kukosa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: CHADEMA haitakwama kwa kukosa pesa za Mbowe

    Amesema chama ni mali ya wanachama, inabidi wachange. Amesema wakae kama chama wajue huyu mtoto wanamleaje. Vema kabisa na si vema kama ulivyosema kutegemea fedha za Mbowe. LAKINI Kumbuka: 1. Hakuna wa kuchanga , linapokuja suala la kuchanga watanzania ni wagumu/watu ni wagumu generally...
  2. JamiiForums Tanzania Kukosa Kura na Kuangushwa kwa Celestine Malley-Simba: Pigo Kubwa kwa Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA

    Kukosa Kura na Kuangushwa kwa Celestine Malley-Simba: Pigo Kubwa kwa Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA Katika uchaguzi mkuu wa hivi karibuni wa CHADEMA, matokeo ya kukosa kura na kuangushwa kwa Celestine Malley-Simba, mwenyekiti wa chama hicho, yamekuwa pigo kubwa kwa Tundu Lissu na...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa: Hili Bango ndio kaburi la Mbowe

    Kuna hili bango linadaiwa kuonekana huko Dodoma katika Mkutano Mkuu wa CCM. HIili bango kwangu ndio kaburi la Mbowe kwa wakati huu. CCM wamekosa maarifa kwa kiasi kikubwa sana. Sijui ni nani alishauri kitu kama hiki wakati huu Mbowe amechafuka. Team Lissu sijui Mungu awape nini tena kwenye...
  4. JamiiForums Tanzania Kukosa Majibu Katika Ujenzi wa Majengo ya Elimu na Afya, bila kujali matumizi Bora ya Ardhi upande wa Tanzania Bara

    Katika kipindi hiki, kumekuwepo na hali ya kushangaza kuhusu sera za serikali, hasa zinazohusiana na ujenzi wa majengo ya taasisi za elimu na afya. Serikali ya awamu ya sita imeweka marufuku juu ya ujenzi wa majengo ya ghorofa, jambo ambalo linaweza kuonekana kuwa na athari kubwa katika...
  5. JamiiForums Tanzania Ukiwa na hii skills ni ngumu kukosa kazi au michongo .

    Katika skills ambayo watu wengi hawana ni "Communication skills" Asilimia kubwa ya watanzania wanakosa hii skills . Ukiwa hauna uwezo wa kuwasiliana vizuri basi hata hizi Ajira zetu za 300K-500K sio ajabu ukawa unazitafuta Kwa tochi na haupati. Vijana wengi hii kitu imewakosesha Sana fursa...
  6. JamiiForums Tanzania Katavi: Mwanafunzi wa Darasa la Tatu ajinyonga kwa kukosa nguo mpya siku ya Sikukuu

    Mwanafunzi wa Darasa la Tatu katika Kijiji cha Uruwila, Wilaya ya Mpanda, Mkoa wa Katavi amejinyonga kwa kutumia sweta lake alipokuwa amelala chumbani kwake. Akitoa taarifa ya tukio hilo Januari 03. 2025, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Kasta Ngonyani, amesema tukio hilo limetokea mnamo...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kukosa nguvu za kiume

    Habari wakuu naomba msaada tafadhari nina kama mwezi mmoja sasa nakosa hamu ya tendo pia jogoo hawiki kabisaa naomba mtu mwenye kujua dawa ya uhakika anisaidie tafadhari hali yangu sio nzuri naona aibu kwa mtubwangu
  8. JamiiForums Tanzania Tatizo la CHADEMA ni kukosa wazee wa ushauri ndiyo matokeo ya kinachoendelea sasa

    TATIZO LA CHADEMA NI KUKOSA WAZEE WA USHAURI NDIO MATOKEO YA KINACHOENDELEA. Utakubaliana na mimi kwamba chama kikubwa cha siasa aina ya Chadema ambacho uhai wake ni zaidi ya miaka 30 kukosa wazee wa Ushauri ni aibu na ndio matokeo ya minyukano inayoendelea kipindi hiki cha Uchaguzi wa wao wa...
  9. JamiiForums Tanzania Mke wangu anasumbuliwa na tatizo la uke mkavu na kukosa ute wa mimba

    Ndugu zangu salaam Kama kichwa cha habari kinavyosema ni kweli mke wangu anasumbuliwa na tatizo la uke mkavu hata akiwa kwenye siku za hatari, pia anakosa ute wa mimba. Kuna kipindi ukimuaandaa analoa kidogo na ukiloweka haiishi dk 5 ameshakauka kabisa..kipindi cha siku za hatari ule ute wa...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini Waarabu wengi hawana alama ya Sijda kwenye paji la Uso?

    SIJDA ni neno la kiarabu linalomaanisha kutukuza, kunyenyekea au kusujudu, katika kutohoa unaweza pia kuita SAJADAT yaani wingi wa Sujud au Sajda Hivyo Binti anayeitwa SAJDA maana yake ni anayesujudu SIJDA haifanyiki kwa Waislam tu, hata Wakristo wanasujudu...na Wabudha ni zaidi kwa sababu...
  11. JamiiForums Tanzania Ni aibu kubwa kwa miji yetu kukosa smoking zones

    Tukiachana na vyoo vya umma bado miji yetu inakosa kitu muhimu sana. SEHEMU ZA WATU KUVUTIA SIGARA. Inakera sana kuona watu wakivuta sigara popote pale katikati ya mji na kuleta kero kwa wasiovuta. Idara za afya kwenye miji yetu wanafanya nini kwenye nafasi zao kama jambo dogo kama hili...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Tunauza Magari aina mbalimbali

    Gari aina ya IST new model cc:1500,year of manufacture 2015, ipo vizuri sana Karibu wateja Wetu wa MR classic tuwasiliane kwa nambari 0695022051
  13. L

    JamiiForums Tanzania CPA Amos Makala azungumza na Waandishi wa Habari leo asubuhi saa nne

    Ndugu zangu Watanzania, Katibu wa Itikadi ,uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Mheshimiwa CPA Amos Gabriel Makalla anatarajia kuzungumza masuala mazito na waandishi wa habari wa ndani na nje ya Nchi muda wa saa nne Asubuhi ya Leo Ijumaa ya tarehe 29. Ambapo msemaji huyo wa CCM chama kiongozi Barani...
  14. JamiiForums Tanzania LGE2024 Kuenguliwa kwa baadhi ya wagombea wa upinzani kumefanya zoezi la uchaguzi kukosa mvuto kwa wananchi.

    Habari za uchaguzi Wakuu! Nafikiri siku ya Leo imeenda kinyuma na lengo lilivyopangwa. Serikali iliiweka siku ya Leo kama siku ya mapumziko ili kutoa fursa kwa watu kupata muda wa kwenda kupiga Kura katika uchaguzi huu wa serikali za mitaa. Lengo lilikuwa zuri lakini likapoteza maana baada ya...
  15. JamiiForums Tanzania Utekaji Tanzania, Je ni ishara Serikali, na Vyombo vyake na CCM Kukosa Maarifa ya Uwajibikaji Kidemokrasia na Kikatiba?

    Taifa lenye misingi ya maarifa ya ukatiba thabiti na Demokrasia haliwezi kuwa na watu dhaifu katika kuishi kutenda haki na wajibu kwa misingi katiba na sheria, pia kuheshimu muundo wa demokrasia. Taifa lolote hutegemea maarifa ya tasnia ya sheria, political administration, policies...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Gari Toyota Spacio New Model kukosa nguvu pindi ninapokutana na mlima

    Wakuu habari za Majukumu, kama kichwa cha habari kinavyoeleza, gari yangu hiyo aina ya Toyota Spacio hivi karibuni imekuwa ikikosa nguvu pindi inapoanza kupanda mlima hata kama ni kidogo pia inakuwa kama inamiss hivi sasa sijajua kama ni ishu ya Fuel Pump au maana hata nikijaribu piga ress...
  17. JamiiForums Tanzania Kweli Mike Tyson ndio wa kukosa hii hook, hakika ile match ilikuwa stage play

    Cheki hapa, huyu dogo hii hook ingemuweka chini moja kwa moja na ikawa KO ila mike akaipotezea, chek hii clip hapa chini Laiti hio hook mike angeituma kichwan kwa huyo dogo wangemtoa dogo hapo akiwa kwenye stretcher. Na ukicheki vzr mike alifake punch dogo akaidefend kisha akamuachia access...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Diwani wa Wazo: Mtu yeyote anayefanya jambo lolote linalopelekea CCM kukosa kushika Dola, hafai kuwa Kiongozi

    Diwani wa Kata ya Wazo, Mhe. Wakili Leonard Tungaraza Manyama, ameonya kuwa mtu yeyote anayefanya vitendo vinavyoweza kuzuia ushindi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hafai kushika nafasi za uongozi. Mhe. Manyama alitoa kauli hiyo wakati akizungumza na wazee na wanachama wa CCM katika Tawi la...
  19. JamiiForums Tanzania Kukosa haya vs kuwa na confidence

    Hii kitu inanisumbua sana na kuona kama sijiamini patelea pote. Haiwezekeani unajenga kujiamini na kuacha kuwa mstaarabu. Kjna mtu nakutanaga nae kufanya kazi moja mbili tatu...huyu bwana najikuta napata maswali, je sijiamini au ? Au sija job mastering, naona uwezo ni mkubwa tu. Huyu mtu...
  20. JamiiForums Tanzania Matajiri wetu na Wanasiasa wanatuangusha kwa kukosa maono

    Eti leo tunawashangilia matajiri wetu, kina MO na Azam, kwa kuujaza utajiri wao kupitia kuuza energy drinks, barafu za ukwaju, tambi, na viberiti. Lakini je, tupo serious kweli kama taifa? Tunafurahia mafanikio haya huku tukiangalia ajira za wanyonge zikiteketezwa kwa sababu shughuli ndogondogo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…