneo jirani na nchi hizo. Hakuna aliyefurukuta. 2: Watu wa Visiwa vya uingereza, enzi zao walitawala karibu dunia nzima. Hadi kukawa na msemo, Uingereza jua halizami, wakimaanisha likizama huku hata...
  11. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu sakata la Bandari na mkataba mbovu; Wananchi wamewaelewa CHADEMA kuliko CCM. Kila kona wananchi wanasema Mama anauza Tanganyika

    Sijajua nini shida mpaka CCM wameshindwa kutoa elimu na kuwahakikishia wananchi kama kama kweli mkataba sio mbovu. Lakini Chadema kupitia Tundu Lissu walikuwa wanafafanua ibara mbovu zisizofaa Majaji watatu huko Mbeya High court wamekiri kuwa mkataba ni mbovu kwa baadhi ya vipengele ila...
  12. JamiiForums Tanzania Sheria ya kutokumshitaki Rais ndio Rushwa kubwa kuliko

    SHERIA YA KUTOKUSHTAKIWA RAIS NDIO RUSHWA KUBWA KULIKO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Takukuru kazi yenu bado itakuwa ngumu ikiwa kuna sheria ambazo zinatoka Rushwa Kwa baadhi ya makundi ya Watu hasahasa viongozi. Kuna Sheria na kuna Haki. Alafu kuna vyombo vya kusimamia sheria na Haki...
  13. JamiiForums Tanzania Watoto wa kiume ni wagumu kuwasadia wazazi wao kuliko watoto wa kike

    Hili jambo nimelifuatilia muda mrefu sana hapa barani africa esp. Tanzania wazazi wanaenjoy tu pale ambapo mama akipata toto la kiume jamii inakuchukulia mtu wa thamani sana yaani hongera unapata nyingi lakini kadri toto hilo la kiume linavyozidi kuwa kubwa ndivyo linavyoanza kuwa jitu la hovyo...
  14. JamiiForums Tanzania Unajisikiaje unapoonekana mdogo kuliko umri wako?

    habari wanajf, Hili Jambo la kuonekana mdogo kuliko umri wangu limekuwa Jambo ambalo naona kwangu ni Kama laana au kama baraka Tena maana nikimwambia mtu umri wangu akanitazama na Mimi haamini. Naonekana mdogo miaka kumi nyuma kuliko umri wangu halisi na hii imekuwa na madhara haya kwangu 👉...
  15. JamiiForums Tanzania Tusidanganyane kuna Watu leo wataifuatilia Simba Day na Matukio yote Kiumakini kuliko hata wenye Simba SC yetu na tukio letu

    Hivi wanaachaje kwa mfano kufuatilia Tukio Kubwa la Simba Day ambalo Mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Samia Suluhu Hassan, kuna MC aliyekuwa Mtangazaji Nguli, Mahiri na Gumzo Salim Kikeke, Msanii Mkubwa na Dhahabu kwa Tanzania, Afrika Mashariki na Afrika...
  16. JamiiForums Tanzania Kweli vizuri gharama, MaDJ ni wengi kuliko Wasanii waimbaji kwenye tamasha la Simba Day 2023

    Simba day imetapakaa list ndefu ya madj kuliko wasanii, nadhani hilo linatokana na kuyumba kwa mahesabu ya kukokotoa. Hadi sasa wasanii ambao confirmed kuwa wata perform ni Ali Kiba, Tunda man, na John Makini. Wale ambao kinachowapeleka ni wasanii basi imekula kwao, kiingilio chako hakitoshi.
  17. JamiiForums Tanzania Nini kinafanya hoho nyekundu na njano kuuzwa ghali kuliko za kijani?

    Wakulima hizi hoho nyekundu na njano zina nini special ukiachana na rangi za kuvutia, kwanini zenyewe bei iko juu kuliko za kawaida? Soko la ilala mara ya mwisho nlinunua hoho za kijani kilo moja ni elf 3....lakini hoho nyekundu na njano moja inauzwa elf moja. kwanini ni ghali, au kilimo chake...
  18. JamiiForums Tanzania Ni hatari sana bei ya mafuta ya taa ikiwa chini sana kuliko bei ya petroli na dizeli

    Nilikuwa nafuatilia kwa karibu bei za mafuta ya petroli, dizeli, na mafuta ya taa zilizotangazwa na EWURA mwezi huu. Baada ya kuchunguza kwa kina, nimegundua bei ya mafuta ya taa imekuwa chini sana ikilinganishwa na ile ya mafuta ya petroli na dizeli. Hali hii inanitia wasiwasi sana, kwani...
  19. JamiiForums Tanzania Ukiwa na sifa hizi wewe ni mjivuni , unaringa, na unajiona bora kuliko wengine

    20 WAYS TO KNOW WHEN YOU ARE ARROGANT Arrogance destroys glory, it is more deadly than cancer. One might be arrogant without even knowing, that is why there's need to read through this points carefully and observe areas that needs to be worked upon for positive change: 1. When you cannot...
  20. JamiiForums Tanzania CCM inafanya siasa kisayansi na akili kubwa sana kuliko CHADEMA

    Hapa nazungumzia sayansi ya siasa sizungumzii uzuri au ubora wa sera za chama. Mfano wamefanikia kuwaaminisha umma kuwa Raisi Ni mpole na msikivu na ameleta malidhiano na kuruhusu mikutano ya hadhara na kufuta kesi za wapinzani. Ingawa Ni maridhiano uchwara. Since bado Sheria za uchaguzi, tume...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…