Habari wakuu
Naomba uzoefu...Niko na mawazo haya mawili bucha la nyama ya mbuzi au bucha la nyama ya kuku wa kienyeji biashara ipi italipa location ni dar
Siku zinazo kuja itakuwa hata ukitaka kupata ganja halisi, itakubidi upande Dar Express au Kilimanjaro Express ukachukue mwenyewe Arusha.
Kila kitu kimemuwa fake. Hata hawa wanao itwa Kuku wa kienyeji wana uzwa kwenye mabar wengi ni " Chotara"ambao nao pia watakuwa na madhara kama wa kizungu...
📢 TANGAZO LA UNUNUZI WA KUKU WA KIENYEJI 🐔
Ninatafuta kuku 30 wa kienyeji kwa ajili ya matumizi ya haraka.
💰 Bei: Tsh 11,000 kwa kila kuku
📍 Eneo: Dar es Salaam
⏱️ Nahitaji haraka iwezekanavyo!
Ikiwa unauza kuku wa kienyeji au unamjua anayewauza, tafadhali wasiliana nami mara moja!
📞...
Habarini wakuu, nina project ya kufuaga niliiyanza muda ila nimebaini changamoto za yule kijana anaekaa pale shambani, naona sio msimamizi mzuri harafu utakuta bata anataga mayai ila yeye anakwambia bata anakula mayai yake mwenyewe.
Sasa nina mpango wa kumuondoa lakini nikaja na wazo lingine...
Habar Wana jukwaa , Nina taka kuanza biashara ya kuuza kuku wa kienyeji Kwa sasa Nina mtaji WA kuku 40 wenye uzito kuanzia kilo moja Hadi mbili ... Npo bunda vijinini ... nahtaj niwe nawauzia Mwanza mjini lkn sina uzoefu na soko la huko Mwanza .... Kwa anaejua nianzie wapi au anipe au...
Kwa wale wafugaji wenzetu wa mfugo ndege aina ya Kuku hasa wa kienyeji ninaowafuga mimi huu uzi special tujadili matukio ya kushangaza na hata kufunja rekodi ila basi tu hatuyatangazi..
Mimi binafsi nimeanza kufuga 2025 nilianza na makoo 3,kisha nikaongeza majogoo 3 chotara kisha nikaongeza...
Habari wakuu .
Nakuja mbele yenu wadau na wapenda maendeleo kuomba muongozo juu ya soko la kuku wa kienyeji Kwa Dar na majiji mengine mimi ni mfugaji ikiwezakan nipate connections ya maeneo ambapo nawez kuuza.
Nachojua mzungu ana hela nyingi na kama ni kula daima anapendelea kula vilivyo bora sijajua kwa maendeleo tulionayo hapa duniani kiasi cha kuanza kufuga broiler wa biashara na wanaliwa kwelikweli.
Nachojua hii teckonolojia ni ya kwao mataifa yaliyoendelea sasa swali ni je na wao wanawatafuna...
Kheri kwenu wapendwa nimeamini kila kitu ni nia na kujituma.
Mwezi wa saba nilinunua tetea 30 na jogoo 3 wanaotetea mwezi wa nane nikapata vifaranga 280 na mwezi huu wa tisa 220.
Na bado naendelea kuatamishiae. Lengo kufika mwezi wa kumi na mbili niwe na kuku 1000 wa kienyeji pure.
NJIA...
Wakati Shughuli nyingine za Kitaifa na Kimataifa zikiendelea tujitahidi kula vizuri ili tupate Nguvu zaidi ya kusikiliza na kutoa maoni katika baadhi ya mambo.
Lakini pia hata kama una madeni kiasi gani, una huzuni kiasi gani wewe usiache kula vizuri ili upate Nguvu ya kutatua hizo changamoto...
Naombeni msaada kwa anayejua wapi nitapata machimbo ya chakula cha kuku chotara, kama uduvi, mahindi paraza, mashudu, pumba za mahindi nk kwa bei rahisi mkoani RUVUMA HASA KWA WILAYA YA MBINGA??
Kwa mahitaji ya kuku wa kufuga na kula,kienyeji na chotara nitafute,ukihitaji vifaranga na mayai ya kutotolesha tafadhali usisite kunitafuta,karibuni sana wakuu.
Ukatae au ukubali asee huu ndio ukweli. Nasema kwa sababu ya uzoefu wangu kama mfugaji wa muda mrefu.
Nimefanya tafiti kadhaa kuhusu hili na nimegundua ndivyo ilivyo.
Jogoo hupenda kutembea na majike (makoo) manene ya kuku ni nadra sana kumkuta jogoo kaambatana na kimbau mbau kisichokuwa na...
Kwa hapa Dar es Salaam wapi naweza kupata kuku wa kukaanga kienyeji mithili ya wale wanaouzwa KFC? Yani kuku wa kukaanga crispy au crunch lakini ni wa kienyeji.
Na ni kwa nini kuku wa kienyeji wa kuchoma au kukaanga mara nyingi huwa anakuwa mgumu kuliko wale wa kisasa? Mara nyingi watu...
Je, ni njia zipi bora za ufugaji wa kuku wa kienyeji ambazo basi zitanifanya niweze kunufaika na ufugaji wakuku hao, lakini pia naomba kwa mwenye uelewa na kuku hawa anieleze ni mtaji kiasi Gani napaswa kuwa nao ili kuanza ufugaji wa kuku hawa.
Naomba kushauriwa na kuelekezwa kwa kina.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.