kukosa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Kuongea na simu Bungeni ni kukosa Umakini

    Hongera Spika Tulia Akson kwa kukemea jambo hili, mtu anaingia Bungeni anaanza kuongea na simu ni ushamba, pumbavu kabisa, wasichaguliwe Tena.
  2. JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa umiliki wa moja kwa moja wa visima vya akiba vya uhifadhi mafuta huchangia bei kupanda?

    Serikari haina umiliki halali yaani moja kwa moja wa mafuta ya hakiba hivyo hupelekea mlipuko wa bei. Bei hupanda na kushuka hata kama kuna changamoto zinazo epukika mfano plani ya miaka kadhaa katika sekta.
  3. JamiiForums Tanzania Tafakuri: Bora ukose hadhi ya kibalozi kuliko kukosa heshima ya kutetea rasilimali za taifa lako

    Mobutu Seseko wa Zaire alikufa kifo chenye fedheha na kisichofaa hata kidogo maana pamoja na kushirikiana ma wezi wa rasilimali za Wazaire sasa Drc alifia ugenini na bila heshima yoyote. Hii ni kwa sababu alishindwa kuwa mzalendo kulinda rasilimali za taifa lake liwanufaishe raia wa taifa hilo...
  4. JamiiForums Tanzania Wananchi Lushoto warudisha kadi za CCM kukosa imani na viongozi, Tazama video

    Katika hali iliyotabiriwa, na inayotabiriwa kuelekea 2025, wananchi wa Lushoto warudisha kadi za chama kwa madai ya kutoridhika na utendaji kazi wa viongozi wa wilaya na vijiji. ----- Hali hii naomba chama kianze kuidhibiti mapema kwa kufanya kazi mara mbili zaidi kuelekea uchaguzi mkuu...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia, kunyamaza kuhusu matatizo ya Watanzania ni kufurahia shida zao

    Ni kweli kabisa sisi TANZANIA ndo wa kuhangaika kutafuta kituo kipi chenye mafuta, hapa Tanzania, kweli kabisa Rais? Umeme, vibarua wote wanaofanya kazi kwenye viwanda, wanalaza njaa watoto wao, gereji, salon, wanaishi kwa tabu sana kwa sasa Mungu akupe moyo wa kutovumilia haya mateso ya...
  6. JamiiForums Tanzania TANESCO yatangaza hitilafu ya umeme, mikoa kadhaa kukosa huduma ya umeme

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake leo August 22,2023 kuwa kumetokea hitilafu ya mfumo katika kituo cha uzalishaji umeme kwa njia ya gesi cha Ubungo II. “Hitilafu hiyo imesababisha mapungufu ya uzalishaji wa umeme kwa jumla ya megawati 268 kutokuwa kwenye mfumo...
  7. JamiiForums Tanzania Makamanda suala la DP World mmelipeleka kasi kiasi cha kuwagawa watu na kukosa umoja kwenye hili jambo

    Makamanda swala la DP World lilianza vizuri kwa kujadili kwa hoja na staha kubwa kiasi cha watu ku-concetrate kwenye hili swala moja tu la DP World na IGA. Ghafla speed ikaongezeka kwa kasi na kuanza kumuhusisha Magufuli na mkataba wa bandari, wakati ni ukweli ulio wazi Magufuli wapo...
  8. JamiiForums Tanzania Kisa Maji, Madiwani Ilemela Mwanza, wahofia kukosa Kura Uchaguzi mkuu Ujao

    Swala la Ukosefu wa Maji katika halmashauri ya Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza imekuwa sugu kiasi kwamba wananchi wanakosa walalamike kwa nani kutokana na kero ya ukosefu huo wa maji safi na Salama. Kijografia Ilemela imezungukwa na Ziwa Victoria lakini upatikanaji wa maji safi na salama kwa...
  9. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Benki ya Dunia yasitisha Mikopo Mipya ya Uganda kutokana na Sheria ya Kuzuia Mapenzi ya Jinsia Moja

    Taarifa ya WB, imesema uamuzi huo unatokana na Serikali ya Rais Yoweri Museveni kupitisha Sheria inayopingana na wanaojihusisha na Mapenzi ya Jinsia moja. "Maono yetu ya kutokomeza umaskini yanaweza kufanikiwa ikiwa yatajumuisha kila mtu bila kujali Rangi au Jinsia, Sheria hii inadhoofisha...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mgongano wa maslahi Spika unaangamiza Watanzania kukosa mafuta

    Mgongano wa maslahi wa wazi wazi Spika wa Bunge amemnyamazisha Mbunge Tabasamu asiongelee kuchezewa kwa tenda katika mchakato wa ununuzi wa mafuta wanaondesha mchakato unaolalamikiwa na Tabasamu ni Ewura na bosi wa hiyo taasisi ni mume wa Spika. Hii ina maana Makamba alimshauri Rais amteue mume...
  11. JamiiForums Tanzania Anayeuza bidhaa nje hawezi kukosa dollar: Niseme tu ukweli dollar haiwezi kupatikana bila kuzalisha bidhaa za kuuza nchi za nje (Balance of Trade)

    Mimi binafsi sina hakika kama dollar ni tatizo la dunia nzima. Kwamba tukilima mahindi mengi tukauza nchi za nje hatuwezi pata hizo dollar? Kwamba tukilima kahawa kwa wingi tukauza nje ya nchi hatuwezi pata hizo dollar? Kwamba tukilima korosho kwa wingi tukauza nje ya nchi hatuwezi pata hizo...
  12. JamiiForums Tanzania Sioni mantinki kulalamika katazo Plate Namba za 3D

    Naona watu wengi wanalalamika Jeshi la polisi kupiga marufuku plate namba za 3D. Katika hali ya kawaida na mtu yoyote mwelevu hawezi kimbilia kuweka namba za 3D, ili hali akitambua 1. Plate number zina viwango ambazo zimethibitishwa na TBS pia. 2. Plate number zenyewe bila kuwekewa 3D zile...
  13. JamiiForums Tanzania Abdul Kareem Popat ndio sababu hasa ya Azam FC Kukosa mafanikio

    Abdul Kareem Popat amekuwa CEO wa Azam FC kwa zaidi ya Miaka 7. Huyu ndio CEO ambae hana presha kabisa ya kupoteza kazi yake kutokana kutopewa presha ya mafanikio pale Chamzi Complex. Kipindi chote cha uongozi wake Azam FC imeambulia kikombe kimoja tuu cha FA (Azam Confederation Cup) mnamo...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aepuke kufanya mambo ya kitaifa kimyakimya ni ishara ya kukosa uwazi na kutokujiamini

    Juzi tumemsikia Raila Odinga akisema rais Samia alikwenda Nairobi kwa lengo la kuwapatanisha Raila na Odinga katika tafrani zao za kisiasa. Sisi watanzania tunajiuliza inakuwaje rais wetu kwenda nchi nyingine kufanya jambo la kisiasa mathalani kufanya upatanishi kimyakimya? Kwani kulikuwa na...
  15. JamiiForums Tanzania Lawama zetu ni kwa Idara ya Usalama wa Taifa kukosa uzalendo, weledi na kushindwa kumshauri Rais

    TISS ilitakiwa kuwa mbali zaidi kabla hata mkataba haujasainiwa. Idara ya usalama ilitakiwa iwe na wasomi wabobezi wa sheria, wenye roho za uzalendo na wenye uwezo wa kumwambia rais hapana, hili haliwezekani kwa maslahi ya taifa. Leo ili mtu awe afisa, haàngaliwi uwezo wake wa kiakili, ni...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Wakipitia kurasa zako za mitandao ya kijamii wakati wa usaili utapata kazi?

    Wakuu, Kama tunavyojua na kama ulikua hujui basi uliweke akilini kuanzia leo, unachoweka mtandaoni hakifutiki, utasema nimedelete hakipo tena lakini ukweli ni kwamba kipo na kurudishwa ni sekunde tu. Hivyo ni muhumu kuchukua tahadhari unapokuwa mtandauni, kichani ukumbuke kila unachofanya...
  17. JamiiForums Tanzania Gari ya kitenge kuhusishwa na mambo ya bandari ni ujuha! Inaonyesha mmeanza kukosa hoja!

    Simfahamu kitenge kwa namna yoyote ! Lakini wahujumu uchumi waliokuwa wakineemeka na bandari yetu na wale wanaomiliki bandari kavu hapa dar ! Na wanyonyaji wote waliokuwa na maslahi na mfumo wa zamani wa bandari kwa Sasa wanajaribu kuwatumia vibaraka wao wa kwenye tweet na mitandao mbalimbali...
  18. JamiiForums Tanzania Uchawa kwa DP World umemlipa Maulid Kitenge? Naona kavuta ndinga

    Nimekutana na picha ya ndinga ikiwa na jina la KITENGE, nikakumbuka siku za hivi karibuni Maulid Kitenge alikuwa busy kuipigia upatu kampuni ya DP World kuwekeza nchini. Akiwa na wenzake wawili Zembwela na Hando waliweza kusafiri mpaka Dubai ziliko ofisi kuu za kampuni hii. Je, uchawa umewalipa...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Kukosa credibility kwa tuliokuwa tunawapa kusimamia bandari yetu destiny yake ndio haya DP

    Kwa muda mrefu watanzania wachache walio pewa dhamana ya kuisimamia bandari yetu kuu ya Dar es salaam walikula bila kunawa, mizigo ya watu ilipotea, enzi za uwaziri wa mwakyembe kontena nzima ya vitenge ilidhibitika kupotea kontena ya mama kutoka zambia, waziri alitoa masaa kontena ikapatikana...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Raia wa Sweden kuchoma Kitabu Kitukufu. Je, kukosa heshima kwa Kitabu Kitukufu inawahusu wao peke yao?

    Kitendo hiki cha kuchoma Qurani kilitokea katika siku ya kwanza ya sikukuu kuu ya Waislamu ya Eid al-Adha. Kitendo hiki kililaaniwa sana kama "kitendo cha chuki" na "dharau" kwa kitabu kitukufu cha Allah. Swali langu Je lipi ni tendo baya zaidi kukifanyia kitabu cha Mwenyezi Mungu kati ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…