kuliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ni Bora aheri mara elfu uwape watoto yatima na wasiojiweza kuliko kukichangia hiko chama. 🚮

    Nasema wazi usijichumie dhambi Bure... Hio hela peleka kwa watoto yatima na wasiojiweza, kwenye vituo vyao wanamotunzwa ama kule hospitalini ambao wanakosa elfu 20 ya matibabu, wengine wanakosa hela ya kutoa ndugu zao mochwari, hakika utapata thawabu Mtume Sallallahu Alayhi Wasallam, katika...
  2. JamiiForums Tanzania kuku anayeuzwa Tsh 700,000 bei kubwa kuliko ng'ombe

    kuku anayeuzwa bei zaidi ya ng'ombe angalia kuku anayeuzwa bei kubwa
  3. JamiiForums Tanzania Kuku anayeuzwa Tsh 700,000 bei kubwa kuliko ng'ombe

    https://www.youtube.com/watch?v=GmJyilSz9i0&t=71s kuku anayeuzwa bei zaidi ya ng'ombe
  4. JamiiForums Tanzania Kuna wanawake wanaosema bora kimoja cha maana kuliko vingi vya kuchoshana. Je kuna ukweli hapa?

    Habari, Hii ni kauli nimeipata kwa mwanamke zaidi ya mmoja wakisema kuna wanaume wanaweza kupiga kimoja cha maana wakatosheka kuliko zaidi ya vitatu tunavyovitolea jasho. Je ni kweli?
  5. J

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia awatolea uvivu waliokebehi kifo cha Ndugai. Asema "Sisi tuko wengi kuliko nyinyi"

    Spika Tulia amesema Wanaomuunga mkono Rais Samia ni Wengi kuliko wale wanaompinga hivyo Asiogope Spika Tulia amesema hayo wakati akitoa salamu za Bunge kwenye misa ya msiba wa Ndugai Aidha Tulia amewataka Watanzania kuacha kuwasema vibaya viongozi wanapofariki Kwani kuwasema vibaya marehemu ni...
  6. M

    JamiiForums Tanzania KINYUME NA IMANI YA WENGI: WANAUME NI WENGI KULIKO WANAWAKE

    Kinyume na WENGI wanavyo dai, idadi ya wanaume ni kubwa kuliko WANAWAKE. Hii ni kwa mujibu wa takwimu za mwaka hii 2025. https://m.statisticstimes.com/demographics/world-sex-ratio.php
  7. JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Wadangaji tuna Maisha mazuri kuliko Wanawake walio Ndoani

    Utakataa na kufyonza pengine hata kuniporomoshea matusi, ila huu ndio ukweli mchungu kwa baadhi ya wanawake walio ndani ya ndoa zao ambao hawataki kuusikia abadani. Nina siku ya 4 leo tangu nimetoka vacation Dubai, haijalishi nimetumikaje au nani kanitumia nikiwa huko, ila kiukweli nimeridhika...
  8. JamiiForums Tanzania Kutetea Haki sio lazima uwe Chadema. Wapo Wanaccm wanaopenda Haki kuliko waliopo Chadema

    Poleni na Msiba! Kwa wale mnaofurahia hongereni! Ndugu zangu, kila siku Taikon nawaambia kuwa Haki ni jambo la mtu binafsi. Ni kama Imani tuu. Kamwe usije ukajiunga Dini au Chama fulani cha siasa kwa sababu ati kinajifaragua kutetea HAKI. Nope! Haki haipo katika Chama au Dini. Haki hukaa...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania tuache unafiki, Polepole ni mzalendo kuliko wote?

    Moja kwa moja kwenye mada: Kama Polepole upo humu kwa akaunti fake, naomba usiache kujibu hili swali langu: Hivi Watanzania tutaacha lini unafiki wa kujifanya tunaguswa na yanayoendelea nchini ikiwa hatupo katika maslahi hayo? Polepole ni mgeni hapa nchini? Alikaa miaka mingapi Cuba? Mimi si...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole ni muda wa kujitoa mwenyewe CCM kabla hujafukuzwa, utaheshimika zaidi!

    Wanabodi, Jana nilipandisha bandiko hili humu jukwaani Polepole, Ubalozi kwaheri. Huwezi kukata tawi la mti uliokalia. Shuka kwanza chini, simama kwa pembeni ndipo upige hilo shoka moja Mbuyu chini Leo hilo jambo, limetokea kweli GE2025 - Rais Samia atengua uteuzi wa Humphrey Polepole...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Babalevo kucheza kamali ni wa muhimu kuliko Philipo Mpango

    Kucheza kamari siyo kosa bali vioongozi walioidhinisha kamari ndiyo hawafai kabisa hasa wa serikali na dini ambao wanatumia kodi za kamari kuendesha maisha yao.
  12. JamiiForums Tanzania Jua lina umri mkubwa kuliko dunia lakini maji ya duniani yana umri mkubwa kuliko umri wa jua

    Mjadala uko mezani Nawasilisha...
  13. JamiiForums Tanzania Me naona NI Bora kugoma kuliko kuandamana

    Kuandamana kwa sababu yoyote Ile sijawahi kuona kama inasaidia kwa nchi zetu hizi za kiafrica ni kutafuta Tu shida.embu tuchukulie mfano Angola Jana madereva na wananchi eti wanaandama kisa bei ya petrol kupanda haya wameuliwa na police na wengi majeruhi. Lakini unaonaje kama wangefanya...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Pamoja na hali mbaya tuliyonayo kisiasa, Heri rimoti kaishikilia mtu alietoka kabila dogo na sio mdini, Ni heri nusu shari kuliko shari kamili

    Pamoja na hali mbaya tunayopitia kisiasa, Ntaendelea kusema kwamba heri nusu shari kuliko shari kamili. Imagine Remote ingeshikwa na Msukuma, Mnyakyusa, Mchaga au Mhaya, Pangetosha ? Imagine Rimoti ingeshikwa na mdini, aiseee ? Na bado ninaendelea kuwakumbusha, Kumuondoa mwenye remote kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Mara 100 mnizuie kuingia Ulaya yote kuliko kunizuia kutekeleza majukumu yangu ya kikatiba na nchi yangu Israel!!!

    "Hata wakinipiga marufuku kuingia Ulaya yote, nitaendelea kuchukua hatua kwa ajili ya nchi yetu," alisema Waziri wa Usalama wa Taifa Itamar Ben-Gvir. Kauli hiyo ilikuja kujibu serikali ya Uholanzi kumzuia Ben-Gvir na waziri mwenzake wa mrengo wa kulia wa baraza la mawaziri la Israel Bezalel...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini wabongo ni watu wakutishwa zaidi na vitu vya kufikirika kuliko vitu halisia vinavyo wazunguka

    Kila mara naona nyuzi za watu kuuliza kuhusu ndoto walizoota, wengine wakihaha na kuogopa kile ubongo wao ilicho kitengeneza usiku wakati wamelala (kitu ambacho ni cha kawaida) ila mtu huyu huyu yuko radhi aende apige demu kavu kavu bila kujua kama ana STI ya aina yoyote ile, anampima demu kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Je, uteuzi wa Balozi wa Ghana mwenye asili ya Kiasia unaonesha kuwa Waafrika ni wabaguzi zaidi kuliko hata walowezi?

    UTANGULIZI: Wiki hii, uteuzi wa Balozi mpya wa Ghana nchini Korea Kusini umezua mjadala mkubwa mitandaoni, si kwa sababu ya sifa zake au sera zake, bali kwa sababu ya sura yake. Balozi huyu ni Mghana mwenye asili ya Kiasia – jambo ambalo kwa baadhi ya watu limechukuliwa kama "kashfa" kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Akina dada, vita vya nje ni vikali sana kuliko vita vya ndani ya ndoa

    1.Oooh Mimi siezi eka kikojoleo Cha mume wangu kwa mdomo,,my furendi nje huko wanamumunya hicho kikojoleo mpaka mumeo asikia ganzi kwa uume,,yaaani roho bariidiii kama Ambae ameekwa donge la barafu,,mpaka aguna peke yake,,akifika kwako akuona kama Jini vile juu alofanyiwa huko ameridhika hata...
  19. JamiiForums Tanzania Kupata gpa ya 5.0-3.5 havard na cambridge ni rahisi kuliko UDSM

    Shalom shalom Licha ya kuwa na elimu duni wanayotoa pia kupata GPA kubwa na kali imekua anasa kwa vyuo vya serikali Tanzania kuliko hata HAVARD na vyuo vingine vikubwa duniani na sababu kubwa ikiwa sio kwamba wanafundisha sana la hasha bali kuna miungu watu nasio malecturers. Hata hao...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Sabato imeanza baada ya jua kuzama Leo, ni siku maalumu iliyobarikiwa na Mungu kuliko siku nyingine, Niwaombe mjiweke safi kuipokea na kuiheshimu

    Ni siku bora kuliko siku nyingine ikiwamo siku ya Jumapili na ni kwa mujibu wa maandiko Exodus 20 hivyo usije na ubishi wako. Happy Sabbath all
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…