kulia

Kulia is the administrative center and capital of the district of Niutao in the Pacific island state of Tuvalu. Kulia is located in the west of the main island of Niutao. The place has 224 inhabitants as of 2010. Historically, Kulia was known as Tuapa.Kulia has a church of Te Ekalesia Kelisiano Tuvalu, a post office, and school.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Karia umeyaona Matokeo ya Endowsoments, Acha kulia hatwendi uwanjani NG'OO

    Nilikuona jana kupitia Azam tv Ukiweweseka kuwaita watu uwanjani bila shaka hujui. Acha nikupasue na kukupa ukweli 1. kwakuwa wewe ni mwana CCM, ulifanya figisu hata kuwakataza wagombea wengine wasigombee kwa kuchukua endowsments zote bila haya wala AIBU jambo likapita na sasa wasubiri...
  2. JamiiForums Tanzania Hiki ndicho kilichotokea Baada ya kubadilisha uvaaji wangu wa saa kutoka mkono wa kushoto na sasa kuwa kulia

    Nimekuwa na Nguvu ya mamlaka, heshima, deal zangu za pesa zinaenda vizuri nikiongea na mtu ana kwa ana huwa ananisikiliza na kunielewa leo kuna mkuu mmoja niliambiwa ni kisiki ila leo kakubali kutia saini kuruhusu muamala. Nathibitisha kwa kusema kuwa kuna Nguvu katika uvaaji wa saa mkono wa...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu ya Umoja wa Afrika, Mhe. Janet Sallah-Njie (kulia).....

    Pembezoni mwa Mkutano wa Saba (7) wa Uratibu kati ya Umoja wa Afrika na Jumuiya za Kikanda jijini Malabo, Equatorial Guinea Julai 13, 2025, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Afrika ya Haki za...
  4. JamiiForums Tanzania Brics yaanza kulia lia kumlilia Trump. Nimeshangaa maneno ya Ramaphosa. Asema wao hawataki kushindana na yeyote

  5. JamiiForums Tanzania Video ikionyesha waumini wa Madhehebu ya Shia wakiadhimisha Ashura kwa kumlaki farasi wa Imam Hussain Zuljanah kwa kulia

    Ashura iliiadhimishwa jumamosi iliyopita. Siku ya Ashura ni kumbukumbu ya kifo cha kipenzi cha dhati ya waislamu Imam Hussain ibn Ali aliyeuwawa kikatili Kwa kulinda uislamu na kuwatetea waislamu dhidi ya dhulma na uonevu. Farasi mtakatifu wa Imam Imam Hussain Zuljanah alikuwa WA rangi ya...
  6. JamiiForums Tanzania Nini SIRI iliyojificha yenye 'Spiritual Power' ya Watu kadhaa kupenda Kuvaa Saa Mkono wa Kulia hata kama Wanaandikia Mkono wa Kulia?

    Wale mnaliojua hili au kilichojificha hapa mtuambie tafadhali kwani nasikia ina maana Kubwa mno kwa Nguvu za Juu.
  7. JamiiForums Tanzania Wakati Yanga walidai haki yao wao kama wao direct kwa mamlaka za soka, Simba wao wameenda kulia kwa mwandishi Micky apeleke FiFA

    I salute kinsmen Hakika kwa sasa tulishajua maji na mafuta ni kipi kimejitenga . Tumejua sasa kuwa simba alitakiwa kumaliza nafasi ya 8 ligi kuu msimu huu. Zaidi tumejua kuwa mbeleko ule walioupata msimu huu ulitoka wapi? Na kibaya zaidi tumegundua kuwa utofauti wa akili ni mkubwa sana kati...
  8. JamiiForums Tanzania No US (Student) VISA until further notice, China ndio inapige kelele na kulia lia

    Jana na juzi mitandao imepiga kelele ikiongozwa na Serikali ya China baada ya DONALD TRUMP kuagiza balozi zote kusitisha visa appointment zote na kutopanga new appoitnments mpaka maelezo mengine yatakapotolewa CHAKUSHANGAZA China imetoka kimbelembele na kusema ni kinyume na haki na "China...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wachina wamezagaa Kariakoo ila mtu yupo kimya, watetea haki za kibinadamu wamekuja Tz mtu kafoka nusu kulia

    Hiii kitu binafsi siielewi yani WACHINA wamekuja kuchota shilingi zetu na kupeleka kwao ila mtu hajatoka hadharani kuongea chochote ila WATETEA HAKI za binadamu wamekuja mara moja tu mtu katoka hadharani chapu na kuanza kufoka nusu atoe machozi. Kweli Tanzania Mungu atusaidie sana tuna safari...
  10. JamiiForums Tanzania Wenye sura ngumu ndio wanaotumika kuwatisha watoto ili wanyamaze kulia

    Yani mtoto akilia sana hanyamazi, anaitwa Anko mwenye sura ngumu, anamwambia “we we, ntakumeza” bas mtoto alimuangalia anaona hili li monster linaweza nimaliza kweli, dogo ananyamaza. Akilia tena anaambiwa tunamuita Anko. Hapo inakwambia kua 1. handsomeness is kind 2. Handsomeness is peace...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM: Wapinzani wakifa, hatuwezi kulia! Tutawatupa Mtoni, wawe chakula cha mamba

    Tanzania kwisha habari yake. Utu umetoweka, watu wanatama i watu wafe ili wabakie madarakani. Huu wimbo unaoimbwa na CCM hakuna kiongozi yoyote wa chama au Serali aliyekemea. “WAPINZANI WAKIFA SISI HATUWEZI KULIA TUTAWATUPA MTONI WAWE CHAKULA CHA MAMBA”. Kupata matukio na taarifa zote kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Mteja anatafuta eneo la kununua liwe na ukubwa wa ekari 50 kuanzia kimara upande wa kulia au kushoto kuingia ndani isizidi kilometer 10 Mwisho kibamb

    Mteja anatafuta eneo la kununua liwe na ukubwa wa ekari 50 kuanzia kimara upande wa kulia au kushoto kuingia ndani isizidi kilometer 10 Mwisho kibamba Kazi hii hapa madalali karibuni na wadau wote Nicheki PM
  13. JamiiForums Tanzania Mabosi wengi wana bible/quran kwenye droo kushoto kulia wana power bank

    unaweza hisi n utani yaan hizi ofisi zina mengi sana kuna jamaa nilikwenda ofisin kwake nilipofika akaniomba kantolee kitu kwenye drw br kufika pale doh kushoto nkakutana na bamboo nkatoa alichontuma nkasema niangalie kulia sikutaka hata kuendelea zaidi lol wacha turidhike na madoggo...
  14. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Ufaransa Inamushutumu Kiongozi wa Mrengo Mkali wa kulia Le Pen na Hatia ya Ubadhirifu

    Le Pen, anakabiliwa na kesi ya kufuja Euro Milioni 3 fedha za umma kwa kuwaajiri wafanyakazi hewa wakati alipokuwa mbunge kwenye bunge la Ulaya kati ya mwaka 2004 hadi 2016. Hatua hii ni pigo kwa mwanasiasa huyo mkongwe na inafifisha ndoto zake za kuwania tena urais mwaka 2027. Viongozi wa...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi Nini kinapelekea walevi ( wakishalewa ) kulia, hasa zikipigwa nyimbo za gospel

    Nimekutana na scenarios tatu za namna hii kwenye mikoa tofauti. Mara nyingi inatokeo Ile mida mibovu yaani saa7 usiku kuendelea watu washachangamka, nashindwa kuelewa Nini Huwa inapelekea hii hali kutoka Nishashuhudia mkoa Fulani huko Kanda ya ziwa, Dj alipiga nyimbo za gospel bar mzima watu...
  16. JamiiForums Tanzania TLS wao kila siku ni kulia na kuomba misaada kwa Rais, Law Bar za nchi nyingine hazina huu ujinga

    Ukifuatilia hata Law Bar Associations ya Rwanda tu utagundua huwezi wakuta wanaenda kulia lia kwa Kagame mara wapewe Gari mara Kagame awwpunguziwe Kodi, nenda Law Bar ya Uganda huwezi kuta huu ujinga wa kwenda kuomba msaada kwa Mseveni. Njoo sasa kwa Law bar association ya Kenya, ile ndio...
  17. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA muungeni mkono Luhaga Mpina

    Huu ndio ushauri wangu kwa CHADEMA mpya chini ya Mwenyekiti, Tundu Lissu. Nakumbuka makama wake, John Heche, siku Lissu anaingia ofisini kwa mara ya kwanza, aliahid kuwa wataanza kuanika madudu mbalimbali na alitoa mfano wa uagiza wa mabehewa ya treni(kama ni mapya, yamepigwa rangi, n.k)...
  18. JamiiForums Tanzania Kubadili Usukani wa gari kutoka kushoto kwenda kulia

    Watu wa magari, naulizia kwe wenye uzoefu. Kuna Gari inatakiwa Ila ni Left hand...Sasa naulizia kwa wazoefu, je Kuna kampuni bongo zinaweza kubadili Sterling kutoka left side to right side? Kama ndio garama zikoje? Na je baada ya kubadili hakuna tatizo lolote kwenye Gari husika...kwa maana...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna ulazima wowote kidini au kimila kulia unapofiwa?

    Habari, Hivi kwani ni lazima mtu kulia hadi uso uchakae unapofiwa na mtu wako wa karibu (wazazi ,mwenza,mtoto, ndugu)? Au ni lazima kulia mbele za watu wajue umelia? Kwanini watu wakienda kwenye msiba wanataka wakimuona mfiwa wamuone kachakaa, macho yamevimba uso umeumuka kwa ajili ya kulia...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Dar acheni kulia lia njaa wakati kuna bahari

    Inakuwaje wanajamvi. Vijana wa Dar acheni kulia lia njaa wakati wote wakati kuna bahari karibu yenu. Nendeni mkajishughulishe na shughuli za uvuvi kuliko kushinda vibarazani mkipiga umbea na porojo. Kilimo tu mnakwepa halafu mnaendekeza anasa na kupenda kula kula na kufakamia msosi wakati mkoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…